Part 2: TISS bado safari ngumu

Part 2: TISS bado safari ngumu

Hapana mii sina namba ya Diwani Athumani.

Ila nafikiri atakuwa anapita humu.

Ngoja tuone kama na yeye atatenda kazi yake kwa weledi, au na yeye atageuzwa kulea kundi la watu wasiojulikana.
 
Watu Kama wewe wako wengi sana nchini , watu wanao chambua sekta moja moja kuwa ndio tatizo linalosababisha kuwa hapa tulipo Kama taifa. Haujakosea ,Ila ulichoandika ni sehemu tu ya tatizo ,hebu jaribu kujiuliza sisi kama taifa lenye karibu kila kitu tumefanikiwa japo nini kwa mfano? Je tumefanikiwa ikatika elimu? Afya? Au miundo mbinu ?? Jibu utakuta ni hapana hatujafanikiwa lolote si kilimo, si afya ,si elimu, siuchimbaji wa madini au japo michezo. Ni kama mwanafunzi mwenye uwezo wa kupata 90% anapata 10,12 nk
Kwa hiyo tatizo si TISS pekee. Tatizo ni kubwa zaidi ya TISS. Mfano rahisi, ukiwa na mfumo Wa elimu duni, je utapata TISS yenye weledi? Tatizo ni kubwa hata kuwepo tu Kwa sisi Kama Tanzania ni Tatizo,ongeza uasisi Wa taifa lenyewe , misingi yake, male go yetu Kama taifa nk nk....itaendelea
Yaani kama ni alama Mkuu umepata 99.99%..tatizo siyo TISS au CCM hayo ni matokeo tu ya tatizo kubwa tulilo nalo wote kama watanzania, mfumo wetu wa elimu ulifail kitambo sana, mfumo ambao uliwekwa ili kila anayepata elimu anaelimika na elimu inambadilisha zile tabia na mazoea yasiyo na tija yanakufa, anakuwa mtu mpya..tabia za ubinafsi, chuki kwa wengine, wivu, ushirikina, kujiona bora kuliko wengine, kiburi na dharau nk Tanzania ina watu wachache sana walioelimika, wengi wamekusanya vyeti tu..maarifa ZERO! bahati mbaya sana watu wa aina hii ndiyo wapo TISS, kugeuza hali hii inahitaji nguvu ya wananchi kupitia sanduku la kura ili wpatikane wawakilishi walioelimika waanze kuweka misingi upya hasa kwenye maeneo strategic kama wizara ya Elimu, wizara ya fedha, TISS nk elimu yetu ndio chimbuko la yote haya, nilitarajia waziri wa elimu alete mabadiliko ya msingi kwenye elimu yetu badala ya kukimbizana na ishu ambazo mtu yeyote hata mwenye elimu ya darasa la saba anaweza kuzifanya..kwa mfano bado ni sahihi kuchagua maeneo ya fani kama sheria, elimu, uhandisi, mambo ya jamii nk kwa ngazi ya chuo kikuu kwa kutizama ufaulu wa kidato cha sita..nadhani ufaulu wa kwenye makaratasi ni kitu kidogo sana kupima uwezo wa mtu husika kwenye jambo fulani, wengine walishaacha mfumo huu, kwa nini kuchagua mtu kwa matokeo ambayo si yako..mfano mwingine, hao TISS kila anapokuja Rais mpya nilitarajia wao wasaidie kuweka mazingira mazuri kimuundo hasa kwenye kubuni wizara kulingana na mabadiliko yanayoathiri utendaji wa wizara zetu, sikutarajia wakati Rais huyu anaanza kuwe na wizara ya VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI kama wizara moja, ukipima mambo hayo 3 kila moja linaweza kuwa wizara peke yake..lakini kwa vile wahusika wanafanya kwa mazoea na pengine hawataki kufikiri zaidi ya wanachokijua na kukiona tunaishia kuja kulaumu Mwijage, mara Kakunda, hata huyu kijana aliyepo hamna analofanya, tatizo si yeye, tatizo ni waliounda hiyo wizara, msimamizi anataka wizara ifanye anayotarajia, waliomsaidia kuiunda wizara walipishana na vision yake kwa wizara hii..unadhani tutatoka hapo, thubutu! Tutatue tatizo la msingi kwanza ELIMU, tufanye elimu yet itubadilishe, itufanye tuwe na kiu ya kujifunza mambo mapya, kusoma vitabu, kufahamu matatizo yetu na kuleta majibu nk not business as usual au nikipata kazi basi ndio nimefika, dont need more! nabaki kuwa KEEPER hadi nistaafu, hilo siyo lengo la ELIMU!
 
