Paparazzi mie bado nipo kazini!

Kasie

Kasie

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
13,544
Points
2,000
Kasie

Kasie

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
13,544 2,000


Mi ntoto hayo mahaba ndo yakoje

Hehehehehheheee sema SU nikufundishe, ila ukinogewa uvumilie maana hata utamu una namna ya kuuvumilia, laah utajikuta unauza mechi....๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Looh polee, kumbe umesema wewe ni mtoto...
Am your auntie then....

Auntie Kโ€™
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
35,709
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
35,709 2,000
Nimejikuta natizama maeneo ya zipu...... msiseme akili yangu chafu looh, macho hayana adabu wala pazia.....
Huyu jamaa nilibahatika kukaa nae siti jirani kwenye ndege. Brother Maxence Melo mimi ni yule jamaa niliempisha your son achungulie dirishani tulipokaribia kutua DXB. Very nice guy.
 

Forum statistics

Threads 1,303,744
Members 501,077
Posts 31,490,832
Top