Part 2: TISS bado safari ngumu

Part 2: TISS bado safari ngumu

Sasa kama ni mabadiliko ya teknolojia ina maana TISS walikua wapi wasishauri ili kunusuru hivyo viwanda?

(akili zako huwaga unaacha wapi mkuu?)
Teknolijia kubadilika huwa Siri kubwa hata CiA hawawezi jua Ni bussiness.Watu hujifungia ndani kimya kuzigundua kwa kuogopa mtu mwingine asijebwawahi wakakosa biashara.Wakishagundua huingia sokoni ghafla kwa kushtukiza Kama mchina alivyowashtukiza nchi za magharibi na marekani kwa kuiteka Afrika kwa kuuza bidhaa za Bei nafuu na mjapan alivyoua soko la magari ya nchi za Ulaya Afrika.Nchi za Afrika magari yao yalikuwa ya kifaranza ,kiingereza na kijerumani na kiitaliano Kama landrover,Benz,Renault ,pegeout,Leyland ,Fiat nk. ofisi zote za serikali na watu binafsi na kila Kona Hayo ndio yalikuwa yametawala.Lakini Pamoja na wao kuwa na mashirika ya kijasusi yanayosifika duniani yakishindwa kujua mjapan kakifungia kiteknoljia anafanya Nini..Mjapan ghafla bin vuu akaingia sokoni akawavurumishia mbali watengeneza magari wa ufaransa,uingereza na Ujerumani watoke Afrika.Hadi Leo wako hoi.Soko la Afrika limechukuliwa na wachina na wajapan.Mnaandika vitu vya kufikirika mnavyosoma kwenye novel na kuangalia kwenye Movie.CIA wapi,mashirika ya kijasusi ya uingereza yapo na ya ujerumani yapo Lakini soko la bidhaa zao Afrika mchina na mjapan wamebeba hawana Cha kufanya.Usicheze na teknlojia.Ikichange Ni ghafla na KU catch up nayo Sio kazi rahisi.Ukijaribu by the time una catch up unakuta wameshagundua kingine unaachwa barabarani
 
Soko la East Africa hasa Tanzania ndo mnaendesha Japanese cars.

West, South and other parts of Africa wanaendesha European.
 
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .
Hivi ww una vinasaba na jingalao?
 
Ajenda ya Taifa kwa ccm? Ajenda ni kuisimamisha chadema hawana la uchumi wala nini. Ukienda shule za ufundi utacheka kuna vifaa vya kufundishia vya zamani kabla ya vita ya kwanza ya dunia na hakuna updates.
Kilimo ndiyo hakifikiriwi kabisa wao uchaguzi wa kila siku.
Wakiiba kura na kunyima haki za watu. Hakuna USALAMA WA TAIFA BALI NI WAUAJI NA WATU WAOVU WAMEJAZWA HUKO.
 
Nchi Zilizoendelea kama marekani FBI na CIA zina nguvu kuliko Rais. Anapopata Urais wanamfundisha kazi, kanuni, taratibu, miiko ma mipaka. Wanamuambia nini anaweza kufanya nini hawezi au haruhusiwi kufanya. Wanaweza kumchunguza na kumhoji. Wao wanampa ripoti na maelekezo zaidi ya yeye anavyowapa ripoti na maelekezo. Yeye anawategemea wao zaidi kuliko wao wanavyomtegemea yeye. Kuna vingi hua wanamkatalia wanamuambia HILO HAPANA MZEE
si CIA tu hata taasisi zingine marekani zina comand kwa rais.lakini bado rais ana nguvu kwenye maamuzi mengi zaidi.
 
Wao wako busy kuua upinzani kwa faida yao. Mikataba mibovu ya kifisadi, sheria mbovu/kandamizi na majungu vyote hutengenezwa kwa majigambo mchana kweupe.
Hizi nyuzi wangekua wanafanyia kazi tungekua mbali Sana Kama taifa
 
Tanzania kuna watu wananifanya washauri elekezi kwa fani ambazo hawazijui
Watu wengi wanao comment wanatumia hisia zaidi,hawajui Tiss inafanyaje kazi
 
Watu mmekariri eti siku wapinzani wakiingia ikuru ndo dhuruma itakuwa imeisha.

Pumbavu kweli.
 
TISS yetu ni kichaka cha UVCCM na political driven. No wonder SABAYA alipodaiwa bill ya Hotel alitoa kitambulisho cha TISS ili asilipe.
Recruitment imejaa 'Skeletons'
Huyo jamaa ni mburula sana.
Sasa bill ya hotel na TISS vina uhusiano gani?
 
Teknolijia kubadilika huwa Siri kubwa hata CiA hawawezi jua Ni bussiness.Watu hujifungia ndani kimya kuzigundua kwa kuogopa mtu mwingine asijebwawahi wakakosa biashara.Wakishagundua huingia sokoni ghafla kwa kushtukiza Kama mchina alivyowashtukiza nchi za magharibi na marekani kwa kuiteka Afrika kwa kuuza bidhaa za Bei nafuu na mjapan alivyoua soko la magari ya nchi za Ulaya Afrika.Nchi za Afrika magari yao yalikuwa ya kifaranza ,kiingereza na kijerumani na kiitaliano Kama landrover,Benz,Renault ,pegeout,Leyland ,Fiat nk. ofisi zote za serikali na watu binafsi na kila Kona Hayo ndio yalikuwa yametawala.Lakini Pamoja na wao kuwa na mashirika ya kijasusi yanayosifika duniani yakishindwa kujua mjapan kakifungia kiteknoljia anafanya Nini..Mjapan ghafla bin vuu akaingia sokoni akawavurumishia mbali watengeneza magari wa ufaransa,uingereza na Ujerumani watoke Afrika.Hadi Leo wako hoi.Soko la Afrika limechukuliwa na wachina na wajapan.Mnaandika vitu vya kufikirika mnavyosoma kwenye novel na kuangalia kwenye Movie.CIA wapi,mashirika ya kijasusi ya uingereza yapo na ya ujerumani yapo Lakini soko la bidhaa zao Afrika mchina na mjapan wamebeba hawana Cha kufanya.Usicheze na teknlojia.Ikichange Ni ghafla na KU catch up nayo Sio kazi rahisi.Ukijaribu by the time una catch up unakuta wameshagundua kingine unaachwa barabarani
Hakuna sudden change of technology Duniani, it happens gradually,mbona wewe ni mweupe kichwani kiasi hicho?
You can't introduce a new phase of technology at work without having made proof on its efficiency otherwise,what if the version fails? it must be tested in the variety of uses before beforehand.
Ndo maana hata makombora na ndege za kivita hufanyiwa majaribio kwanza kabla ya kuanza kutumika rasmi.
Hiyo teknolojia yako ya Siri ni ya CCM kuteka watu.
 
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .
Huu ni ulevi uliopitiliza.Kwa nn usianzishe uži wako.Nyambafu.
 
Hao wastaafu unaowapendekeza wote ni wanaccm na wanaongozwa na itikadi. Moja ya tatizo kubwa la TISS ni kuendeshwa kwa siasa za kiccm. Tiss inapaswa kuwa hata juu ya rais.
Una uhakika kwa hilo au unahisi mkuu?
 
Hapana, majibu yanaachwa twaite kwa kiingereza "between the four corners of the walls".

Ila hizo amendments I muhimu sana khasa kwenye sheria ta TISS ya mwaka 1996, muundo wake na taratibu zake za
ajira.
Hahaha!

Sawa nakubaliana na wewe mkuu.
 
Ngoja awamu hii iishe labda watafanya hayo mapendekezo yako TISS imekosa mvuto kabsa awamu hii wabadilike I love my country by the way
 
Idara ya usalama wa taifa, ndo idara nyeti, nzito na muhimu kuliko idara zote za serikali.
Kwa hiyo panatakiwa pawe na wafanyakazi ma genius hasa ktk idara hiyo, na wasiwe na mapenzi ya chama chochote cha siasa, bali wawe na mapenzi na nchi yao tu.
Wawe wabunifu kwa ajili ya usalama wa taifa lao, usaili wa ajira ufanyike bila kuangalia kiwango cha Elimu ya mtu (kwa baadhi ya vitengo) bali uwezo, weledi, uzalendo wa nchi na akili za mtu.
Neno usalama wa taifa ni neno pana sana, naipenda sana nchi yangu Tanzania ndo maana naamini ushauri wangu kuna siku utafanyiwa kazi vilivyo.
Usalama wa taifa ni lazima wahakikishe nchi ina uchumi mzuri, kwa sababu watu wakilala njaa na kukosa mahitaji muhimu matokeo yake nchi inaweza kuingia kwenye vurugu kubwa mno na hivyo kufanya usalama kutoweka.
Ndo maana nasema hii ni idara nyeti mno, taifa lolote lenye uchumi mbovu na maisha magumu kwa watu wake ina maana pia usalama wa taifa ni dhaifu hauwezi kulinda usalama wa nchi kwa uhakika.
Kutisha watu,na kuua wapinzani ni kuzidi kupanda mbegu za chuki na bomu ambalo mwisho wa siku ni lazima lilipuke .
Kama idara ya usalama wa taifa haina kitengo cha kufanya hujuma za kiuchumi kwa mataifa ya nje kwa faida ya nchi ina maana bado kitengo ni dhaifu na kina watu ambao hawajapikwa na kuiva hasa.
Kila napokuja nyumbani Tanzania na kuangalia mazingira ya nchi yapo duni mno, vijana wengi wakishinda vijiweni hawana kazi za kufanya, huwa najiuliza nini hatima ya nchi Kama hii?
Lowassa aliwahi kusema, ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiria kulipuka siku moja.
Basi idara ya usalama wa taifa inatakiwa ihakikishe hilo bomu halilipuki kwa gharama yoyote, ikibidi kufanya ujambazi (ujasusi) wa kiuchumi kwa mataifa ya nje na kuleta nyumbani ili watoto wale.
Urusi ilikuwa taifa la kwanza Duniani kupeleka chombo na wanaanga kwenye mwezi .
Marekani ilipoona hivyo, ikajaa wivu na ilipojaribu kwenda, chombo chao kililipuka kwa sababu ya hitilafu kwenye engine, wakajiuliza kwa nini warusi waliweza na sisi kushindwa?
Walichofanya ni kuiba teknolojia ya Urusi ya engine hadi wakafanikiwa kwenda.
Sisi tuna wivu wa kichawi, tunapigana vita ndugu kwa ndugu, hatutaki wapinzani waingie ikulu, badala ya kupigana Vita ya kumaliza umaskini, tunamalizana sisi kwa sisi.
Halafu anasimama mtu na kusema eti tutafanikiwa, tutafanikiwa kwa lipi wakati mikono yetu ina Damu za watu zinazolia kwa Mungu zikidai kisasi?
Yaani idara ya usalama wa taifa ilishuhudia kabisa viwanda zaidi ya 400 alivyoacha Mwl Nyerere vikiuliwa, lakini idara hiyo haiko tayari kushuhudia mkosoaji wa serikali akisimama hadharani na kuikosoa serikali ,labda awe nyuma ya keyboard Kama mimi hapa
INAENDELEA
kuhusu kutoangalia elimu, napinga. Kwa wingi wa wahitimu tulio nao huwezi kosa watu wa vigezo vya usalama wa taifa. Tatizo hawawachunguzi wahitajika tangu mwanzo, hasa kuanzia sekondari. Wanakurupuka kuajiri makada na ndugu kuwa ndio vigezo vikuu.
 
Its a reliable source
C&P
WHEN Tanzania’s President John Magufuli suddenly fired the director-general of the country’s intelligence and security service on Thursday this week, many were surprised but very few, if any, anticipated what was to follow.

Impeccable sources within the intelligence and the State House have confided to SAUTI KUBWA that the former Director-General of the Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Modestus Kipilimba, who was immediately impounded, is currently detained at one of the country’s “safe houses” in Dar es Salaam.

Kipilimba is expected to appear in court to answer a number of criminal charges including abuse of office, money laundering, embezzlement of public funds, economic sabotage, bribery and other forms of corruption.

Kipilimba is the first TISS boss to face such an embarrassment in the country’s history. But Magufuli’s action is not unique in the region. He is borrowing a leaf from Omar al Bashir, Sudan’s ousted president, Yoweri Museveni of Uganda, Pierre Nkurunziza of Burundi and Paul Kagame of Rwanda, who fired, incarcerated, and even assassinated their intelligence bosses on various grounds.

