Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Baba panya atavunja mitungi mingi kwa ghadhabu!
Hapa ameongea kifasihi. Hakuna panya CCM.kwa hiyo panya ni mtu. Ina mmana kuna mtu auwawe ili CCM ibaki sakama
.Sasa Nape utuambie upo mpango wa kumuua nani ili wewe na wenzako mbaki salama ? Tusiyapuuzie haya.Ni makubwa.
Kwani wewe umeshaolewa?Mke/demu wako wako ajishughulishe na nini kama wewe umehamia kwenye umbea na mipasho? Halafu mkiachwa mnawalalamikia Wanawake kumbe makosa ni yenu mmefanana nao, na wao wanataka Mwanaume na siyo Mwanaume Mwanamke!
Tafadhali mama Mbiti... huyu mwanasheria anaitwa Pascal Mayallakaniacha kweli kweli leo ngoja nimuite kaka angu hapa PASKALI mayala anitafsirie
Nawashangaa na kuwahurumia watu wanaoweka akili zao na kutafsiri vijimaneno vya Nape anavyoweka mitandaoni..Nape ni mnafiki. Kwa nini azungumze kwa mafumbo anamwogopa nani?
Alichoandika Nape na kihusisha na kuama chama kwa Nyalandu lakini huyo Panya sio Nyalandu.Nyalandu
Nani aende kwa Bashite? Acha fix mkuuNape anajuta kupoteza Ajira yake kwa kupigania Media dhidi ya Makonda kwa kuwa Leo Hii Nape na Makonda wakiitisha Press conference kwa pamoja wengi wataenda kwa Makonda
Kuzungumza kwa mafumbo ni unafoki?!Nape ni mnafiki. Kwa nini azungumze kwa mafumbo anamwogopa nani?