![]()
Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)
Nyalandu![]()

Haya mafumbo na misemo yenu ni vema ikaishia hukohuko uswahilini, ni ushauri tu nawapeni!!![]()
Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)
[emoji122] [emoji122] [emoji122]like u
Mkuu we subiria tu Spika atakaposoma barua toka chamani ya kuwa nauye hatunaye tena ndani ya CCM alikwishatimuliwa!!kaniacha kweli kweli leo ngoja nimuite kaka angu hapa PASKALI mayala anitafsirie
Panya buku kabisaWhy not yule aliyeenda likizo?
![]()
Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)
Na huyo ndiye mlengwa hasaWhy not yule aliyeenda likizo?