Unafiki sio tatizo la waislam... Na wala waislam sio wanafiki, Unafiki ni moja ya mapungufu ya Mwanadamu, so apparently hata wakristu pia wanaweza kuwa wanafiki.
You are incorrect. Unafiki is part of Islam, actually, "unafiki" is islamic. You can't convince me otherwise. All muslims including you if you are one, the sole reason you support Palestine it is because of Israel is involved in the dispute among the two. There are so many "state" conflicts in the world , lakini sijasika mkisema kitu wala saidia kama jinsi mnavyo fanya kwa Wale Palestina wanao lilia nchi ya watu.
Mimi sijawahi na sitaki kuuangalia mzozo huu kwa minajili hiyo ya kwako.
That is the problem when you live in the box. There is life out there....
Mimi nuona kama hivi Huu ni mzozo humanitarian ambao wahusika wao unfortunately wanaongozwa kiimani zaidi. Palestine is an islamic state na wanaongozwa na sheria za kiislam. Israel wanaongowa na sheria za kiyahudi.
How humanitarian is it? You know that Palestine are using children to fight that war. You know that Palestine are using women to fight that war. You know that Hamas are fighting in the cause of cacodemigod. How can you say, that is humanitarian?
Bado sijasikia Waislam mkikemea utumiaji wa watoto kama shield, bado sijasikia mkikemea utumiaji wa akina mama wenye mimba kama shield. Lakini ninacho sikia ni kuwa Israel inauwa hao viumbe mlio wapeleka mstari wa mbele huku mkiwa mmewavisha mabomu ili wajilipue. What a pathetic way of reasoning and thinking.
Sasa hata sisi huku Tanzania tumeupokea kiimani zaidi (nashangaa wakristo nao wamo cjui how do they fit into the equation.) kiasi kwamba hata tunawalaumu Nyerere na Kikwete (only a fool would believe ulikuwa msimamo wa Membe) kusupport Palestine.
.. and how do muslim fit to that imaginary equation of yours? Do you see when you said hili jambo si lakidini ulikuwa unadanganya?