Palestine thanks Tanzania for support at UN

Palestine thanks Tanzania for support at UN

hahahaaaaa.we are talking about palestine if you want to preach about jesus go to any church.
You cant force as to be you audience.
The problem with you Biblethumper is that you think you can use any oppotunity to try and shove your beliave to people.
And if someone talkback agaisnt you ,you began overreacting.

Mimi sio niliyeweka mstari wa Biblia hapa, hiyo moja.

Mbili huna hakimiliki ya huu uzi. Kama uliona mimi nazungumzia Jesus basi wewe ungeendelea na Wapalestina kwani mimi sikukulazimisha.

Tatu, hayo mapepo yako ndio yanaogopa Jina la Yesu. Even if we are preaching everywhere, which is none of your business as far as you give no damn ****ing attention you inherited from your fateful mother while coocking, then why bother?!! Si ungeacha, au unaogopa wafuasi wako wataamua kuwa Wakristo?

Talk-back? Kweli wewe hamnazo. Mimi nilikuwa naongelea jambo lingine na wewe umekurupuka na lingine ndio unasema umenijibu? Unajibu hoja isiyokuwepo we mwehu nini?

Umekuja hapa na mapovu unalalamika kuwa nawaunga mkono Wayahudi, nimekuuliza kwa mstari upi au comment ipi umeanza kujing'atang'ata kama bwe'ge. Huna qualities za kushiriki mdahalo, mbulula wewe, nenda kabishane kwenye muhadhara
You can't force us to be your audience.
Kwanza hii ni dalili ya mtu muoga. Hapa unaongea na mimi lakini unajiaddress kama US. Huwezi kusimamia hoja yako mpaka ufanye collective bargaining. Haya niambie unaposema us unamaanisha wewe na nani? Mapepo yako au huyo mke mwenzio?
 
hahahaaaaa.we are talking about palestine if you want to preach about jesus go to any church.
You cant force as to be you audience.
The problem with you Biblethumper is that you think you can use any oppotunity to try and shove your beliave to people.
And if someone talkback agaisnt you ,you began overreacting.

Kwanza hiki ndio kiingereza gani?

Kiingereza cha madrasa hicho, eti? Andika kiarabu ulichokuwa unakung'utwa kukikariri
 
History shows that they existed no state refered as Palestina.
Which kind of history, support with vivid explanation, mind you also know that countries change their names i.e. Iran was called Persia, Ethiopia was Kush, Iraq was Mesopotamia among others.
 
Kama nyinyi mlio thousands of miles away from Israel/Palestine hamuwezi kupatana/kukubaliana. Sasa ninaelewa kwanini Israel and Palestine will never Live side by side in peace.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kaka usichukue vifungu nusu kuhalalisha maoni yako. Aya haisemi juu ya Wayahudi, Wapalestina wala Watanzania, inawalenga wale waliomwamini. Ndio maana nikaweka msisitizo kuwa NI KWA WALE WAMWAMINIYE na si vinginevyo.

Haijalishi wewe ni nani, ili mradi tu umemwamini Yesu na kumfuata. Sasa concept ya Wapalestina nao wamo au na Watanzania nao wamo au na Wayahudi nao wamo sio sahihi. Kila mtu anafanyika kuwa mwana kwa nafsi yake peke yake haihusishi nchi wala kabila lake. Kila mtu anakiri kama nafsi binafsi kwa hiyo taifa halikupeleki popote

Mimi sijachukua kifungu kwenye aya kuhalalisha maoni yangu, ila nimechukua kifungu kwenye na kutoa tafakari yake, it doesnt mean nime ignore the whole verse au nimepitosha the whole verse. Nimejaribu kuonesha uzito wa maneno yote katika verse. Sikugusia mstari wa mwisho kwasababu wewe umeuelewa na huwa nahisi watu wengi only notice the last line without recognizing uzito wa maneno ya kwanza na jinsi yanavyoshabiana.

