Papa Francis: There are limits to free expression

Papa Francis: There are limits to free expression

Status
Not open for further replies.
Surah 5:51 Inapingana na hayo mafundisho yenu, ni unafiki tu, mbona tayari mmechoma makanisa zaidi ya 30 hapa TZ bila kosa la maana?

Hii hapa tena nakuwekea tena ya Kiswahili ili usipate tabu, nini hapa kinapingana?

Qur'an 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
 
Since '94 Horror, Rwandans Turn Toward Islam

KIGALI, Rwanda, April 6- When 800,000 of their countrymen were killed in massacres that began 10 years ago this week, many Rwandans lost faith not only in their government but in their religion as well. Today, in what is still a predominantly Catholic country, Islam is the fastest growing religion.
Roman Catholicism has been the dominant faith in Rwanda for more than a century. But many people, disgusted by the role that some priests and nuns played in the killing frenzy, have shunned organized religion altogether, and many more have turned to Islam.
''People died in my old church, and the pastor helped the killers,'' said Yakobo Djuma Nzeyimana, 21, who became a Muslim in 1996. ''I couldn't go back and pray there. I had to find something else.''
Source: Since '94 Horror, Rwandans Turn Toward Islam - NYTimes.com
FaizaFoxy unahabari waislamu wamechoma makanisa huko niger kwasababu ya kuchukizwa na katuni ya muhammad ya charlie hebdo?
 
FaizaFoxy unahabari waislamu wamechoma makanisa huko niger kwasababu ya kuchukizwa na katuni ya muhammad ya charlie hebdo?

Kuna nyuzi yake imefunguliwa kuhusu hilo.

Kuhusu makanisa na au misikiti kuchomwa moto si jambo geni duniani, halijaanza leo na kwa hivi linavyokwenda sioni dalili ya kwisha leo au kesho.

Ni mpaka pale kila mmoja atapotambuwa mipaka ya dini na au imani yake kwa mwenzake na kufata ile amani inayohubiriwa na dini na imani nyingi.

Kama papa alivyosema, ukichezea imani ya mwenzako tegemea kichapo.
 
Lost in translation, kakende?

Link Surat An-Nahl [16:68-69] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Then eat from all the fruits and follow the ways of your Lord laid down [for you]." There emerges from their bellies a drink, varying in colors, in which there is healing for people. Indeed in that is a sign for a people who give thought.

Kakende, does it say eat fruits or eat from the fruits?

Mkuu shukran Jazila. Problem solved. Atakaendelea kubisha baada ya hoja hii kwa aya hii, huyo ni Ibilisi kama Mashetani wengine.
 
Lost in translation, kakende?

Link Surat An-Nahl [16:68-69] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Then eat from all the fruits and follow the ways of your Lord laid down [for you]." There emerges from their bellies a drink, varying in colors, in which there is healing for people. Indeed in that is a sign for a people who give thought.

Kakende, does it say eat fruits or eat from the fruits?

Hao ndiyo zao hizo, aya zote wanazoleta humu wanazibadilisha maana, sijuwi huo uongo unawasaidia nini? Mimi naona wanajidanganya nafsi zao.
 
Kuna nyuzi yake imefunguliwa kuhusu hilo.

Kuhusu makanisa kuchomwa moto si jambo geni duniani, halijaanza leo na kwa hivi linavyokwenda sioni dalili ya kwisha leo au kesho.

Ni mpaka pale kila mmoja atapotambuwa mipaka ya dini na au imani yake kwa mwenzake na kufata ile amani inayohubiriwa na dini na imani nyingi.

Kama papa alivyosema, ukichezea imani ya mwenzako tegemea kichapo.
kwahiyo kwa maoni yako ni Wakristo ndio waliowachokoza waislamu? ndio maan wakachoma makanisa???
 
kwahiyo kwa maoni yako ni Wakristo ndio waliowachokoza waislamu? ndio maan wakachoma makanisa???

