Panya Anayemsema Nape ni Nani?

Panya Anayemsema Nape ni Nani?

Nape atulie sasa nafikiri siku akiondolewa pale Lumumba ndiyo mtamuonea huruma..

Nape aache kujifanya jasiri ilihali ni muoga, yaani nape ni mtoto wa mama sana harakati za siasa hataziweza, sana sana atajimaliza kisiasa, atulie kama Katibu wake, zama zimebadilika huu utawala siyo boss Nape....

Wakati ukiwa waziri ulipitisha sheria kandamizi kwa vyombo vya habari ndiyo mzimu wenyewe unaokuandama, boss Nape.....
mwambie huyo, mwambie.

dhambi ya goli la mkono halijawahi kuacha mtu salama!
 
Mke/demu wako wako ajishughulishe na nini kama wewe umehamia kwenye umbea na mipasho? Halafu mkiachwa mnawalalamikia Wanawake kumbe makosa ni yenu mmefanana nao, na wao wanataka Mwanaume na siyo Mwanaume Mwanamke!

Mkuu jando ulishaenda au bado unatembea na mkono wa sweta?
 
cc0443d76e37224598691c84a782af60.jpg

Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)
Hmmmm!! Panya = Bashite
 
Huu msemo Nape aliutoa kwa kwa mara ya kwanza wakiwa kwenye harakati za kumkata Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM. Sijaangaia page yake ila kama ameamua kuirudia basi anamaana ya kumgusia Magufuli na watu wake ndani ya CCM ambapo kwa maoni yake aliyotoa mara kwa mara ni kuwa anaona Magufuli amevamia CCM pamoja na vijana wake wasiojua miiko ya uongozi na ku-impact mtindo wao mpya ndani ya chama hicho.
 
Halafu hawa wakina Nape na yule aliyeambiwa anawashwa ndio wamekulia ndani ya ccm wakati wengine wakiwa Sengerema wanafundisha Chemistry


nimecheka jaman uliposema sengerema wanafundisha chemia hahah
 
Kweli mkuu. Why not him?? Yupo likizo!! Kaenda kutibiwa India!! Hiki ndo kipindi cha kuacha mambo binafsi tukijenge chama pamoja na kuinyoosha ile iliopinda injiiiii
Jamaa anaenda ku-recharge power kwani ndo anajua inamlinda....Kumbe yeye ni panya kwa mujibu wa Nape na Tanzania ni Mtungi..
Safi sana hii..........
 
Halafu hawa wakina Nape na yule aliyeambiwa anawashwa ndio wamekulia ndani ya ccm wakati wengine wakiwa Sengerema wanafundisha Chemistry
....hivi alikuwa Mirembe hospital kabla ya,kwenda Sengetema au baada?
 
Hii post aliiweka 2015 hapa alikuwa anamaanisha Lowasa
 
Back
Top Bottom