Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Huyo mbona alishatoka kitambo tu akakimbilia Uganda au nimesahau?Bado Ndama Mutoto ya Ng'ombe (Son of Cow).
Huyo mbona alishatoka kitambo tu akakimbilia Uganda au nimesahau?Bado Ndama Mutoto ya Ng'ombe (Son of Cow).
sasa kwanini wanaachiwa hao wenye pesa tu mbona walalahoi hawaachiwi au sheria ndo kusema sheria kumbe sio msumeno?Watu wapo ndani miaka upelelezi haujakamilika, jinai haifi ikithibitika wana makosa watawakamata tena
Yule ni Jack PembaHuyo mbona alishatoka kitambo tu akakimbilia Uganda au nimesahau ?
Wewe ni mtu mjinga sana! Rudi ujisomee historia ya hao wanaoachiwa uone!Kwa kweli tulikuwa na utawala wa hovyo sn dikteta aliamini kila aliyefanikiwa ni wizi.
Sioni haja ya Sabaya kuendelea kushikiliwa.Majambazi yanarudi mtaani.Hali si shwari
Kwanini wasitoe watu masikini waliofungwa kwa wizi wa kuku ambao kesi zao hazina miguu wala kichwa badala yake wanaachiwa hao mafisadi pekee?Ni mkakati maalum wa kupunguza mahabusu magerezani na kufuta kesi za muda mrefu zenye ushahidi usioeleweka ama wenye michanganyo mingi
Huyu papaa Msofe alikuwa mhuni, muonevu sana, DPP asilifunge jalada la huyu jamaa, Watu wanasema huyu mtu siyo mzuri.
Kwa huyu jamaa DPP kachemsha
Acha kudemka!Huyu Msofe ameumiza sana watu. Hakustahili kuachiwa.
Acha kudemkaHuyu papaa Msofe alikuwa mhuni, muonevu sana, DPP asilifunge jalada la huyu jamaa, Watu wanasema huyu mtu siyo mzuri.
Kwa huyu jamaa DPP kachemsha
Si asubuhi tu hapa kwenye ule uzi wa Sabaya ulikuwa unasema sasa tuko kwenye utawala wa sheria?DPP yuko kimaslahi zaidi
Jipe moyo..Hawa watu itakuwa lazima wanaachiwa kwa masharti ya kurejesha walivyovikomba kama ilivyo kwa Singa...
Hamna jema, sasa kesi hakuna ushahidi ya nini kuendelea nayo?Huyu papaa Msofe alikuwa mhuni, muonevu sana, DPP asilifunge jalada la huyu jamaa, Watu wanasema huyu mtu siyo mzuri.
Kwa huyu jamaa DPP kachemsha
Hivi unadhani ni sifa kuwa na kesi nyingi zisizokuwa na ushahidi?DPP yuko kimaslahi zaidi
Sugang poleHuyu Dpp anafungulia watu kama hana akili nzuri! Ubaya anayafanya haya ili kufurahisha watu... tungoje mìezi kadhaa hapo mbele ndio atajua hajui
Naomba kujua ZITO ana maoni gani maana alikuwa anamtukana sana Dpp wa Magu na akasifia sana SamiaKwa waliopo lupango sasa hivi kwa kesi za "uhujumu uchumi" au "kutakatisha fedha kwa sabuni ya omo", huu sasa ndio muda stahiki wa wapambe wao kumwaga pesa ili wake linked na "connections" za uhakika na mwisho wa siku DPP aibuke na kauli ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi husika.
Kwakweli hapana na ndio hayo maslahi ninayomaanisha pamoja na hayo mengineHivi unadhani ni sifa kuwa na kesi nyingi zisizokuwa na ushahidi?