It is understood that he was very unpopular among the staff of his own intelligence system because most of his subordinates considered him corrupt and unqualified for the job although he had earned the president’s trust, although it has been rumoured that Kipilimba was recently implicated in secretly dealing with Magufuli’s political foes. This charge will definitely not surface in court.

“We are even surprised at how he managed to survive in this post that long because his weaknesses were known and reported to the president within six weeks of his appointment. But the president must have been comfortable with him because he was obedient enough to the president’s orders,” says one anonymous source.

Kipilimba served as TISS for three years. He has been replaced by Diwani Athumani, a police officer who has previously worked as Director of Criminal Investigations, Regional Administrative Secretary and Director General for the Prevention and Combating of Corruption Bureau.

Three years ago, when President Magufuli took office, he impulsively fired Athuman from the office of DCI on corruption grounds. When his advisors told him about the risks of rendering jobless such an officer, he appointed him to a junior post in Kagera region, making him a regional administrative secretary. When he differed with the then PCCB boss, Valentino Mokiwa, he fired him and promoted Athuman to the office.

His rise to the post of TISS boss surprises many, and few do expect him to do better than Kipilimba because, like Kipilimba, he, too, has proven himself as an “obedient advisor” to the president.

“During his tenure with PCCB, Athuman has proven to the president that he can as obedient and pleasing as possible to him. And given his background as a police officer, he is expected to observe more obedience than advice to the president. Kipilimba failed in so many ways and for so many reasons, but one of them was his excessive obedience to the president,” says another impeccable source.

By firing Kipilimba, President Magufuli is attempting to distance himself from several criminal accusations that have gripped the nation in the last four years, during which tens of government critics have been tortured and killed by rogue elements within TISS.

This is one of the charges that Kipilimba might face, but analysts wonder if such charges can be brought against him because in the cause of defending himself he might end up implicating the president who heh so far obeyed to every dot.

Kipilimba’s deputy, John Nyaulingo, was recently involved in a road accident that ended up having his legs cut off. He has not been seen in public for the past three weeks, with some sources claiming he passed away and was secretly buried. His post had been taken over by someone else. But some sources within TISS have told SAUTI KUBWA that, “Nyaulingo is not dead. He is just unable to perform his duties because he is crippled.”

Kipilimba’s sacking was not unexpected. In Mid June 2019, President Magufuli convened a meeting with all top officers within TISS. He rebuked Kipilimba in the presence of his subordinates.

Three weeks ago, the president conducted a secret survey among TISS staff. Most of them pointed an accusing finger to Kipilimba, balming him for destabilising TISS, haphazardly recruiting incompetent and untrained personnel, some of whom are his relatives and colleagues from his church.

From the time Kipilimba was appointed TIss boss in August 2016, but the opposition has been accusing him of corrupt practices particularly in connection with his former designation as the acting director-general for the National Identification Agency (NIDA). Magufuli turned a deaf ear to such allegations until it proved too much for him to bear.

Analysts link his action with the 2020 general election as Magufuli seeks a second term. His first term has proven hostile to the people and to himself, and he has continuously become unpopular due to his brutal politics that have turned a formerly peaceful Tanzania into a state of terror.

in the eyes of many, even Athuman is not an ideal choice for the post. As a police officer without the necessary intelligence skills, and with no institutional memory and lacking proper contacts in the system, Athuman is likely to commit similar errors to those of his predecessor. He is likely to employ fear and obedience as his main tools to lead TISS.

Others say Athuman is equally disposable and he knows it, having been fired and demoted by the same president three years ago. The president later tested and trusted his obedience during his brief stint at PCCB.

Should anything happen after next year’s general election, the police and army post may likely need fresh appointments. The police chief, Simon Sirro is nearing retirement, as the army chief Venance Mabeyo is working on a special contract. Athuman would be the president’s most likely appointment for the post of Inspector General of Police (IGP).
 
Kwa hii TISS ya uvccm sahau hayo yote,maana wako Kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM na si nchi,Acha tuendelee kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu
 
Back
Top Bottom