Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Nimekubandikia vyanzo kila aina, lakini naona unajifanya huelewi.
Siwezi kukataa kama Waislam wanaweza kukimbilia Kanisani kujiokoa, wao ni binaadam pia. Lakini ukweli ni kuwa huko CAR hakuna anaeheshimu Kanisa wa Msikiti, wanauwana hovyo.
Lakini chakushangaza ni wewe pale ambapo hukubali kuwa Waislam wamewakoa si Wakristo tu kwa maelfu hata Mayahudi pia. Hivi unaona taabu gani kuukubali huo ukweli?
Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Mathayo 5:44-45
44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
MUSLIM WOMEN REFUGEES ENJOYING LOVE PREACHED BY JESUS
MUSLIM SAFE IN THE CHURCH