Huu ni uongo na upotoshaji mkubwa sana kuhusu wazo la Tozo kutolewa na Ummy Mwalimu sio kweli. Hilo ni Wazo la Mbunge wa Ilala Zungu ndo alilitoa bungeni Serikali Wizara ya Fedha na Mipango ikalichukua kwa ajili ya Utekelezaji. Tusipotoshane bila sababu. So far Wizara imefanya vizuri na makubwa ni Ofisi ya Rais TAMISEMI Chini ya Ummy Mwalimu