Ts true tukimwamini Yesu tutaokoka na kupata uzima wa milele(thats we christians believe) bt bila kutenda mema na kuishi injili (living the Gospel) haitotosha kukufikisha mbinguni.

Yesu alikuja kutukomboa kwenye dhambi zetu, ni sawa ukisema kwamba Yesu alikuja kwa ajili ya dhambi zetu but more because Mungu aliupenda ulimwengu na hakutaka kutuangamiza watoto wake nakuamua kutupa nafasi wote. Ukombozi kwa wote (hata sisi Gentiles).

Sikutaka kuingia kwenye udini sana huko bt i wanted to make a point kwa wale wanao tumia justification ya occupation kwa kutumia Kitabu cha Mungu

Note:
Ujumbe sio kwa waamini tu, bali kwa watu wote.
 
Palestine go to hell... Kamwe siwezi kuwasupport wafilisti magovi yaliyotajwa kwenye bible.... na kwa ukweli ulipo sawa hawa jamaa wajiitao palestine si wa kweli hata wakati wa yesu hawakuwepo hayo maeneo ni pale waitaly walipoondoka baada ya kuusambalatisha mji wa jerusalem nchi ilikaa yenyewe yenyewe tu wakaja wahamiaji kutoka nchi jirani za waarabu then arafati akaja kuanzisha hii kitu iitwayo palestine ili waarabu wamsupport huyu mlowezi so jews ndio wenye nchi yao na hakuna hiki kitu kiitchwacho palestine before hiyo miaka ya 1947 kweusi... Membe na timu yao nzima ya ccm ndio walaaniwe kwa kuwasapoti wapuuzi arabs na sio sisi wananchi

ndg yangu hata huyo Arafat mwenyewe alikuwa mmisri wala si mfilisti.kabila ya wafilisti walipotea miaka mingi sana iliyopita!
 
Mimi sio niliyeweka mstari wa Biblia hapa, hiyo moja.

Mbili huna hakimiliki ya huu uzi. Kama uliona mimi nazungumzia Jesus basi wewe ungeendelea na Wapalestina kwani mimi sikukulazimisha.

Tatu, hayo mapepo yako ndio yanaogopa Jina la Yesu. Even if we are preaching everywhere, which is none of your business as far as you give no damn ****ing attention you inherited from your fateful mother while coocking, then why bother?!! Si ungeacha, au unaogopa wafuasi wako wataamua kuwa Wakristo?

Talk-back? Kweli wewe hamnazo. Mimi nilikuwa naongelea jambo lingine na wewe umekurupuka na lingine ndio unasema umenijibu? Unajibu hoja isiyokuwepo we mwehu nini?

Umekuja hapa na mapovu unalalamika kuwa nawaunga mkono Wayahudi, nimekuuliza kwa mstari upi au comment ipi umeanza kujing'atang'ata kama bwe'ge. Huna qualities za kushiriki mdahalo, mbulula wewe, nenda kabishane kwenye muhadhara

Kwanza hii ni dalili ya mtu muoga. Hapa unaongea na mimi lakini unajiaddress kama US. Huwezi kusimamia hoja yako mpaka ufanye collective bargaining. Haya niambie unaposema us unamaanisha wewe na nani? Mapepo yako au huyo mke mwenzio?

huh..hebu weka pembeni pressure utakufa bure.pili hata utoe matusi vipi haitakusaidia.halafu mambo ya kumind typo na mispelling hayatokusaidia hapa.
Nachotaka kukwambia kuwa hapa sio kanisani bana if you want to preach anyone there is many churches arround.
Lakini kama unataka debate here am.coming from lunchbreak am now free ,24 hours labda wachukue umeme.
BRING IT ON.
First thing first what were you flapping with your mouth while i wasnt here.
Mr biblethumpers.?
 
.
Alikuwa muumini wa papa urban wa pili. Kwamba Yerusalem inahatarisha uwepo wa Roma.
.

inahatarisha vipi uwepo wa vatican?wayahudi wana iman yao na kitabu chao tofauti na wakatoliki.
Kwanini nyerere na ukatoliki wake aliipinga israel na siasa zake za kuiba ardhi ya palestine.
 
Mimi sijachukua kifungu kwenye aya kuhalalisha maoni yangu, ila nimechukua kifungu kwenye na kutoa tafakari yake, it doesnt mean nime ignore the whole verse au nimepitosha the whole verse. Nimejaribu kuonesha uzito wa maneno yote katika verse. Sikugusia mstari wa mwisho kwasababu wewe umeuelewa na huwa nahisi watu wengi only notice the last line without recognizing uzito wa maneno ya kwanza na jinsi yanavyoshabiana.

Ts true tukimwamini Yesu tutaokoka na kupata uzima wa milele(thats we christians believe) bt bila kutenda mema na kuishi injili (living the Gospel) haitotosha kukufikisha mbinguni.

Yesu alikuja kutukomboa kwenye dhambi zetu, ni sawa ukisema kwamba Yesu alikuja kwa ajili ya dhambi zetu but more because Mungu aliupenda ulimwengu na hakutaka kutuangamiza watoto wake nakuamua kutupa nafasi wote. Ukombozi kwa wote (hata sisi Gentiles).

Sikutaka kuingia kwenye udini sana huko bt i wanted to make a point kwa wale wanao tumia justification ya occupation kwa kutumia Kitabu cha Mungu

Note:
Ujumbe sio kwa waamini tu, bali kwa watu wote.

Mbona nimekuelewa kwa hapo mkuu, lakini shida inakuja kwamba, kwa nanmna yako ya kupresent mada unaweza kuwapotosha watu wakadhani kwa kuwa upo tu ndani ya dunia hii na kwa kuwa Mungu aliupenda ulimwengu basi unaweza kufaidi upendo huo. Ndio mimi nikaweka mkazo kuwa kweli Mungu aliupenda ulimwengu lakini ili ufanyike kuwa mwana, yalazimu umwamini Yesu ya kuwa yu bwana na mwokozi. Kwa hiyo ni vyema watu wafahamu ya kuwa hakuna na Myahudi wala Mpalestina wala atayefanyika kuwa mwana pasina kumwamini Yesu ya kuwa ni bwana na mwokozi na kuamua kumfuata.
 
Kupinga Taifa la Israel ni sawa na kutafuta laana ya Kitaifa, unafikiri Wamarekani hawajui Diplomasia zaidi yetu? Ole wenu vibaraka mnaotoa matamko bila kutafuta ushauri wa manabii walioko chini ya jua...Tamko hilo lenu wenyewe mie na kizazi changu chote simo:A S angry:
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kama nyinyi mlio thousands of miles away from Israel/Palestine hamuwezi kupatana/kukubaliana. Sasa ninaelewa kwanini Israel and Palestine will never Live side by side in peace.

kama hata waisrael wenyewe baadhi wanaona injustice inayofanywa na serikari yao.sisi hapa tunapeana vifungu vya kidini kujustify ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Google.
Israel artist condemn settlement.
Jewishvoiceforpeace.org/campaigns
 
huh..hebu weka pembeni pressure utakufa bure.pili hata utoe matusi vipi haitakusaidia.halafu mambo ya kumind typo na mispelling hayatokusaidia hapa.
Nachotaka kukwambia kuwa hapa sio kanisani bana if you want to preach anyone there is many churches arround.
Lakini kama unataka debate here am.coming from lunchbreak am now free ,24 hours labda wachukue umeme.
BRING IT ON.
First thing first what were you flapping with your mouth while i wasnt here.
Mr biblethumpers.?

Shida yako ni kufikira kwa kutumia viungo vya kukalia. Nikukumbushe kuwa hili jukwaa ama huu uzi si mali yako na huna uwezo wa kunipangia cha kuongea wala kujadili hapa.

Kanisa ni sehemu ya maisha hata yako wewe na ndio maana hata nyie mmezunguka weee lkn sasa mmefika kwa Pope (Kiongozi wa watu wengi zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni) na Vatican. Hapo ulipo usikute ulizaliwa kwenye hospitali ya misheni.

Ulivyokimbilia kuripoti kwa mods kuwa nimekutukana ndio nikajua how feminine like you are. Na kama umekuja kuongea utumbo kwa matarajio nitapanic kama ulivyopanic wewe umeliwa. Utakesha. Ila sina kitu cha kujadili na mtu wa aina yako. We jua tu kwamba nitamtaja Yesu mara nyingi kadiri navyojisikia bila ridhaa yako wala yeyote unayemwamini, period! Wahi ukafuge ndevu
 
Nawasoma kwa miwani ya 3D.

utusome tena kwa heru kubwa za three D siyo ile ambayo mpaka uvae micro scope ndiyo uone tunamaanisha nini; No blessings kama tuna laani taifa la Mungu....Period lakini sisi wachache tulioamua kumlilia Mungu kwa nchi yetu iliyotiwa unajisi tutawaonyesha who God is not very far from today....Nyerere katika hili ndipo ninapo mkosoa wala siko naye najua alifanya haya kwakua alikuwa mkatoliki na wakatoliki hawakuwa washirika wa wana wa Israel.....Waarabu kupingana na wa Israel siyo kosa maana wote wapo ki Mungu zaidi ili kutuletea sisi ukombozi tatizo lina kuja kwa sisi gentile ambao tumepewa neema ya bure kupitia haya mataifa mawili Waarabu (mtoto wa mama wa Kambo) na M-Israel mtoto wa mke wa Abraham...

Hakuna kati ya waarabu ama wa Israel atakaye potea wote wata okolewa maana yote mawili ni mataifa original yalianzishwa na Mungu mwenyewe. Kila mtu alipewa baraka yake mmoja alipewa baraka ya kuleta mkombozi na mwingine alipewa baraka za kidunia ndiyo maana hata tufanyeje waarabu hawatakaa wafilisike...Pesa na wealth yote duniani belongs to them....Waisrael vile vile hawatakaa washindwe kufanya wonders maana nguvu na uwezo upo mabegani mwao tatizo ni sisi ambao hatujui nini sehemu ytu hapa duniani ugomvi wa ndugu sisi twauvalia nguo ya krismas kama vile tume alikwa....Huku tukijipambanua tunamjua Mungu kumbe tuko kishabiki zaidi kuliko kutafuta kweli katika imani zetu..I am sure hata waislam wana ukweli kwenye kitabu chao kuhusu wana wa Israel so why kushabikia mambo bila sababu? Mtu atasema ooh sisi ni secular yes lakini msimamo wetu kama secular then kwakua haya mambo yamekaa ki- conservative zaidi (imani) ni kuwa neutral basi na siyo ku-take sides.
 
kama hata waisrael wenyewe baadhi wanaona injustice inayofanywa na serikari yao.sisi hapa tunapeana vifungu vya kidini kujustify ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Google.
Israel artist condemn settlement.
Jewishvoiceforpeace.org/campaigns

Achana na hayo, Yesu ndio bwana na mwokozi wa maisha yako. Hebu soma Yohana 14:6

Yesu akamwambia "Mimi ndimi njia, kweli na uzima. Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi.......

Waambie na wenzako wasije wakapotea njia wakapita njia nyingine zaidi ya Yesu. Nakaribisha maswali kuhusu njia ya kweli na uzima. Achana na Wayahudi watakuharibia siku zako bure. Njoo nikuoneshe mambo makubwa
 
Kupinga Taifa la Israel ni sawa na kutafuta laana ya Kitaifa, unafikiri Wamarekani hawajui Diplomasia zaidi yetu? Ole wenu vibaraka mnaotoa matamko bila kutafuta ushauri wa manabii walioko chini ya jua...Tamko hilo lenu wenyewe mie na kizazi changu chote simo:A S angry:

The book of Revelation,chapter 2,verse 9 state the following about these jews.
''i know thy works and tribulation and poverty....i know the blasphemy of them which say THEY ARE JEWS and they are NOT,but are THE SYNAGOGUE OF SATAN.
...so whoever is calling himself a jew and so a chosen one,we need to look at him veeery closely.
They are just from satan.
GOD can not choose children murders to be his people.
If they were chosen one they wouldnt need NUCLEAR WEAPONS TO KEEP THEM SAFE.
God would have taken care of them.
 
Hapo ndipo waislamu nawaheshimu kwa kuipenda na kuilinda imani yao......Hivi sisi tunakataa hii laana kwa midomo tu bila kutaka kuuliza Membe kama waziri wa mambo ya nje atuambie alipitisha lini opinion poll kujua raia wake tunasimama upande upi?

Nadhani haya ndiyo mambo ya kuangalia kwenye katiba..Nyerere yeye msimamo wake ndiyo aliufanya uwe wa kila mtu bila hata kututaka maoni yetu? Hiyo ilikuwa sawa kwenye siasa ya chama kimoja ambapo zilidumu fikra za wasiopenda kufikiri ili wasikosolewe lakini si wakati huu....I beg to differ, Membe has to tell us sisi wakristo inakuaje atu by pass kwenda kupingana na imani yetu?
 
Nashukuru kuwa tumeelewa we were on the same page sema tu ufikishaji wa ujumbe ndo was a problem.

Ningependa mjadala wetu uishie pale bt kwenyr hili sidhani mimi nakubaliablna na wewe.
unaweza kuwapotosha watu wakadhani kwa kuwa upo tu ndani ya dunia hii na kwa kuwa Mungu aliupenda ulimwengu basi unaweza kufaidi upendo huo..

Unataka kuniambia upendo wa Mungu wanaoufaidi ni only for those wanaumuamini Yesu??? Vipi wapagani? Wahindu? Waislam? Budhists? Sceintologists? Nk
 
The book of Revelation,chapter 2,verse 9 state the following about these jews.
''i know thy works and tribulation and poverty....i know the blasphemy of them which say THEY ARE JEWS and they are NOT,but are THE SYNAGOGUE OF SATAN.
...so whoever is calling himself a jew and so a chosen one,we need to look at him veeery closely.
They are just from satan.
GOD can not choose children murders to be his people.
If they were chosen one they wouldnt need NUCLEAR WEAPONS TO KEEP THEM SAFE.
God would have taken care of them.

If you think God can protect you why not just close your eyes and walk for God will direct your path?
 
Achana na hayo, Yesu ndio bwana na mwokozi wa maisha yako. Hebu soma Yohana 14:6

Yesu akamwambia "Mimi ndimi njia, kweli na uzima. Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi.......

Waambie na wenzako wasije wakapotea njia wakapita njia nyingine zaidi ya Yesu. Nakaribisha maswali kuhusu njia ya kweli na uzima. Achana na Wayahudi watakuharibia siku zako bure. Njoo nikuoneshe mambo makubwa

huko church tulishapita sana wala hakuna jipya unaloniambia.naomba tu kuuliza yule mary na martha walikua dadazake lazaro.SIYO?SIKU jesus alipokwenda kuwatembelea unakumbuka mary alimuachia kazi zote martha yeye akawa analonga na jesus hadi marth akamwambia.
'BWANA mwambie basi mary aje anisaidie kazi maana naona ameng'ang'ania tu ubavuni kwako'
na wakamtolea nje.
Mr mtokapabaya ,CAN YOU TELL ME WHY MARY OF bethany was SO CLOSE TO JESUS? Luka 10:38-42.
.answer that imekua inanisumbua sana why jesus was so close to mary.
 
Back
Top Bottom