Papa Francis: There are limits to free expression

Papa Francis: There are limits to free expression

Status
Not open for further replies.
Uwezi kulaumu USA, Tunalaumu Msitari wa Quran unaosema ua Makafir, Pia Verse inayosema WAFUASI WA MOHAMMAD HAWANA HURUMA KWA WASIO WAISLAM.

Unajuwa kuwa Hitler alikuwa Mkatoliki? na aliwafanya nini Wayahudi? Miaka karibia 70 baadae, watoto wadogo waliosoma historia wamewatukuza Waislam waliowasadia, jisomee:

Berlin kids name school after Muslim who saved Jews during Holocaust

The Albanian family rescued Serbian Jews who had to flee to an Albanian village to keep a step ahead of the Nazis.

Students, parents and teachers at a Berlin elementary school have voted to name the institution after an Albanian Muslim photographer who saved a Jewish photographer's family during the Holocaust.
Students from the school have taken a course on the Holocaust, which included a visit to Yad Vashem. In Israel, they also learned about other Muslims who saved Jews from the Nazis.
The two families - from Israel and Albania - are still close; in 2004, Yad Vashem named the Muslim family, the Veselis, members of the Righteous Among the Nations.
Earlier this month, members of both families attended the dedication ceremony at the school, which is in a Berlin neighborhood famous for its immigrants, Kreuzberg.

Na hii habari ni kutoka kwenye gazeti maarufu la Kiyahudi: Haaretz

Usikae unajidanganya kuhusu Uislam kwa mafundisho mabovu yaliyokujaza ujinga. Usome Uislam kutoka kwa Waislam uuelewe kuwa ndiyo kimbilio lako pekee.
 
Since '94 Horror, Rwandans Turn Toward Islam

KIGALI, Rwanda, April 6— When 800,000 of their countrymen were killed in massacres that began 10 years ago this week, many Rwandans lost faith not only in their government but in their religion as well. Today, in what is still a predominantly Catholic country, Islam is the fastest growing religion.
Roman Catholicism has been the dominant faith in Rwanda for more than a century. But many people, disgusted by the role that some priests and nuns played in the killing frenzy, have shunned organized religion altogether, and many more have turned to Islam.
''People died in my old church, and the pastor helped the killers,'' said Yakobo Djuma Nzeyimana, 21, who became a Muslim in 1996. ''I couldn't go back and pray there. I had to find something else.''
Source: Since '94 Horror, Rwandans Turn Toward Islam - NYTimes.com

Ule wa rwanda ni ukabila. Still utaona watu walikuwa na hope na church.
Angalia CAR. Ujiulize muslims walikimbilia wapi ili kuwakwepa anti balaka kama sio walijazana makanisani ili kupata wokovu.

Tena ninazo data zinazoonyesha ni jinsi gani Muslims wanavyotaka kuficha ukweli kuhusu mauaji wakioyafanya ulimwenguni. Wameshaanza kushinikiza serikali ya UK ifute mabaya yote yanayodaiwa kifanywa na wao katika historia ili yasisimwe na wanafunzi wa uingereza ikiwemo kumbukumbu mbakimbali zilizopo library.
Hapa tuwe wakweli kidogo. Muslims in general hawapendi kukosolewa. Iwe kwenye mitume wao. Korani ama
hadithi hata vitendo vyao. Wanataka vionekane ni bora kuliko wengine. Na ndio maana imekuwa kama dunia inajaribu kuelewana na mgonjwa ili tu asije akaleta madhara.

Muslims Wana demand total submission from non believers in every aspects of life.
Sishangai kuona Pope leo hii anajaribu Ku justify na terrorists action kwenye ishu ya wale cartoonists as if Muslims ndio wauaji.
Je anayo guts ya kukiri pia mauaji yale yamrfanywa na Muslims badala ya maghaidi.

Lakini hakuwahi kukemea hapo kabla walipokuwa wakikashifu ukristo wala uyahudi.
Vita ya ugaidi haotakwisha mpaka watu wawe wakweli.
 
Ule wa rwanda ni ukabila. Still utaona watu walikuwa na hope na church.
Angalia CAR. Ujiulize muslims walikimbilia wapi ili kuwakwepa anti balaka kama sio walijazana makanisani ili kupata wokovu.

Hope na Church iko wapi? kuwa mkweli wa nafsi yako. Msikitini hakuna ukabila wote walikuwepo Wahutu na Watutsi Na waliokimbilia misikiti ndiyo walisalimika. Waliokimbilia kanisani walichinjwa kama hukuhuku na hao hao mapadri na maaskofu, mpaka ma nun ambao ni wanawake walikuwa wanachinja, na wapo waliohukumiwa. Huyajuwi?

Hivi inawasaidia nini kutetea uozo huo?
 
Kuwa mkweli bibie FaizaFoxy .hata ayati zinathibitisha haya.
Ni majuzi tu,Jamhuri ya CAR tulishuhudia Muslims kukimbilia makanisani tena huko huko roman. Pia

ufaransa ikapekeka jeshi kuwaokoA. Na ule ugomvi ni wa kidini.
Huki Iran ikienda kuwasaidia Muslims wenzao tu badala ya kwenda kuimarisha mahusiano. How absurd!

Isis pale Iraq wamepageuza Abattoir; wanachinja hadi watoto na kulazimisha watu wasilimu. Na mpaka sasa hivi wanachinja watu.
 
Last edited by a moderator:

Nimekubandikia vyanzo kila aina, lakini naona unajifanya huelewi.

Siwezi kukataa kama Waislam wanaweza kukimbilia Kanisani kujiokoa, wao ni binaadam pia. Lakini ukweli ni kuwa huko CAR hakuna anaeheshimu Kanisa wa Msikiti, wanauwana hovyo.

Lakini chakushangaza ni wewe pale ambapo hukubali kuwa Waislam wamewakoa si Wakristo tu kwa maelfu hata Mayahudi pia. Hivi unaona taabu gani kuukubali huo ukweli?
 
Unajuwa kuwa Hitler alikuwa Mkatoliki? na aliwafanya nini Wayahudi? Miaka karibia 70 baadae, watoto wadogo waliosoma historia wamewatukuza Waislam waliowasadia, jisomee:

Berlin kids name school after Muslim who saved Jews during Holocaust

The Albanian family rescued Serbian Jews who had to flee to an Albanian village to keep a step ahead of the Nazis.

Students, parents and teachers at a Berlin elementary school have voted to name the institution after an Albanian Muslim photographer who saved a Jewish photographer’s family during the Holocaust.
Students from the school have taken a course on the Holocaust, which included a visit to Yad Vashem. In Israel, they also learned about other Muslims who saved Jews from the Nazis.
The two families — from Israel and Albania — are still close; in 2004, Yad Vashem named the Muslim family, the Veselis, members of the Righteous Among the Nations.
Earlier this month, members of both families attended the dedication ceremony at the school, which is in a Berlin neighborhood famous for its immigrants, Kreuzberg.

Na hii habari ni kutoka kwenye gazeti maarufu la Kiyahudi: Haaretz

Usikae unajidanganya kuhusu Uislam kwa mafundisho mabovu yaliyokujaza ujinga. Usome Uislam kutoka kwa Waislam uuelewe kuwa ndiyo kimbilio lako pekee.

Bibie FaizaFoxy kumbuka sana sentensumi hii. "Action Matters"

Kwanza kabisa hujamsoma Fu`rher vizuri. Tatizo tukiweka post hapa mnaishia kuweka kufuli huu Uzi"
Hitler did not believe in Christianity. His Christianity was a only historical. Waulize hezboller wanamjua vizuri na kitabu. Chake cha "mein Kempf".
Najua nikija na data hapa utapaniki na hasira bure, usije anza tukana hapa ila
Fuatilie wewe mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hilo Limit of expression isiwe pale tu waislamu wanapoguswa, waislamu wAna kashifu SANA sana ukristo, kama wangekuwa SI watu wa Subira. Saa hizi dunia haipo

Hakuna mkiristo hatayeweza kuimaliza dunia,km kukashifia wote tunakashifian lkn sio kwa kutumia media,nionyeshe gazeti moja la kiislamu lillilowai kuchora kikatuni cha Yesu,km tukashifian n ss wa afrika tena wa mashariki kwenye miadhara yet y kina Mazinge n Simba Uranga,lkn ukiangalia debet zinazofanyika ulaya n Asia hata Àfrik y kaskazini hakuna debet za kukashifiana,tafuta debet,za Dk Zakir Naik,Yusuf Estet,Bilal Philis,Hussen Yao,n Al marhumu Hamed Dedat,kama walishawai kukashifu ukiristo au dini yoyot isiyoku uislamu,wamefanya midahalo sehemu nyingi za ulaya,amerika n asia,hawajawai kukashifu dini y mtu,iweje leo wao wazungu kila ck wachore kikatuni n kulinganisha n Mtume wetu Muhaamad,hz si dharau watazotufanyia.
 
dogo mnamuita shoga kwenye bibilia zenu.
Gospel of John describes how the "beloved" disciple laid himself on Jesus' inner tunic -- his undergarment. See John 13:25 and 21:20.

Hakuna pahala kwenye Injili yotote Bwana Yesu kaitwa au kaonyesha matendo ya kishoga.
Yesu katika maandiko alihoji nani anaweza kumshuhudia kuwa yu na dhambi lakini hakuna aliyejitokeza.
Zaidi Sana alionekana anakufuru kwa kuwa hawakumjua.
Wewe ni Muislam shetan anakutumua atakavyo simply mnamwita Mungu na kumwabudu, hivyo nategemea shetan akutumie kunajisi kweli ya Mungu kwa manufaa yake.
 
Hayo yatabakia kua mawazo au maoni ya pope mwenyewe,has nothing to do with freedom of kuongea.

Pope mwenyewe kashasema atakufa mwaka keshokutwa,hayo ni mawazo ya mtu anaetaka kufa.

source ya kusema kufa kwake.
 
Jamani watumishi wa Mungu aliye hai:
wakina Nkwesa Makambo, Ishmael Kakende mgen na wengineo ..nawaombeni Nendeni taratiibu na kwa upole kidogo jamani.

Fahamuni tu kuwa hawa wakina Adiosamigo ndio wamiliki wa hii forum. NA ni kawaida kwao kusadiki kuliko kuhoji koran yao. Kama ambavyo Christians wanavyohoji ukristo. Kwahiyo mnadili na serious autocratic doctrine .hivyo Wakizidiwa wataweka kufuli huu uzi mapema iwezekanavyo.
Right on Mtumishi
 
Mimi nawaita Mabikra walioahidiwa Waislam kuwa ni Makahaba au Malaya kwa sababu, Mwanamke unaemtumia kama kiburudisho bila kuzaa nae ni sawa na Malaya wa kununua mtaani, vinginevyo watuambie kuwa wata zaa nao mbinguni
Mtumishi, umelenga penyewe. Jamaa sio kwamba watawao, bali watakabidhiwa kama ISIS wanavyo jikabidhi wale jihad sex.
 
car_full_600.jpg
 
Hope na Church iko wapi? kuwa mkweli wa nafsi yako. Msikitini hakuna ukabila wote walikuwepo Wahutu na Watutsi Na waliokimbilia misikiti ndiyo walisalimika. Waliokimbilia kanisani walichinjwa kama hukuhuku na hao hao mapadri na maaskofu, mpaka ma nun ambao ni wanawake walikuwa wanachinja, na wapo waliohukumiwa. Huyajuwi?

Hivi inawasaidia nini kutetea uozo huo?
o-CENTRAL-AFRICAN-REPUBLIC-facebook.jpg
 
Naomba kuuliza kwa nini mama yake Yesu "Mungu " wenu anaitwa bikira maria?
 
Hakuna mkiristo hatayeweza kuimaliza dunia,km kukashifia wote tunakashifian lkn sio kwa kutumia media,nionyeshe gazeti moja la kiislamu lillilowai kuchora kikatuni cha Yesu,km tukashifian n ss wa afrika tena wa mashariki kwenye miadhara yet y kina Mazinge n Simba Uranga,lkn ukiangalia debet zinazofanyika ulaya n Asia hata Àfrik y kaskazini hakuna debet za kukashifiana,tafuta debet,za Dk Zakir Naik,Yusuf Estet,Bilal Philis,Hussen Yao,n Al marhumu Hamed Dedat,kama walishawai kukashifu ukiristo au dini yoyot isiyoku uislamu,wamefanya midahalo sehemu nyingi za ulaya,amerika n asia,hawajawai kukashifu dini y mtu,iweje leo wao wazungu kila ck wachore kikatuni n kulinganisha n Mtume wetu Muhaamad,hz si dharau watazotufanyia.

Tena mkuu, nenda kafuatilia CV ya magazeti ya dini nchini. Utaona magazeti yanayoongoza kwa kupewa adhabu ni magazeti ya kiislamu. Talking from experience na facts.
Na sababu kubwa ni kuwa hawajadili sana imani yao Bali husda dhidi ya dini nyingine na vielement vya ugomvi.
Wala usipaniki! Fuatilia hii. Kabla hujabisha.
Pili wanaongoza kwa kujadili marekani na Israel kwa ubaya.

Koran yenyewe tu inahangaika kutaja, wayahudi na wakristo na YESU isiye mwamini.
Kuliko inavyomtaja Muhammad, inayemfuata na kumwamini.
Hadi kuna sura imran19:33 inaonyesha YESU anajitabiria kifo.
Lakini ili kupinga wokovu kamili wa mwanadamu wameamua kukataa, tendo hilo kuu. Kwa bahati mbaya hawawezi kamwe kufuta huu mstari.

Ndio maana unaposema gazeti. La kiislamu halijawahi kuchora katuni. Haisaidii sana Kwani picha mnayoitengenez(image) ni ta kum undermine YESU.

Vilevile Ni wazi hakuna gazeti la kikristo lililowahi kuchora picha ya muhammad.
Kikubwa ninachoona Muslims wanapata hasara kwa kumkana YESU. But Christians loose nothing kwa kumkataa muhammad.
 
Nimekubandikia vyanzo kila aina, lakini naona unajifanya huelewi.

Siwezi kukataa kama Waislam wanaweza kukimbilia Kanisani kujiokoa, wao ni binaadam pia. Lakini ukweli ni kuwa huko CAR hakuna anaeheshimu Kanisa wa Msikiti, wanauwana hovyo.

Lakini chakushangaza ni wewe pale ambapo hukubali kuwa Waislam wamewakoa si Wakristo tu kwa maelfu hata Mayahudi pia. Hivi unaona taabu gani kuukubali huo ukweli?

Tazama jinsi Ma ustaadhi wa Kishia wanavyopiga Swala kanisani baada ya kukimbia mapanga ya waislam wenzao wa Sunni

_66643923_muslims_in_church.jpg
 
Huu ndo ukweli church is safe heaven for both. Not a mosque.

Cc. FaizaFoxy[/QUOTE 2013 credit....
Aisayee, Trust me hapo na toa Heshima kwako na Kwa Waungwana wa Kanisani Excellent task from Ahli L-kitab (belong to the Books).
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza kwa nini mama yake Yesu "Mungu " wenu anaitwa bikira maria?

Maswali mepesi hayo, ebu wewe tupe jibu hapa.

1.Hivi hawa Mabikra wenye Macho ya Mahaba mtazaa nao au ni kuwavua chupi na kujiburudisha mbinguni?
2. Hi kwanini inaonekana kama vile mtachangia mabikra na majini

Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom