ICOGNITO-INC
Senior Member
- Mar 28, 2013
- 133
- 87
​Salma na Salama......shiiiiiiittt
au ndiyo maana inasemekana aliyechukua fedha za familia ya magogoni pale stanbic bank ni albert marwa mume wa mtoto i.e. salama?
​Salma na Salama......shiiiiiiittt
Lakini BAK haya mambo mengine sii ni kutafutana lawama tuu? Hivi hebu fikiria, utache hao wengine tujitolee mfano sie. Uchaguzi mkuu 2015 unafanyika kwa haki au usimamizi mkali wa taasisi za nje ( maana hao wakiamua hakuna ujanja) halafu matokeo yanakuwa Rais ni Chakaza au BAK nini mategemeo yako kwa familia hii iliyoamua yote kujishirikisha na wizi wa mchana kweupe? Hivi hapo sheria ikifuata mkondo watasema wanaonewa?
Mbona kwa kodi yetu wanaishi maisha mazuri sana na wanauhakika kuendelea kuishi vizuri tuu baada ya kustaafu kwa gharama zetu? Hii tamaa imetoka wapi mpaka wanajisahau hivi? Ni kweli wameshindwa kusoma alama za nyakati au ni dharau kwamba watafanya nini hawa "mabwege" ya Kitanzania?
Unamaanisha AMLAS NA AMALAS???
Hivi, yule mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa Shinyanga, mbona sijasikia kauli yake kuhusu escrow? Nauliza hivi kwasababu amekuwa akiyatolea matamko mbalimbali juu ya matukio tofauti hapa nchini. Kwa hili kunani mbona kimya?
Wanasheria, hivi familia ya rais ina kinga ya kutoshtakiwa pale wanapokuwa wametenda jinai? Kama hawana, mnamsubiri nani aishtaki familia hiyo? Hebu timizeni wajibu wenu kwa hili kwani mpo kwenye nafasi ya kutenda hivyo.
Teh teh teh, kaka unaua kimtindo
Mkuu umeisoma ID yangu au??? :deadhorse:
kila chenaye mwanazo kinamwisho wake,mwenye nyumba niwewe houseboy/housegirl wako kama hafanyi vizuri unatafuta mwingine na si kulalamika2,sasa mwenye nyumba anamwogopa mfanyakaz wake et hata nikimweka mwingine naogopa huenda akafanya vibaya zaid ni bora2 nimuache,mwache uendelee kula vibich na kulala pachafu na kupiga domo kila siku,umekuwa mtumwa kwenye nyumba yako mwenyewe,usiogope badil tu hata kama nguo had umpate anayefaa,mbona wapo wengi wanaohitaj hiyo kaz?amka wewe usinziae ufufuke katika wafu,fumbua macho uone,kunawengine wamewekewa plasta uson wasaidien kutoa plasta hizo au mabandiko hayo nao waone kaz@wtz.
mkataba wa IPTL unaisha mwaka huu, na mitambo inakua ya Tanesco?
ccm ukoo panya wote wezi hawafai...
PAP ni kampuni ya JK...
Nauliza hvi kuna mtu ana Hamu ya kung'olewa meno humu!Sasa hayo ni majungu tu yasiyokuwa na evidence.
Samahani lakini waungwana
Nauliza hvi kuna mtu ana Hamu ya kung'olewa meno humu!
kisa nini ?
Mkuu umeisoma ID yangu au??? :deadhorse:
Kitendo cha kumtimua Mwanasheria wa Tanesco kwa kisingizio cha kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mwajiri wake kinazua maswali mengi hasa baada ya ukweli kubainika kwamba alipata ruhusa kama taratibu zinavyotaka. Godwin Ngwilimi alienda nchini Malaysia kuchunguza uuhalali wa Kampuni ya PAP kumiliki hisa za IPTL.
Fununu zilizozagaa mitaani zinadai kwamba alichokiona huko Malaysia na kuja kukitoa kama report yake ndivyo vilivyo sababisha awajibishwe, inasemekana aliona wamiliki wa PAP ni wakurugenzi wane wawili kati yao Watanzania ambao ni Mama Mkubwa na Bintiye wenye majina yanayofanana fanana.
Jambo la pili ni kauli ya Prof Muhongo aliposema ikiwa atalazimishwa kujiuzulu nchi itatikisika.
Jambo la tatu ni kukataa kwa benki ya Stanbic kutoa majina ya waliopata mgao wa fedha za escrow account.
Kwa sababu hii kuondolewa madarakani Prof Muhongo hakupo, kiporo alichosema Mh Rais ni usanii tu.