Ngoja tuone kama na yeye atatenda kazi yake kwa weledi, au na yeye atageuzwa kulea kundi la watu wasiojulikana.
Pamoja na yote yaliyojadiliwa na wachangiaji kwenye Uzi huu, pia kama taifa tunahitaji kupitia upya malengo ya mfumo wa vyama vingi kwa masilahi mapana ya nchi. Kwani sijui kama taifa tulipoanzisha/tulolipoingia kwenye mfumo huu tulidhamiria nn kama taifa, kwani Leo mfumo huu unajenga chuki kati chama kilicho madarakani na vyama vingine.
Jambo hili lina zaa ukanda, uchama na hata ukabila.
Leo kuna watu wanajiona ndio watanzania zaidi ya wengine wakati kuna wengine wana omba mabaya juu nchi hii.
Ushahidi mdogo tu ni maana ya neno Uzalendo, kila mtanzania ana maana tofauti na mwingine. Ikitegemea unatoka / unashabikia chama gani.
 
Napenda kukumbusha tu kwamba Mfumo wa Vyama Vingi ulianzishwa hapa Tz KWA lengo maalumu LA Kuwageresha Wazungu ili waendelee kuleta Misaada KWA Serikali ya Tz. Hapa kuwa na dhamira ya dhati kutoka moyoni mwa Viongozi wa Serikali walioanzisha Mfumo huu wa vyama Vingi
 
Naendelea.

Baada ya kupitia upya sheria ya usalama wa taifa.

Sheria itafanyiwa marekebisho na ufahamike wazi kwamba TISS ipo kwa ajili ya kulinda demokrasia ya bunge ikiwemo haki ya wabunge kupinga uteuzi wa mkurugenzi mkuu endapo itaonekana hana sifa.

Pia TISS inalinda maslahi ya taifa kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa pamoja na kukabiliana na vitendo cha kigaisi, ujasusi wa kimataifa na uhujumu uchumi.

Mapendekezo ya Muundo mpya wa TISS na idara zake muhimu chini yake.

Kama nilivyosema hapo awali TISS ni Usalama wa taifa yaani National Security Organization/ Agency ambayo inaongozwa na mkurugenzi mkuu.

Naibu mkurgenzi yeye atashughulikia idara zingine khasa ya nje kwenye mabalozi, upelelezi wa ndani yaani domestic Surveillance na kuhudhuria vikao vya kamati za usalama zote za wiyala na mikoa.

TISS iwe inasimamiwa shughuli zake kwa ukaribu na kamati ya bunge la JMT ya U;inzi na Usalama na iwe inaangaliwa kwa jicho kali kwenye bajeti yake, shughuli zake na hata utaratibu wake wa kuajiri watumishi wake.

Kwa kuwa kamati ya Bunge inajumuisha wabunge kutoka vyama vyote hapo tayari ushiriki wao kuikosoa TISS unakuwa umekamilika yaani "accomplished".

Ntaendelea.
Mkuu kamati ya bunge tena? Hapo sipo pamoja na wewe mkuu,kwa wapunge hawa hawa dizaini ya hakina Msigwa, na Msukuma au wabunge gani mkuu?

Binafsi Tiss iwe inafanya kazi zake kwa siri kama ilivyo sasa ila kuwe na maboresho kwenye utendaji iwe inaendana sawa na mabadiliko ya kisasa kabisa na recruitment isiwe na upendeleo
 
OK kwa hiyo unashauri tukisome vizuri kitabu cha Yerico Nyerere

Yeriko Nyerere ameyaandika hayo yote kwenye kitabu chake

Mkuu umewahi kukisoma kitabu cha ujasusi cha Yeriko

Angeruhusu ningekipandisha hapa Jukwaani ni kitabu kizuri sana

Try to read, Soma page zinazokuhusu kila kitu kipo kwenye kitabu
Yerricko ni shujaa ! ana akili kuliko viongozi wote waliowahi kuwepo na waliopo .
 
Mkuu kamati ya bunge tena? Hapo sipo pamoja na wewe mkuu,kwa wapunge hawa hawa dizaini ya hakina Msigwa, na Msukuma au wabunge gani mkuu?

Binafsi Tiss iwe inafanya kazi zake kwa siri kama ilivyo sasa ila kuwe na maboresho kwenye utendaji iwe inaendana sawa na mabadiliko ya kisasa kabisa na recruitment isiwe na upendeleo

Nikisema kamati ya bunge simaanishi kwamba kamati hiyo inakuwa ikiifuatilia TISS kwa kila ikifanyacho, Hapana.

Namaanisha kwamba endapo kunatokea sintofahamu khasa inayohusiana na matukio ambayo yanahusishwa na "watu wasokulikana", basi kamati inamuita DG ajieleze mbale yake ili kupata facts nini kimetokea.

Namaanisha kwamba idara ya operesheni iwe inafuata misingi ya kazi yake na maofisa wake wawe wanawajibishwa endapo itagundulika wamevunja sheria kwa makusudi.

Lakini hiyo haimaanishi kwamba kwenye kulinda maslahi ya taifa sheria hizohizo zizingatiwe jambo ambalo hata Marekani au nchi zingine kama Saudi Arabia huwa hawalizingatii.
 
Ndio unasema uko nje? Viwanda vilikufa sababu ya mabadiliko ya teknolojia wewe.Na SI Tanzania tu viwanda vingi Hadi ulaya viko kibao vilivukufa kwa manlbadiliko ya teknolojia mfano zamani kulikuwa na kampuni.zinatengeneza nyaya za simu na vikombe vya Kufunga kwenye nguzo za simu zilipokuja simu za mkononi viwanda vya nyaya za simu vikafa kifo Cha mende.Eti TISS waliua stupid.Kubadilika teknolojia kumeua viwanda kibao dunia nzima Sio Tanzania tu
Nimeshakuona wewe si size yangu, kuendelea kujibizana na wewe najishushia heshima yangu bure, tazama usivyojua lolote eti ni mabadiliko ya Teknolojia, haya hebu tuonyeshe viwanda vyenye Teknolojia vilivyopo Tanzania, juha kweli wewe.
 
Nikisema kamati ya bunge simaanishi kwamba kamati hiyo inakuwa ikiifuatilia TISS kwa kila ikifanyacho, Hapana.

Namaanisha kwamba endapo kunatokea sintofahamu khasa inayohusiana na matukio ambayo yanahusishwa na "watu wasokulikana", basi kamati inamuita DG ajieleze mbale yake ili kupata facts nini kimetokea.

Namaanisha kwamba idara ya operesheni iwe inafuata misingi ya kazi yake na maofisa wake wawe wanawajibishwa endapo itagundulika wamevunja sheria kwa makusudi.

Lakini hiyo haimaanishi kwamba kwenye kulinda maslahi ya taifa sheria hizohizo zizingatiwe jambo ambalo hata Marekani au nchi zingine kama Saudi Arabia huwa hawalizingatii.
Mkuu suala la kuitwa kwenye kamati ya bunge kujielezea halafu majibu yanatoka hadharani au kimya kimya?

Binafsi naona kuwe na kamati active ya usalama wa taifa inaweza ikawa chini ya wastaafu waliopita kwenye idara au vyombo vya ulinzi na usalama na lengo kubwa kufuatilia, kushauri na kupendekeza mwenendo mzima wa idara mkuu.

Mwisho TISS sio totally mbaya kabisa ila kuna baadhi ya amendment yanatakiwa yafanyike ili tuende kisasa kabisa.
 
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .

Ina uhusiano gani hii na mada?

Una maana wafanyakazi wa TISS nao wajaze OPRAS ya kielekroninic kuonesha malengo yao ya mwaka sawa na wengine?

By the way, what is OPRAS??

All in all, you are out of the topic....!

Na inawezekana kwa makusudi tu na kwa malengo yako unayayaelewa wewe mwenyewe tu na wenzako baadhi umeamua kuanzisha mjadala mwingine tu ndani ya mjadala huu....

USHAURI:

Ifanye hii kuwa mada tofauti na hii ili wana - nzengo wajadili mawazo yako....!!
 
Mkuu suala la kuitwa kwenye kamati ya bunge kujielezea halafu majibu yanatoka hadharani au kimya kimya?

