Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
In tanzania, the curse will be for Membe and his followers.
hao wayahudi ni wakolofi miaka yote.wakati wa kuelekea vita vya pili vya dunia hawa jama walikua wafanyabiashara wakubwa na walikua watu wa kujisikia sana.walichukiwa ulaya yote kwa ajili ya mambo yao biashara zao zikagomewa wakatengwa na hatimaye kuwekwa kwenye concetration camp wakati wakitafutiwa makao.walikua wapelekwe texas,ikashindikana,hatimaye ndo wakaletwa hapo palestine.jamaa wa ulaya walikua wameshawachoka na walifanya juu chini kuhakikisha wanasimika taifa hilo hapo mashariki ya kati.
Hao waliokamata israel ni wayahudi wa ukoo wa Ashekenazi na wako na ndoto ya kuitawala dunia.