Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
- Thread starter
- #21
Anampita @RRONDO?
Kumbe mzuri hivi
Kumbe mzuri hivi
Boss Ruge ?Kwa sababu unamtamani boss!
Ampati hata kucha!!!Anampita @RRONDO?
Macho hayana paziaKuna watu humu macho yao yataelekeza sehemu moja tu.
Huyu jamaa nilibahatika kukaa nae siti jirani kwenye ndege. Brother Maxence Melo mimi ni yule jamaa niliempisha your son achungulie dirishani tulipokaribia kutua DXB. Very nice guy.
Tunauza mapazia ya macho.Macho hayana pazia
Kwa sababu unamtamani boss!
Teh ....Hehehehehheheee sema SU nikufundishe, ila ukinogewa uvumilie maana hata utamu una namna ya kuuvumilia, laah utajikuta unauza mechi....
Looh polee, kumbe umesema wewe ni mtoto...
Am your auntie then....
Auntie K’
AiseeeeeeeeHuyu ndiye anamiliki hadi Zero IQ humu jukwaani?
Mkuu samahani nilikuwa nakuita uje, nina siku nyingi sijaona taarifa zako au unaumwa?Aiseeeeeeee
Mi mzima wa Afya kabisa mkuuMkuu samahani nilikuwa nakuita uje, nina siku nyingi sijaona taarifa zako au unaumwa?
Mkuu, hata hukushtua I see? That's unfair jamani. Asante kwa ukarimu wako, mwanangu alifurahi na alieleza kuwa kuna mtu alimpa fursa hiyo.Huyu jamaa nilibahatika kukaa nae siti jirani kwenye ndege. Brother Maxence Melo mimi ni yule jamaa niliempisha your son achungulie dirishani tulipokaribia kutua DXB. Very nice guy.
Ha ha ha nilipanga nije niku-surprise humu kijiweni though I regretted not to take your contacts coz tungeweza kukutana for a coffeeMkuu, hata hukushtua I see? That's unfair jamani. Asante kwa ukarimu wako, mwanangu alifurahi na alieleza kuwa kuna mtu alimpa fursa hiyo.
Once again, asante sana!
Ha ha ha nilipanga nije niku-surprise humu kijiweni though I regretted not to take your contacts coz tungeweza kukutana for a coffee
Teh ....
Unanifurahisha sana
TehKuna likes ukizipata unaona kama umepokea dollar hehehehehehhe Kasie Matata mie, sijui Matata yenyewe yataisha lini.
Maxence Melo nimepata wazo, kama ikiwezekana kuwe na uwezo (option) wa members ku quote like wanayoipata.....
Thanks for your likes man, I know there are members humu hawajawahi kupata sio tuu quotes zako hata likes....
You are the founder of this forum, SO am proud to have your likes ....
Kungekuwa na uwezo wa kuziframe (your likes) would’ve done that so I could easily see that whenever I feel like hehehehehheee
Najua kuna watu watasema nna vimelea vya ushomile hehehehehe waaapiiii, ni vurugu tuu za Kasie.
Am happy to have your likes...
Wakora Tata.
Kasie Matata Mavurugu.