Anyone who insults a religion can expect "a punch in the nose" - Pope Francis
 
Dah mi nawasiwasi we Adiosamigo ndo utakuwa shoga maana unalazimisha sana ushoga sehemu ambayo haupo,mi Muislam mwenzio lakini nakushangaa na sina hakika na akili yako kama ipo sawia shehe wangu.
Dalili hizi zinaonyesha wewe kweli ni muislam
avatar87564_1.gif
Afu najua wazi wewe kimekukera nimeichambua bibilia kuonyesha inamtukana Yesu kwa kumuita shoga, na kumuita mwehu. Sa umeona ujidai kujita muislam hahaha. Kuhusu point ya kusema mimi ni shoga hahaha kweli unafurahisha, ushoga wangu umetokea wapi au wewe ndio patner wangu na pumulia kwako. dogo mimi nikiwa shoga sikuogopi wewe wala baba yako, wala babu yako, na mababu zako wote, NISIMUOGOPE MUNGU NIOGOPE BINADAMU tena kajitu kajinga kama wewe sitasema tu, weka haya akilini kwako. Najua wakristo ni wanafiki tu, ndio mana ukajidai muislam wakati ni mkristo ili utukane, sababu ni kawaida zenu kutukana. Mmetukana Yesu na Mitume wote wa Mungu iwe mimi, na kumbuka dogo si ndoto zote huwa ni za kweli. Karekebisheni kwanza bibilia zenu zinazo muita Yesu kichaa, na kusema Yesu ni shoga, ndio utawacha kushakia wanaume ni mashoga.
 
kitendo cha wewe kujiita mwislamu na kuanza kumtukana yesu na kumlinganisha na shoga na kusema kamwoa maria magdalena kimenifanya nione kama unazidiwa.huwezi kuwa kichaa wa kushindwa kujenga hoja makini kiasi hicho. probably umelenga kutuumiza na kutuudhi.na kama umelenga kutuudhi bila hoja ya msingi ni wazi kuwa umeudhika tayari. what else can i say?? it means you're pathetic.

Ni kweli kuwa wakristo tunamwamini Yesu. na ni ukweli kuwa waislamu wanamwamini mwamadi lakini bottom line ni kuwa wakristo hatumkubali mwamadi, lakini waislamu mna TWO FACE kuhusu Yesu. sometimes yes sometimes no. kwa wewe umejidhihirisha kuwa ni NO.pole sana.
Hahaha mimi nimuite Yesu shoga? Sitaweza na wala sitasubutu mimi si mkristo dogo. Nalazima ufahamu sio mimi nasema hayo, ni bibilia zenu zinamuita Yesu ni shoga na zinamuita mwehu, na wakristo wanafanya debate kila kukicha. Kuna ndugu zako wakristo wanasema kama Yesu alikuwa si shoga, mbona alizungukwa na wanaume 12! Si mimi nayasema hayo wacheni kunigeuzia kibao, kazikosoeni bibilia zenu sio mimi. Nimeisha kuelezeni fateni thread hii page za nyuma, mimi na waislam hatuwezi kumuita vile, wala kusubutu hata siku moja kusema Yesu ni shoga, au mwehu.
 
Nilikuuliza pale kwanini awanyonye ndimi watoto wa kiume?

Kwanini atoe aya ya kulima shamba vyovyote?
Kwanini allah ahalalishe matumizj ya nyum ya nyumba? Kwanini? Think bout it?

Pia Nimesoma mahali wanasema mwamedi akikuwa anawaondolea kiu watoto wa ally kwa kuwapa ulimi wake wanyonye .....
is that real??.??.????
 
Sawa mkuu, lakini kumbuka hao wavulana mpaka sasa si wanadamu, inakuwaje wasifiwe wakati hawajawahi kutokea duniani?, lakini kwanini mkabidhiwe wavulana? ni kwa ajili gani, au ni kwa ajili ya kutuma sokoni mkiwa mbinguni?, Au ni kwa ajili ya kuwatuma wakawachotee Pombe mtoni?, bado kuna tatizo hapo mkuu, haiwezekani Quran ikasema mtapewa wavulana wanaong'aa, wazuri, wasio zeeka, kwa ajili gani?
dogo mbona malaika mtoa roho we hujamuona lakini unamjua kama yupo? au wewe umeisha tolewa roho? Sa umejua vipi kama kuna Malika mtoa roho yupo? Ulisha ona anavyo wato roho watu hapa duniani au uliwahi kukutana naye? Kuhusu hao wanaume wa peponi kuwahudumia wanaume, kwani ni aibu mwanaume kumhudumia mwanaume mwenzake? Mbona mahotelini wanaume wako wanahudumia, wanaume, sa wale ni mashoga? Tatizo la wakristo kila kitu cha kishoga mnakiweka mbele sana. dogo peponi ni maraha hakuna mashoga kule, mashoga watakuwa motoni pamoja na wakristo.
 
Anyone who insults a religion can expect “a punch in the nose” - Pope Francis

Umeonaa eh?
Umegundua jinsi ilivyo ngumu kwako kujibu swali langu kupitia imani yako kwa namna ile ile niliyokuuliza?

sasa kumbuka ujumbe huu wa yesu; "Huwezi kuchuma Zabibu kwenye mbigili?
Mti mwema hutoa matunda mema na mti mbovu hutoa matunda mabovu. Na mti mbovu hauwezi kamwe kutoa matunda mema."

Sasa Anzia hapo kutafakari kile unachoabudu.
 
Nilikuuliza pale kwanini awanyonye ndimi watoto wa kiume?

Kwanini atoe aya ya kulima shamba vyovyote?
Kwanini allah ahalalishe matumizj ya nyum ya nyumba? Kwanini? Think bout it?

Pia Nimesoma mahali wanasema mwamedi akikuwa anawaondolea kiu watoto wa ally kwa kuwapa ulimi wake wanyonye .....
is that real??.??.????
Qur'an 2:223 inasema hivi; Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.
Unajua mana yake? Hapo Mungu anamrisha wanaume wasiende nje ya sharia ya Mungu, yani wafate wake zao sehemu walizo amrishwa. dogo Qur'an sio bibilia inaruhusu mfanye upumbafu wowote ule. Kuhusu Point ya kusema Mtume aliwanyonya ulimi wajukuu zake, leta dalili zako dogo, sio unaimba nyimbo za kanisani hapa. Hatutaki hadithi mana hadith ni fake siku zote, waswahili wanasema hadithi njoo na uwongo kolea sisi hatuko kwenye utoto hapo wakudanganywa. Leta Qur'an na Sunna zinazothibitisha maneno yaka, kama yana ukweli wowote ule.
 
huu ni unabii:
yesu akawaambia....Luka 21: 33 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Mbona kuna maneono mnayaita, maneno ya kale? hebu tuelezeni hapo. Kumbe bibilia inajikanyaga au? Lini mtatoa bibilia mpya nyingine?
 
Kila siku watu wanazaliwa,kama wewe hutaki Mungu hana cha kupoteza,uamuzi ni wako Mungu wa kweli halazimishi watu anakuacha uwe huru wewe mwenyewe si kwa mtutu wala mapanga bali kwa injiri iletayo uzima.
Yeye anawajua walio wake tangu wakiwa tumboni mwa mama zao.
Angalia topic zote zinazofungwa fj "what do they have in common"?The place where we dare to talk openly is now starting to ....

Hongereni naona mmepata password ya moderator ,kila mkipewa kibano mnafunga topic.

Narrated Abu Huraira:
“Allah apostle [Muhammad] said, ” The most awful name in Allah’s sight on the day of Resurrection, will be (that of) a man calling himself Malik Al-Amlak ( king of kings).”
Sahih al-Bukhari Bk.73 Num:224
Je nani katika biblia anaitwa mafalme wa wafalme?
Mithali 30:4
1Timoth 6:14-15,Ufunuo 17:4;Ufunuo 19:16
So Allah anamwogopa mfalme wa wafalme?Why?
mwenye masikio na asikie
 
Cc Adiosamigo
 
Last edited by a moderator:

"Allah apostle [Muhammad] said, " The most awful name in Allah's sight on the day of Resurrection, will be (that of) a man calling himself Malik Al-Amlak ( king of kings)."
Sahih al-Bukhari Bk.73 Num:224
Je nani katika biblia anaitwa mafalme wa wafalme?
Mithali 30:4
1Timoth 6:14-15,Ufunuo 17:4;Ufunuo 19:16
So Allah anamwogopa mfalme wa wafalme?Why?
mwenye masikio na asikie
dogo wacha maneno ya uwongo moderator hapa wanwasaida wakristo, wakisha ona mmezidiwa wanafunga thread. Usijaribu kukwepesha ukweli. Hebu nipe point wapi mlituzidia nacho ona nyie mnakimbia kila kukicha dalili mmebaki kuquote hadith zile fake. Nimeisha waelezeni kule waislam wao wanamini Qur'an tu. Hadith sijui nini hamna anaye ziamini.Hakuna hadithi haina uwongo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom