Papa Francis: There are limits to free expression

Papa Francis: There are limits to free expression

Status
Not open for further replies.
Quran inasema hao wavulana wanang'aa kama Pearl, pia hawazeeki, huo si Ushoga mbinguni?

Kuhusu ubakaji wa watoto kwa mapadre, hiyo ni dhambi kama dhambi nyingine, ndio maana hapa TZ waalimu wa madrasa wanaongoza kwa kubaka watoto
dogo Qur'an inasema wanaume wanang'a kama Pearl, hao si wanaume wa duniani dogo. Kule Peponu hakuna wabaya, wanaume na wanawake wote ni wazuri tu. Hata wewe ukipata chance ya kuingia peponi utakuwa mzuri tu una nga'a kama lulu sa kosa liko wapi. We uliwahi kusikia kisa cha Nabii Yousuf au hujakisikia. Kasome Qur'an sura ya Yousufu utafahamu mana ya mwanaume mzuri anavutia, sio lazima awe shoga. Nabii Yousufu alikuwa anavutia na hakuwa shoga.
 
Hapana Mkuu, Unajua kwenye hizo ahadi za kupewa wavulana wadogo kuna walakini.

1.Quran inasema they wil be served.Neno "Served" lina maana kubwa, yaani mtapewa wavulana, kwa ajili gani?, kwa ajili ya kuwasaidia nini?, ni kwa ajili ya kutoa hamu za kimwili au kwa nini?

2. Pia ukitazama, hao wavulana wanasifiwa ni wazuri, yaani wanang'aa kama Pearl, hawazeeki. Kwanini sifa zote hizi?, kuna walakini hapo, kwanini wavulana wawe walembo. Kuna Fumbo zito hapo

Wahudumu huwa wanakusaidia nini?

Wale wahudumu wa Papa ni wanawake? Huwa wanamsaidia nini?

Unapokwenda bar kupata kitimoto na divai huwa wanaku-serve "kondoo wa bwana"? Au hukutani na vijana wadogo huko walioajiriwa kuku-serve wewe mla kitimoto? Huwa wanakupatia nini zaidi ya kitimoto na divai?
 
Last edited by a moderator:
Mkristo kukimbilia Msikitini ni sawa na kujirusha kwenye mto wenye mamba. Hapa kwetu tayari mmechoma makanisa 30, jana huko Niger (Africa) yamechomwa makanisa 8 eti kwa sababu ya visa vya Ufaransa (ulaya)

Ikiwa wote hawa huwaamini wanaoeleza kuwa Wakristo walikimbilia misikitini huwaamini? sijui utamuamini zaidi tena, naona tatizo lako kubwa ni wewe mwenyewe kuukimbia ukweli.

Ikiwa huuamini hata ukweli uliopo mbele ya macho yako? unazidi kunikinaisha kuwa Qur'an ni kitabu cha Mwenyeezi Mungu na hakikosei. Ahsante sana.

Islam Attracting Many Survivors of Rwanda Genocide (washingtonpost.com)

Since '94 Horror, Rwandans Turn Toward Islam - NYTimes.com

The Mosques of Rwanda | Warscapes

A good man in Rwanda

Muslims move into mainstream in Rwanda - On Line Opinion - 28/8/2012

A Discussion with Sheikh Saleh Habimana, Head Mufti of the Islamic Community of Rwanda

https://rwandablog.wordpress.com/anonymous-helped-to-save-15-tutsis/

Story of the Rwandan Saviours
 
Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Mathayo 5:44-45
44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

MUSLIM WOMEN REFUGEES ENJOYING LOVE PREACHED BY JESUS

MUSLIM SAFE IN THE CHURCH

Aya iko very clear hiyo na wewe kwa post zako humu unaiyakinisha kabisa. Sasa sema, Wakristo si marafiki zenu Wayahudi? nyie mna urafiki na Uislam au Waislam? au ni wale wale wanaosemwa hapo "ni katika wao"?

Nyinyi tujuwane tu, hujambo, sijambo lakini urafiki, No way. Au hujuwi maana ya urafiki wewe> mnaweza kuwa ndugu lakini msiwe marafiki, mnaweza kuwa wazazi lakini msiwe marafiki na watoto zenu. Hilo mbona liko wazi kabisa.
 
Tazama jinsi Ma ustaadhi wa Kishia wanavyopiga Swala kanisani baada ya kukimbia mapanga ya waislam wenzao wa Sunni

_66643923_muslims_in_church.jpg

Unaonesha dhahiri kuwa huujuwi Uislam wewe, hilo ndiyo tatizo lako kubwa. Pata darsa dogo hapa:

Qur'an 5:82
You will surely find the most intense of the people in animosity toward the believers [to be] the Jews and those who associate others with Allah ; and you will find the nearest of them in affection to the believers those who say, "We are Christians." That is because among them are priests and monks and because they are not arrogant.
 
Quran inasema hao wavulana wanang'aa kama Pearl, pia hawazeeki, huo si Ushoga mbinguni?

Kuhusu ubakaji wa watoto kwa mapadre, hiyo ni dhambi kama dhambi nyingine, ndio maana hapa TZ waalimu wa madrasa wanaongoza kwa kubaka watoto

Ushoga mbinguni?
Ushoga ni hapa hapa Vatican.
Na mapadre wanawabariki vijana wa kiume kwa jina la baba ,mwana na rohochafu.

The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair

Wewe mchungaji "unawabariki" vijana kwa jina la nani?
 
Hapana Mkuu, Unajua kwenye hizo ahadi za kupewa wavulana wadogo kuna walakini.

1.Quran inasema they wil be served.Neno "Served" lina maana kubwa, yaani mtapewa wavulana, kwa ajili gani?, kwa ajili ya kuwasaidia nini?, ni kwa ajili ya kutoa hamu za kimwili au kwa nini?

2. Pia ukitazama, hao wavulana wanasifiwa ni wazuri, yaani wanang'aa kama Pearl, hawazeeki. Kwanini sifa zote hizi?, kuna walakini hapo, kwanini wavulana wawe walembo. Kuna Fumbo zito hapo
Qur'an ikimsifia mtu mzuri sio lazima awe shoga, hata Nabii Yousuf alisifiwa ni mzur na anavutia kwenye Qur'ani sijawahi kusikia kawa shoga. Qur'an ikisfia mtu mzuri na anang'aa kama lulu ina mana ana nga'a kwa kutokuwa ana dhambi, muislam akiwa hana dhambi ananga'a sura yake na Qur'an iansema hata wanaume waduniani wanao salii sura zao zina nuru, sa hapo lipi jipya. Wewe kwa kuwa mawazo yako yakishoga shoga ndio umefikiria ushoga hapo.
 
Sawa mkuu, lakini kumbuka hao wavulana mpaka sasa si wanadamu, inakuwaje wasifiwe wakati hawajawahi kutokea duniani?, lakini kwanini mkabidhiwe wavulana? ni kwa ajili gani, au ni kwa ajili ya kutuma sokoni mkiwa mbinguni?, Au ni kwa ajili ya kuwatuma wakawachotee Pombe mtoni?, bado kuna tatizo hapo mkuu, haiwezekani Quran ikasema mtapewa wavulana wanaong'aa, wazuri, wasio zeeka, kwa ajili gani?
 
Unaonesha dhahiri kuwa huujuwi Uislam wewe, hilo ndiyo tatizo lako kubwa. Pata darsa dogo hapa:

Qur'an 5:82
You will surely find the most intense of the people in animosity toward the believers [to be] the Jews and those who associate others with Allah ; and you will find the nearest of them in affection to the believers those who say, "We are Christians." That is because among them are priests and monks and because they are not arrogant.

Surah 5:51 Inapingana na hayo mafundisho yenu, ni unafiki tu, mbona tayari mmechoma makanisa zaidi ya 30 hapa TZ bila kosa la maana?
 
WAISLAM WOTE NAOMBA MNIPE MAANA YA SURA HII

Surah 48:29

Muhammad ni mtume wa Mungu. Wale wamfuatao hawana huruma kwa wasio waislam, lakini wanahurumiana wao kwa wao tu(hurumia mwislam mwenzio)

Sahih International
Muhammad is the Messenger of Allah ; and those with him are forceful against the disbelievers, merciful among themselves.
 
Hebu kwanza tazama hata bibilia za kiswahili zinaleta ushoga hapo, Yesu alikuwa anawabusu wanaume wale wanafunzi wake sio? Hapo Marko 14: 51-53 Hebu niambie kwanini yule kijana alimfata Yesu AFU BADAYE akakimbia uchi hahah, sa na bibilia ya Kiswahili inathibitisha ushoga wa Yesu pia au uwongo. Poleni wakristo.

Dah mi nawasiwasi we Adiosamigo ndo utakuwa shoga maana unalazimisha sana ushoga sehemu ambayo haupo,mi Muislam mwenzio lakini nakushangaa na sina hakika na akili yako kama ipo sawia shehe wangu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nonda, mbona hapa TZ kuna mwalimu wa madrasa alimbaka mtoto akiwa kamshikisha Quran mkononi huku akimtisha, au huyo nae yuko Vatican?
Mkuu Kakende, mhashamu, mchungaji hivi huelewi kuwa ushoga umeshakuwa sehemu ya ibada huko makanisani na seminari?
Hili pia utalikanusha?
 
WAISLAM WOTE NAOMBA MNIPE MAANA YA SURA HII

Surah 48:29

Muhammad ni mtume wa Mungu. Wale wamfuatao hawana huruma kwa wasio waislam, lakini wanahurumiana wao kwa wao tu(hurumia mwislam mwenzio)

Sahih International
Muhammad is the Messenger of Allah ; and those with him are forceful against the disbelievers, merciful among themselves.

Umebandua au umesoma mlango mzima?
Muhammad is the Messenger of Allah ; and those with him are forceful against the disbelievers, merciful among themselves. You see them bowing and prostrating [in prayer], seeking bounty from Allah and [His] pleasure. Their mark is on their faces from the trace of prostration. That is their description in the Torah. And their description in the Gospel is as a plant which produces its offshoots and strengthens them so they grow firm and stand upon their stalks, delighting the sowers - so that Allah may enrage by them the disbelievers. Allah has promised those who believe and do righteous deeds among them forgiveness and a great reward.

Unataka maana ya ayat, bofya link The American Muslim (TAM)

Allah aulainishe moyo wako ili uujue ukweli na ufuate njia ya haki. Ameen.
 
Dah mi nawasiwasi we Adiosamigo ndo utakuwa shoga maana unalazimisha sana ushoga sehemu ambayo haupo,mi Muislam mwenzio lakini nakushangaa na sina hakika na akili yako kama ipo sawia shehe wangu.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe?

Link BBC - Future - Why can?t you tickle yourself?

Hio avatar yako inajisemea kuwa wewe si muislamu.

Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe siku hiyo ikifika.
 
Papa Francis alitakiwa kusema kuwa 'naturally binadamu ulipiza kwa tendo baya analotendewa LAKINI Yesu Kristo ametufundisha tufanye kinyume chake yaani usilipize ubaya kwa ubaya bali lipa uzuri kwa ubaya'. Angesema hivi ingeendana sana na nafasi yake katika Kanisa Katoliki!!!
well said mkuu
 
Qur'an si gazeti mpaa lichapishwe kila wakati, hio sio bibilia. Afu point ulizo ziongea hapo zote zinaonyesha vipi hutumii akili kujibu hoja na izo Aya sijui umezitoa wapi, sijui kanisani mnapewa Qur'an tofouti na wanayo soma waislam. Qur'an 8:40 insame hivi; Na kama wakigeuka basi jueni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wenu, ni Mola Mwema na Msaidizi Mwema.

dogo Qur'an sio lele mama ujiwekee unavyo taka wewe unadhani hio bibilia. dogo; Was Mary Magdalene Wife of Jesus? or Was Mary Magdalene a Prostitute? Kuna wengi wanasema hajaolewa na Yesu na Yesu hana mke lakini alikuwa hatoki kwa Yesu na alikuwepo pale mnasema Yesu anapigiliwa msalabani? Hubeu tupe ukweli huyo ni nani yake Yesu, na kama walifunga ndoa ilifungwa wapi? Mnaona kama wakristo mnamtukana Yesu afu mnabisha.
huu ni unabii:
yesu akawaambia....Luka 21: 33 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
 
Hahaha dogo 2013 mimi nafurahi sana napo ona unatafuta point za kijinga. Toka lini mimi nikawa mmiliki wa hii Forum. Afu sijaona wapi mmetuzidia nacho ona nyie ndio hamna kitu zaidi yakurudia ujinga huo huo. tukiwawekea point mnajidai hamzioni.
kitendo cha wewe kujiita mwislamu na kuanza kumtukana yesu na kumlinganisha na shoga na kusema kamwoa maria magdalena kimenifanya nione kama unazidiwa.huwezi kuwa kichaa wa kushindwa kujenga hoja makini kiasi hicho. probably umelenga kutuumiza na kutuudhi.na kama umelenga kutuudhi bila hoja ya msingi ni wazi kuwa umeudhika tayari. what else can i say?? it means you're pathetic.

Ni kweli kuwa wakristo tunamwamini Yesu. na ni ukweli kuwa waislamu wanamwamini mwamadi lakini bottom line ni kuwa wakristo hatumkubali mwamadi, lakini waislamu mna TWO FACE kuhusu Yesu. sometimes yes sometimes no. kwa wewe umejidhihirisha kuwa ni NO.pole sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom