Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,635
- 2,303
Huyu nape alitusumbua sana, amevuna alichopanda. Figisu ni hapa hapa duniani
Kama ni Nyalandu si keshaondoka, mwelewe Nape panya bado yumo ndani....hivyo tuendelee kumtafuta panya mkuuNyalandu
Kwahiyo nyalandu hakutakiwa kukulupuka,alitakiwa awe mpole na amtoe panya aliomo kwenye mtungi.Nyalandu
Atafia ndani ya mtungi kisha Maji yote yatakuwa sio salama kwa kunywa.Kwanini usiufunike mtungi afie humo humo kwa njaa
Ukiinamishs mtungi atatoka panya tu sasa?Atafia ndani ya mtungi kisha Maji yote yatakuwa sio salama kwa kunywa.
Hata mimi nafikia kutomuonea hurumaHuyu nape alitusumbua sana, amevuna alichopanda. Figisu ni hapa hapa duniani
una hatari sana wewe, unachokitafuta utakipata!!!! mimi simo.Why not yule aliyeenda likizo?
Mulize Nape...!!!Ukiinamishs mtungi atatoka panya tu sasa?
Ndo maana nimerekebishsMulize Nape...!!!
Harufu na wadudu mtungi hautafaa tena huo!!!Kwanini usiufunike mtungi afie humo humo kwa njaa
Kwani nimesema aoze au afeHarufu na wadudu mtungi hautafaa tena huo!!!
Yuko vizuri kwenye mipasho![]()
Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)
Duhh,,, kumbe akifa tu atatolewa fasta.Kwani nimesema aoze au afe
Jf kuna haja ya kupima akili wanachama wenu .Mke/demu wako wako ajishughulishe na nini kama wewe umehamia kwenye umbea na mipasho? Halafu mkiachwa mnawalalamikia Wanawake kumbe makosa ni yenu mmefanana nao, na wao wanataka Mwanaume na siyo Mwanaume Mwanamke!