Paparazzi mie bado nipo kazini!

Kuna likes ukizipata unaona kama umepokea dollar hehehehehehhe Kasie Matata mie, sijui Matata yenyewe yataisha lini.

Maxence Melo nimepata wazo, kama ikiwezekana kuwe na uwezo (option) wa members ku quote like wanayoipata.....

Thanks for your likes man, I know there are members humu hawajawahi kupata sio tuu quotes zako hata likes....

You are the founder of this forum, SO am proud to have your likes ....
Kungekuwa na uwezo wa kuziframe (your likes) would’ve done that so I could easily see that whenever I feel like hehehehehheee

Najua kuna watu watasema nna vimelea vya ushomile hehehehehe waaapiiii, ni vurugu tuu za Kasie.

Am happy to have your likes...



Wakora Tata.

Kasie Matata Mavurugu.
Mmenikumbusha, kuna siku nilipata likes ya bro Maxence Melo Nakumbuka ilikuwa kwenye uzi uliohusu birthday yake. Unaambiwa usiku usingizi ulikuwa haupatikani kama nimepewa milioni 50 za kushtukiza au kama nimeshinda kwenye kubeti
 
Kama nyote mmeona kama nilivyoona basi ambao hatufiki mbinnguni tuko wengi.😂

Ila wanawake ni wambea, wameona suti ilivyomkaa fresh macho kodo paleeee😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom