Paparazzi mie bado nipo kazini!

Huyu jamaa nilibahatika kukaa nae siti jirani kwenye ndege. Brother Maxence Melo mimi ni yule jamaa niliempisha your son achungulie dirishani tulipokaribia kutua DXB. Very nice guy.

Ooohooo 😂😂😂 double R baanaa

Asante kwa kunipigia chepuo...🤩🤩🤓🤓

Heey Melo, mimi ni yule bibi tuliyesabahiana usiku wa kuingia mwaka mpya wa 2018 nilikuwa naitwa Kasinde siku hizi ni almaarufu kigagula Kasie Matata.

Tena umenikumbusha ugomvi wa DXB..... sijui niuanzishe...🧐🤨🤪
 
Hehehehehheheee sema SU nikufundishe, ila ukinogewa uvumilie maana hata utamu una namna ya kuuvumilia, laah utajikuta unauza mechi....

Looh polee, kumbe umesema wewe ni mtoto...
Am your auntie then....

Auntie K’
Teh ....

Unanifurahisha sana
 
Huyu jamaa nilibahatika kukaa nae siti jirani kwenye ndege. Brother Maxence Melo mimi ni yule jamaa niliempisha your son achungulie dirishani tulipokaribia kutua DXB. Very nice guy.
Mkuu, hata hukushtua I see? That's unfair jamani. Asante kwa ukarimu wako, mwanangu alifurahi na alieleza kuwa kuna mtu alimpa fursa hiyo.

Once again, asante sana!
 
Ha ha ha nilipanga nije niku-surprise humu kijiweni though I regretted not to take your contacts coz tungeweza kukutana for a coffee

Hahahahaha pole kwa kupoteza fursa, ila usijali siku nyingine ntakuandikia to do list mapema ili usiwe unasahau coffee networking ...😜😜😅😅😅

Ugomvi wa DXB ndo ushaanza hivooo 😜🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Kuna likes ukizipata unaona kama umepokea dollar 💵 hehehehehehhe Kasie Matata mie, sijui Matata yenyewe yataisha lini.

Maxence Melo nimepata wazo, kama ikiwezekana kuwe na uwezo (option) wa members ku quote like wanayoipata.....

Thanks for your likes man, I know there are members humu hawajawahi kupata sio tuu quotes zako hata likes....

You are the founder of this forum, SO am proud to have your likes ....😇
Kungekuwa na uwezo wa kuziframe (your likes) would’ve done that so I could easily see that whenever I feel like hehehehehheee

Najua kuna watu watasema nna vimelea vya ushomile hehehehehe waaapiiii, ni vurugu tuu za Kasie.

Am happy to have your likes...

Wakora Tata.

Kasie Matata Mavurugu.
 
Kuna likes ukizipata unaona kama umepokea dollar hehehehehehhe Kasie Matata mie, sijui Matata yenyewe yataisha lini.

Maxence Melo nimepata wazo, kama ikiwezekana kuwe na uwezo (option) wa members ku quote like wanayoipata.....

Thanks for your likes man, I know there are members humu hawajawahi kupata sio tuu quotes zako hata likes....

You are the founder of this forum, SO am proud to have your likes ....
Kungekuwa na uwezo wa kuziframe (your likes) would’ve done that so I could easily see that whenever I feel like hehehehehheee

Najua kuna watu watasema nna vimelea vya ushomile hehehehehe waaapiiii, ni vurugu tuu za Kasie.

Am happy to have your likes...

Wakora Tata.

Kasie Matata Mavurugu.
Teh

Back
Top Bottom