Hakuna mkiristo hatayeweza kuimaliza dunia,km kukashifia wote tunakashifian lkn sio kwa kutumia media,nionyeshe gazeti moja la kiislamu lillilowai kuchora kikatuni cha Yesu,km tukashifian n ss wa afrika tena wa mashariki kwenye miadhara yet y kina Mazinge n Simba Uranga,lkn ukiangalia debet zinazofanyika ulaya n Asia hata Àfrik y kaskazini hakuna debet za kukashifiana,tafuta debet,za Dk Zakir Naik,Yusuf Estet,Bilal Philis,Hussen Yao,n Al marhumu Hamed Dedat,kama walishawai kukashifu ukiristo au dini yoyot isiyoku uislamu,wamefanya midahalo sehemu nyingi za ulaya,amerika n asia,hawajawai kukashifu dini y mtu,iweje leo wao wazungu kila ck wachore kikatuni n kulinganisha n Mtume wetu Muhaamad,hz si dharau watazotufanyia.