In tanzania, the curse will be for Membe and his followers.
Wewe ni mkristo alaf hujui nafasi yako kwenye dunia hii???
Support Israel kwasababu nyingine ila please sio kwa imani yako kwasababu Jews hawamtambui kristo wako hta kidogo. They are still waiting for their Mesiah.
Sasa huwa nashanga Mkristu unaye jaribu kujpendekeza kwa watu ambao wanakuona mzandiki, mzushi.
Wakristu gani hao? Imani gani hiyo?
hao wayahudi ni wakolofi miaka yote.wakati wa kuelekea vita vya pili vya dunia hawa jama walikua wafanyabiashara wakubwa na walikua watu wa kujisikia sana.walichukiwa ulaya yote kwa ajili ya mambo yao biashara zao zikagomewa wakatengwa na hatimaye kuwekwa kwenye concetration camp wakati wakitafutiwa makao.walikua wapelekwe texas,ikashindikana,hatimaye ndo wakaletwa hapo palestine.jamaa wa ulaya walikua wameshawachoka na walifanya juu chini kuhakikisha wanasimika taifa hilo hapo mashariki ya kati.
Hao waliokamata israel ni wayahudi wa ukoo wa Ashekenazi na wako na ndoto ya kuitawala dunia.
mie budha.
Na yule ambae alikua haishi kumuegemea kifuani anaitwa nani kweli?yohana ama peter.dah nilishaanza kusahau.
inahatarisha vipi uwepo wa vatican?wayahudi wana iman yao na kitabu chao tofauti na wakatoliki.
Kwanini nyerere na ukatoliki wake aliipinga israel na siasa zake za kuiba ardhi ya palestine.
Hapo ndipo waislamu nawaheshimu kwa kuipenda na kuilinda imani yao......Hivi sisi tunakataa hii laana kwa midomo tu bila kutaka kuuliza Membe kama waziri wa mambo ya nje atuambie alipitisha lini opinion poll kujua raia wake tunasimama upande upi?
Nadhani haya ndiyo mambo ya kuangalia kwenye katiba..Nyerere yeye msimamo wake ndiyo aliufanya uwe wa kila mtu bila hata kututaka maoni yetu? Hiyo ilikuwa sawa kwenye siasa ya chama kimoja ambapo zilidumu fikra za wasiopenda kufikiri ili wasikosolewe lakini si wakati huu....I beg to differ, Membe has to tell us sisi wakristo inakuaje atu by pass kwenda kupingana na imani yetu?
.
Sii katoliki na wakatoliki tu mkuu hata Martin Luther aliwahi toa tamko kwamba wayahudi ni wapinga Kristo na hivyo wanastahili kuuawa. Yerusalem ilisambaratishwa na Kaisari Nero wa Rumi ya kale kwenye mwaka wa 70. Hivyo tena baadae Rumi ya katoliki kutumama majeshi kuuteka mji na kuufanya kuwa wa kikristo. Sii hivyo tu hata waislamu(waturuki) walikuwa wameisha iteka Yerusalem kabla yaani myahudi na mji wao Yerusalem wakawa ni shauku ya jamaa wote wa dunia kuwaua. Baadhi yao walifanya hivyo kwa nia njema wakifikiri wanamtumikia Mungu na hivyo kumuua myahudi ikawa ni kama ibaada ya toba kwa Mungu. Walifanya hivyo maana wengi wao ni watengenezaji na sii manabii. Manabii wasingeweza kuthubutu kufanya hilo maana wanafahamu kwa ujuzi wake neno la Mungu kuwahusu Israel. Kwa asili hakuna nchi kama Palestena hili ni jina la historia ya katikati lakini Israel ni taifa lenye mipaka ya ardhi yake toka kama karne ya nne hivi. Na nchi yenye bendera(ya Daudi) ya kale kuliko nchi nyingine.
Leo hii mnathubutu kuwanyanganya nchi yao na kujaribu kuugawa mji wa Yerusalem ya Daudi kuwa makao makuu ya nchi mbili tofauti, nasema na ninarudia tena na pia historia zote mbili zinaniunga mkono, yaani dini ya huru kwamba jambo hilo haliwezekani. NARUDIA TENA, HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUIGAWANYA YERUSALEM!!
.
Ujinga wako unadhihirika hapa. Kwa hiyo ulikuwa unamaanisha kuwa Yesu ana mahusiano na Mariamu?
Juzi hapa nimesikia kituko cha mwaka Msikiti wa Ubungo kutapeliwa 200m na mwarabu lakini sasa sioni ajabu ikiwa hii ndio namna mnafanya reasoning. Kwa kuwa marehemu alikuwa na wake 23 na watumwa wa ngono ndio unaelekea huko kwa maneno ambayo hata hayana maana.
Kama shida ni kumuosha miguu, acha nikuambie kuwa Yesu mwenyewe aliwaosha miguu mitume wake wote 12. Yaani umenishangaza kweli kweli. Kwa hiyo mtu yeyote akiacha shughuli zake na kumsikiliza Yesu kwa muda mrefu basi anakuwa hawara yake? Kweli mmelelewa vibaya, huko ndio mnakowaza tu. Mungu akurehemu
.
Sii katoliki na wakatoliki tu mkuu hata Martin Luther aliwahi toa tamko kwamba wayahudi ni wapinga Kristo na hivyo wanastahili kuuawa. Yerusalem ilisambaratishwa na Kaisari Nero wa Rumi ya kale kwenye mwaka wa 70. Hivyo tena baadae Rumi ya katoliki kutumama majeshi kuuteka mji na kuufanya kuwa wa kikristo. Sii hivyo tu hata waislamu(waturuki) walikuwa wameisha iteka Yerusalem kabla yaani myahudi na mji wao Yerusalem wakawa ni shauku ya jamaa wote wa dunia kuwaua. Baadhi yao walifanya hivyo kwa nia njema wakifikiri wanamtumikia Mungu na hivyo kumuua myahudi ikawa ni kama ibaada ya toba kwa Mungu. Walifanya hivyo maana wengi wao ni watengenezaji na sii manabii. Manabii wasingeweza kuthubutu kufanya hilo maana wanafahamu kwa ujuzi wake neno la Mungu kuwahusu Israel. Kwa asili hakuna nchi kama Palestena hili ni jina la historia ya katikati lakini Israel ni taifa lenye mipaka ya ardhi yake toka kama karne ya nne hivi. Na nchi yenye bendera(ya Daudi) ya kale kuliko nchi nyingine.
Leo hii mnathubutu kuwanyanganya nchi yao na kujaribu kuugawa mji wa Yerusalem ya Daudi kuwa makao makuu ya nchi mbili tofauti, nasema na ninarudia tena na pia historia zote mbili zinaniunga mkono, yaani dini na ile huru kwamba jambo hilo haliwezekani. NARUDIA TENA, HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUIGAWANYA YERUSALEM!!
.
WHAT?kikombe cha babu tena.tangu lini nikamuunga mkono huyo mchungaji mchawi?kwanza sidhani hata kipindi hicho nilikua nimeshaanza kupost hapa.HEBU NIWEKEE HIYO POST KAMA UNA UHAKIKA.
Sinaga imani za kipuuzi kama hizo.UNAZUSHIA MEEEN.
Kama wanapona kweli basi tumpe nafasi maana kwanza kajionyesha hamaindi pesa ,na gurani inasema kila gonjwa mungu kaweka tiba,tutajua tu kama ni mambo za kinaijeria ama ni vipi after yote bible ilisema siku za mwisho watatokea manabii wengi wakifanya kuponya kwa uwezo wa yesu ambaye siku ya mwisho wakitaka kufunguliwa mlango wa peponi watasema tuliponya kwa jina lako naye yesu atawambia ONDOKENI SIWAJUI ni unabii unatimia kutakuwa na matetemeko(japan,ireland)tetesi za vita-mashariki ya kati.
Mwisho uko karibu zaidi udhaniavyo kuna watu wametabili disemba 2012 mambo yanayotokea sasa yananifanya niwaze sana hebu google 2012 end of world usome mwenyewe.hata wimbi la uarabuni linaloendelea wanasema ni maandao ya the return of mahd,yani masiha alieahidiwa kama ni kweli tuna mwaka mmoja tu na nusu TUBU.and google that upime mwenyewe
mwisho wa dunia utakuja kwako mwenewe, biblia huijui bora ukaekimya au uombe kuelimishwa.
I know your respond was not to me, but let me ask you a question: Kwanini Waislam wote wanasupport Palestine ambayo haijatajwa kwenye Koran Tukufu wakti huohuo, Allah pamoja na Mtume wake Muhammad wanaisupport Israel kama Nchi wa Wanaisrael?
Mimi sijui exactly kwann waislam wanasupport Palestine but what i know is that according to mafundisho yao, mtu akimtesa muislam mmoja its like persecuting uislam which is a duty of every muslim to wage war on the persecutor kutetea uislam. Which i find it kama kuna mapungufu katika haya maafundisho au kwenye interpretation yao ndo kuna matatizo. (sio mtaalamu wa dini ya kiislam)
So whats the point hapa?
Mimi sijui exactly kwann waislam wanasupport Palestine but what i know is that according to mafundisho yao, mtu akimtesa muislam mmoja its like persecuting uislam which is a duty of every muslim to wage war on the persecutor kutetea uislam. Which i find it kama kuna mapungufu katika haya maafundisho au kwenye interpretation yao ndo kuna matatizo. (sio mtaalamu wa dini ya kiislam)
So whats the point hapa?
Wewe you are not a believer bt I am and yet i concur with you (100%)
Tatizo watu wanaleta ushabiki wa dini kwenye vitu obvious kabisa. Hata hao wanaoleta ushabiki wa dini hawaelewi mafundisho vizuri.
Mkristo anashabikia wayahudi kama vile hajasoma Injili vizuri, jinsi wayahudi hawa hawa walivyomkana Yesu na kudemand asurubiwe na mpaka leo ukienda kwa wayahudi na kutaka kuwahubiria habari za Yesu mtagombana.
Yesu mwenyewe Mwana wa Mungu aliachana nao siku nyngiiiiiii, alivyoona mioyo yao
Migumu na kuawagiza wanafunzi wake waende duniani kote na kuwahubiria injili ili yoyote aaminie atapata uzima wa milele.
Sasa watu waache kutazama mgogoro wa Palestina na Israel kidini
Kwa nini tunazungumza uvamizi wa waisrael kwa wapalestina tu?mbona hatujadili uvamizi wa warumi kwa israel uliozaa tatizo hili leo?wayahudi warudishiwe ardhi yao waliyoporwa na warumi,wapate kurudi kwao na kuondokana na mateso wanayopata ugenini kama yale ya Hitler.tukishairudisha israel state yote then tutafute ni lini na wapi ilipokuwa palestina.tuone kama kuna kitu kinaitwa palestina!na Vatican isikae kimya,inahusika sana ugomvi huu.
Waislamu wako sincere sana na imani yao...Tatizo liko kubwa kwa wakristo majina...Wanapenda sana kujiita wakristo huku huyo kristo kila siku wana msulubisha msalabani mara ya pili kwa matendo yao yasioendana na wanacho kiamini....Ni rahisi kwa waislam kumjua Mungu kuliko wakristo vugu vugu...Maana hawana address, kwa Mungu hawaonekani maana hawana roho wake mtakatifu wala kwa shetani hawapo maana wachawi kila siku wanawazidi nguvu; wako kati kati na hawa ndiyo wapinga kristo haswa ndiyo maana wengi wao wapo kwenye cult groups..Ni waislam wachache sana wanakubali ku-iacha imani yao na kuingia kwenye imani wasizo zijua maana ndani mwao ni kweli wana kiu ya Mungu wa kweli...
Shida iliyopo hapo mashariki ya kati si hasa kati ya waislam (Palestine) na wayahudi (taifa la Mungu kwa agano la Abraham) bali wakristo waliovaa ngozi ya kondoo huku ndani wakiwa mbwa mwitu wakali...Ole ni kwao maana siku zao zina karibia na wala hakuna kati ya watoto wa Abraham (wayahudi na waarabu) atakaye potea hata mmoja...I hate those hypochrites wapinga kristo wakubwa huku wakijidai ni wakristo...