Panya Anayemsema Nape ni Nani?

Panya Anayemsema Nape ni Nani?

Nape atulie sasa nafikiri siku akiondolewa pale Lumumba ndiyo mtamuonea huruma..

Nape aache kujifanya jasiri ilihali ni muoga, yaani nape ni mtoto wa mama sana harakati za siasa hataziweza, sana sana atajimaliza kisiasa, atulie kama Katibu wake, zama zimebadilika huu utawala siyo boss Nape....

Wakati ukiwa waziri ulipitisha sheria kandamizi kwa vyombo vya habari ndiyo mzimu wenyewe unaokuandama, boss Nape.....
Nape akiiiacha CCM atakula wapi?
jamaa hajawahi kufanya kitu chochote zaidi ya kulipwa na CCM
Msimponze nape jamani
 
Nani anatakiwa auwawe tena? CCM mmefikia hatua hiyo kweli?
 
Mbona mtungi ni chama cha makinikia

Mwenyekiti wa chama cha makinikia ndiyo panya

Kuinamisha mtungi, nikuseti wanamakinikia kutokubaliana na panya kuseto.....mtungi ukichemka panya atatoka mwewe.
 
cc0443d76e37224598691c84a782af60.jpg

Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)
Huyo panya tukimtaja kwa jina lazima NISSAN nyeupe ikunyakue,,,,,,
 
ahhaha usicheze na siasa ndg yangu !@nape ana akili sana !weka akiba ya maneno !ohooo !wenzako washacheza makarata yao zamaniiiiiiiii we kaa kukodolea atakavyofulia hapa
Halafu hawa wakina Nape na yule aliyeambiwa anawashwa ndio wamekulia ndani ya ccm wakati wengine wakiwa Sengerema wanafundisha Chemistry
 
Duuh,Jamaa bado anakinyongo Sizonje na Mwanae DAB hatoweza kuwasahau muhimu ale mshahara tu wana mtama tumesanda kesho yetu atuijui,siku ile yenyewe unatuulza bomberdia kizungumkuti
 
Nape atulie sasa nafikiri siku akiondolewa pale Lumumba ndiyo mtamuonea huruma..

Nape aache kujifanya jasiri ilihali ni muoga, yaani nape ni mtoto wa mama sana harakati za siasa hataziweza, sana sana atajimaliza kisiasa, atulie kama Katibu wake, zama zimebadilika huu utawala siyo boss Nape....

Wakati ukiwa waziri ulipitisha sheria kandamizi kwa vyombo vya habari ndiyo mzimu wenyewe unaokuandama, boss Nape.....
Nape anaweza siasa za mipasho lakini ana uwezo Fulani hivi wa kufurahisha. Ni kweli hawezi siasa za Tundu Lissu.
 
ahhaha usicheze na siasa ndg yangu !@nape ana akili sana !weka akiba ya maneno !ohooo !wenzako washacheza makarata yao zamaniiiiiiiii we kaa kukodolea atakavyofulia hapa
Hata Lowassa kuna watu wanasubiri eti atafulia, mkuu huyu Nyalandu siyo kama Ngeleja aliyekuwa anagombana na walinzi wa ATM za bongo!!! Huyu anaweza akauziwa Chadema kanda ya kati kama Mo alivyouziwa Simba SC. Chezea Singida weye!!
 
Back
Top Bottom