Panapofuka moshi panaficha moto...

Bila shaka! Report yake ya ukaguzi wa mahesabu ya mwaka 2017/2018 iko due mwezi April halaf wanamchachafya ili ajiuzulu sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo ni kumwondoa ili awekwe jamaa mmoja anaitwa Mashari toka Chattle ilikuwa atangazwe mara moja kama huyu wa sasa angepotea step kidogo tu. Sasa kawawahi, sijui kama wataendelea na mpango wao au wataahirisha. Details nyingi zipo ila itoshe tu kusema haya.

Kumbukeni ile 1.5t, iliamriwa ichunguzwe tena. Uchunguzi wa pili ukagundua madudu zaidi. Ripoti akakabidhiwa bingwa wa fimbo za kichwani tangu mwakajana. Wanahaha namna ya kuifanya isijadiliwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli moshi unafuka!!,kwa kuwa zilongwa mbali zitendwa mbali (kizaramo). Matamko yanayotolewa na mkuu wa kaya na wote aliowateua Yanatulazimisha tukubali kwamba serikali iliyopo inamjali mnyonge na maumivu tunayoyapata tuyavumilie!!.Lakini kiuhalisia yote ni uongo kwani raia tumebinywa mpaka mbavu zinavunjika huku viongozi wanahomola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijakusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…