Binafsi naona kuwe na kamati active ya usalama wa taifa inaweza ikawa chini ya wastaafu waliopita kwenye idara au vyombo vya ulinzi na usalama na lengo kubwa kufuatilia, kushauri na kupendekeza mwenendo mzima wa idara mkuu.

Mwisho TISS sio totally mbaya kabisa ila kuna baadhi ya amendment yanatakiwa yafanyike ili tuende kisasa kabisa.

Hapana, majibu yanaachwa twaite kwa kiingereza "between the four corners of the walls".

Ila hizo amendments I muhimu sana khasa kwenye sheria ta TISS ya mwaka 1996, muundo wake na taratibu zake za
ajira.
 
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .
Watumishi lazima wakuchukie kwa uliyoyaandika ni wote ni sahihi
 
Kwann kwenye mada zenye akili wewe unaleta upumbafu wako?
 
Ndio unasema uko nje? Viwanda vilikufa sababu ya mabadiliko ya teknolojia wewe.Na SI Tanzania tu viwanda vingi Hadi ulaya viko kibao vilivukufa kwa manlbadiliko ya teknolojia mfano zamani kulikuwa na kampuni.zinatengeneza nyaya za simu na vikombe vya Kufunga kwenye nguzo za simu zilipokuja simu za mkononi viwanda vya nyaya za simu vikafa kifo Cha mende.Eti TISS waliua stupid.Kubadilika teknolojia kumeua viwanda kibao dunia nzima Sio Tanzania tu
Sasa kama ni mabadiliko ya teknolojia ina maana TISS walikua wapi wasishauri ili kunusuru hivyo viwanda?

(akili zako huwaga unaacha wapi mkuu?)
 
Tatizo wabunge wanakosa nguvu za kuibana TISS kwakuwa unakuta wabunge wengi wameingia kwa kubaka box la kura na hao TISS wanajua. Sasa kama wabunge wengi wanaingia kwa hujuma na rais naye anaingia madarakani kwa utata, hapo unategemea kuwa na TISS imara?
Kwa vyote vyote vile hii taasisi inatakiwa iwe huru haraka iwezekanavyo, haijalishi kama wabunge watahusika ama laha

Maana ikiendelea kuwa hivi huu udhaifu tunaouona kwenye taasisi hii utaendelea kuwepo na mwisho wake sio mzuri
 
hahahahahahahaha jomba umenifanya nicheke sana..utafananishaje nchi ya dunia ya kwanza na dunia ya tatu..hivi unajitambua kweli..au kwa sababu unaona.mnalala nao mnawaoa na kuolewa nao mnajiona mko sawa..la hasha jomba..naomba ujue kuwa hata uingereza walivyokuwa kwenye transition period kipindi kama cha kwetu sasa , nao wali behave same way..iangalie uingereza wakati.ikiwa third world.country and not first world country..tumieni walau basi chembe tu ya akili zenu
Jombaa Nadhani wewe ndio unayepaswa kutumia akili zako timamu kama kweli unazo(maana hizi ulizotumia kuandika hapa ni za chooni) walau kidogo.

Jamaa alichokisema kwenye comment yake ni kitu chenye mantiki ambayo kwa bahati mbaya wewe umeshindwa kuiona na ukamjibi utumbo kwa kuhisi kwamba yeye ndio kaandika utumbo.

Sisi kuwa thir world country sio justification ya kuwa na mfumo mbovu wa kiutawala, tunaweza kuwa tunapita kwenye transition ndio Lakin kupita huko kwenye transition kusiwe ndio sababu ya kuruhusu uozo hata ambao tunaweza kuufanyia marekebisho bila shida yoyote.

Raisi Magufuli ana nguvu/yuko juu ya taasisi ambazo kimsingi hakutakiwa kuwa juu yake hata kidogo. Ana nguvu kuliko bunge, mahakama na TISS.

Na tunaona athari za yeye kuwa juu ya taasisi hizo kila mara. Sasa kwanini tusilirekebishe hili?

Jamaa anatoa mfano wa Uingereza usimbeze hata kidogo, maana wao ndio walituletea huu mfumo wa kiutawala tulionao na mpaka sasa hivi bado tunautumia sababu tunauona ni sahihi, sasa kama tunauona ni sahihi basi tuufuate kama wanavyo upractice wao huko 100% na sio kuumega vipande vipande tu kwa ajili ya maislahi ya watu fulani.
 
Nchi Zilizoendelea kama marekani FBI na CIA zina nguvu kuliko Rais. Anapopata Urais wanamfundisha kazi, kanuni, taratibu, miiko ma mipaka. Wanamuambia nini anaweza kufanya nini hawezi au haruhusiwi kufanya. Wanaweza kumchunguza na kumhoji. Wao wanampa ripoti na maelekezo zaidi ya yeye anavyowapa ripoti na maelekezo. Yeye anawategemea wao zaidi kuliko wao wanavyomtegemea yeye. Kuna vingi hua wanamkatalia wanamuambia HILO HAPANA MZEE
Na hivi ndivyo inavyotakiwa.

CIA wamewahi kumnyima Trump zile daily briefs kipindi kile wanachokozana sana na Kim Jung wa Korea kaskazini, na walifanya vile kama sehemu ya kulinda usalama wa taifa lao na Trump hakufanya kitu chochote.

Raisi na yeye ni raia kama walivyo raia wengine.. Anakosea, Ana tamaa anaweza kurubunika, sasa kitendo cha yeye kuiweka kiganjani taasisi muhimu inayosimamia usalama wa taifa ni sawa na kuukabidhi usalama wa taifa zima kwenye mikono yake.

Hivyo anaweza kuitumia anavyotaka kwa maslahi yake binafsi huku akiaacha hatari kwa taifa zima. Pia vile vile anaweza akarubunika na kuuza usalama wetu kwa huyo aliyemrubuni.

Ndio maana hata kukiondoa chama tawala kimekuwa ni kitu kisichowezekana sababu moja wapo ni hii.

Haya yote hayawezi kutokea ikiwa kama tutakuwa na TISS inayojitegemea, kwanini tusiifanyie reformation taasisi hii?
 
C&P
WHEN Tanzania’s President John Magufuli suddenly fired the director-general of the country’s intelligence and security service on Thursday this week, many were surprised but very few, if any, anticipated what was to follow.

Impeccable sources within the intelligence and the State House have confided to SAUTI KUBWA that the former Director-General of the Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Modestus Kipilimba, who was immediately impounded, is currently detained at one of the country’s “safe houses” in Dar es Salaam.

Kipilimba is expected to appear in court to answer a number of criminal charges including abuse of office, money laundering, embezzlement of public funds, economic sabotage, bribery and other forms of corruption.

Kipilimba is the first TISS boss to face such an embarrassment in the country’s history. But Magufuli’s action is not unique in the region. He is borrowing a leaf from Omar al Bashir, Sudan’s ousted president, Yoweri Museveni of Uganda, Pierre Nkurunziza of Burundi and Paul Kagame of Rwanda, who fired, incarcerated, and even assassinated their intelligence bosses on various grounds.

It is understood that he was very unpopular among the staff of his own intelligence system because most of his subordinates considered him corrupt and unqualified for the job although he had earned the president’s trust, although it has been rumoured that Kipilimba was recently implicated in secretly dealing with Magufuli’s political foes. This charge will definitely not surface in court.

“We are even surprised at how he managed to survive in this post that long because his weaknesses were known and reported to the president within six weeks of his appointment. But the president must have been comfortable with him because he was obedient enough to the president’s orders,” says one anonymous source.

Kipilimba served as TISS for three years. He has been replaced by Diwani Athumani, a police officer who has previously worked as Director of Criminal Investigations, Regional Administrative Secretary and Director General for the Prevention and Combating of Corruption Bureau.

Three years ago, when President Magufuli took office, he impulsively fired Athuman from the office of DCI on corruption grounds. When his advisors told him about the risks of rendering jobless such an officer, he appointed him to a junior post in Kagera region, making him a regional administrative secretary. When he differed with the then PCCB boss, Valentino Mokiwa, he fired him and promoted Athuman to the office.

His rise to the post of TISS boss surprises many, and few do expect him to do better than Kipilimba because, like Kipilimba, he, too, has proven himself as an “obedient advisor” to the president.

“During his tenure with PCCB, Athuman has proven to the president that he can as obedient and pleasing as possible to him. And given his background as a police officer, he is expected to observe more obedience than advice to the president. Kipilimba failed in so many ways and for so many reasons, but one of them was his excessive obedience to the president,” says another impeccable source.

By firing Kipilimba, President Magufuli is attempting to distance himself from several criminal accusations that have gripped the nation in the last four years, during which tens of government critics have been tortured and killed by rogue elements within TISS.

This is one of the charges that Kipilimba might face, but analysts wonder if such charges can be brought against him because in the cause of defending himself he might end up implicating the president who heh so far obeyed to every dot.

Kipilimba’s deputy, John Nyaulingo, was recently involved in a road accident that ended up having his legs cut off. He has not been seen in public for the past three weeks, with some sources claiming he passed away and was secretly buried. His post had been taken over by someone else. But some sources within TISS have told SAUTI KUBWA that, “Nyaulingo is not dead. He is just unable to perform his duties because he is crippled.”

Kipilimba’s sacking was not unexpected. In Mid June 2019, President Magufuli convened a meeting with all top officers within TISS. He rebuked Kipilimba in the presence of his subordinates.

Three weeks ago, the president conducted a secret survey among TISS staff. Most of them pointed an accusing finger to Kipilimba, balming him for destabilising TISS, haphazardly recruiting incompetent and untrained personnel, some of whom are his relatives and colleagues from his church.

From the time Kipilimba was appointed TIss boss in August 2016, but the opposition has been accusing him of corrupt practices particularly in connection with his former designation as the acting director-general for the National Identification Agency (NIDA). Magufuli turned a deaf ear to such allegations until it proved too much for him to bear.

Analysts link his action with the 2020 general election as Magufuli seeks a second term. His first term has proven hostile to the people and to himself, and he has continuously become unpopular due to his brutal politics that have turned a formerly peaceful Tanzania into a state of terror.

in the eyes of many, even Athuman is not an ideal choice for the post. As a police officer without the necessary intelligence skills, and with no institutional memory and lacking proper contacts in the system, Athuman is likely to commit similar errors to those of his predecessor. He is likely to employ fear and obedience as his main tools to lead TISS.

Others say Athuman is equally disposable and he knows it, having been fired and demoted by the same president three years ago. The president later tested and trusted his obedience during his brief stint at PCCB.

Should anything happen after next year’s general election, the police and army post may likely need fresh appointments. The police chief, Simon Sirro is nearing retirement, as the army chief Venance Mabeyo is working on a special contract. Athuman would be the president’s most likely appointment for the post of Inspector General of Police (IGP).
 
Pamoja na yote yaliyojadiliwa na wachangiaji kwenye Uzi huu, pia kama taifa tunahitaji kupitia upya malengo ya mfumo wa vyama vingi kwa masilahi mapana ya nchi. Kwani sijui kama taifa tulipoanzisha/tulolipoingia kwenye mfumo huu tulidhamiria nn kama taifa, kwani Leo mfumo huu unajenga chuki kati chama kilicho madarakani na vyama vingine.
Jambo hili lina zaa ukanda, uchama na hata ukabila.
Leo kuna watu wanajiona ndio watanzania zaidi ya wengine wakati kuna wengine wana omba mabaya juu nchi hii.
Ushahidi mdogo tu ni maana ya neno Uzalendo, kila mtanzania ana maana tofauti na mwingine. Ikitegemea unatoka / unashabikia chama gani.

Uko sahihi sana, na wakati wa kujadili hayo tujadili kama watanzania na isitokee ccm ikateka mjadala, maana huo mchakato utanajisiwa. Kwani chuki kubwa inazaliwa wakati wa uchaguzi kutokana na hujuma ya wazi inayofanyika.
 
Mkuu suala la kuitwa kwenye kamati ya bunge kujielezea halafu majibu yanatoka hadharani au kimya kimya?

Binafsi naona kuwe na kamati active ya usalama wa taifa inaweza ikawa chini ya wastaafu waliopita kwenye idara au vyombo vya ulinzi na usalama na lengo kubwa kufuatilia, kushauri na kupendekeza mwenendo mzima wa idara mkuu.

Mwisho TISS sio totally mbaya kabisa ila kuna baadhi ya amendment yanatakiwa yafanyike ili tuende kisasa kabisa.

Hao wastaafu unaowapendekeza wote ni wanaccm na wanaongozwa na itikadi. Moja ya tatizo kubwa la TISS ni kuendeshwa kwa siasa za kiccm. Tiss inapaswa kuwa hata juu ya rais.
 
Back
Top Bottom