PAP inamilikiwa kweli na Mama yetu Mkubwa?

PAP inamilikiwa kweli na Mama yetu Mkubwa?

Haki ya nani kinachoniuma ni kodi yangu kila mwezi.
 
'mama mkaa ndani,toka nje usikie.kutwa we kilasiku ndani,toka nje usikie,kuna jambo linavuma,vuma vuma vuma.........
Wananchi tunavumilia kuwa watanzania...........'
by vitali maembe
 
mhongo anaujua ukweli wote na anamlinda jk.jk inabidi amlinde asijekuumbuliwa
 
mhongo anaujua ukweli wote na anamlinda jk.jk inabidi amlinde asijekuumbuliwa

Jamani kila mtu anamlinda JK! E Lowassa naye anamlinda jk kwa RICHMOND, Muhongo ati naye anamlinda jk. JK ni nani hadi mumlinde hivyo? Mwacheni! Kila mtu abebe fulushi lake bah!
 
Jamani kila mtu anamlinda JK! E Lowassa naye anamlinda jk kwa RICHMOND, Muhongo ati naye anamlinda jk. JK ni nani hadi mumlinde hivyo? Mwacheni! Kila mtu abebe fulushi lake bah!

JK alimpofukuza Muhongo tutamfukuza yeye
 
Kwanini mungu asilete tu gharika kama ya nuhu nchin itufyeke wote kwenye uso wa dunia. Taifa jingine jipya lianze. The painful thing they don't feel remorse and see those who justly criticising them as bad. Mnaboa!!
 
Kwa jinsi Ikulu ilivyooza hili linawezekana kabisa rafiki.

ikulu imeoza mpaka inatoa harafu mbaya hatuwezi kuendelea kuvumilia raisi kulinda wezi wa pesa za umma kwa sababu yeye anahusika kwenye huu wizi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam Mkuu Kill 3, Kikwete si mlindaji tu wa wezi ndani ya Ikulu bali yeye mwenyewe ni mwizi akishirikiana na wanawe.

ikulu imeoza mpaka inatoa harafu mbaya hatuwezi kuendelea kuvumilia raisi kulinda wezi wa pesa za umma kwa sababu yeye anahusika kwenye huu wizi
 
Last edited by a moderator:
Naam Mkuu Kill 3, Kikwete si mlindaji tu wa wezi ndani ya Ikulu bali yeye mwenyewe ni mwizi akishirikiana na wanawe.

ccm ukoo panya wote wezi hawafai JK amefanya ikulu sehemu ya kupigia madili ya wizi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kitendo cha kumtimua Mwanasheria wa Tanesco kwa kisingizio cha kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mwajiri wake kinazua maswali mengi hasa baada ya ukweli kubainika kwamba alipata ruhusa kama taratibu zinavyotaka. Godwin Ngwilimi alienda nchini Malaysia kuchunguza uuhalali wa Kampuni ya PAP kumiliki hisa za IPTL.

Fununu zilizozagaa mitaani zinadai kwamba alichokiona huko Malaysia na kuja kukitoa kama report yake ndivyo vilivyo sababisha awajibishwe, inasemekana aliona wamiliki wa PAP ni wakurugenzi wane wawili kati yao Watanzania ambao ni Mama Mkubwa na Bintiye wenye majina yanayofanana fanana.

Jambo la pili ni kauli ya Prof Muhongo aliposema ikiwa atalazimishwa kujiuzulu nchi itatikisika.
Jambo la tatu ni kukataa kwa benki ya Stanbic kutoa majina ya waliopata mgao wa fedha za escrow account.

Kwa sababu hii kuondolewa madarakani Prof Muhongo hakupo, kiporo alichosema Mh Rais ni usanii tu.

Hivi bi Mkubwa Wako, huyu tunaemfahamu sisizi
 
ikulu imeoza mpaka inatoa harafu mbaya hatuwezi kuendelea kuvumilia raisi kulinda wezi wa pesa za umma kwa sababu yeye anahusika kwenye huu wizi

IPTL ni yake, anajilinda mwenyewe!
 
Heh jamani kumbe haya ndiyo yaliyomkuta rafiki na ndugu yetu Godwin Ngwilimbi, kweli ccm na watu wake wanakosa maigizo ya kuzidi komedi.
 
Back
Top Bottom