Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,788
- 51,554
Jamiiforum ni mtaa miss...kuna vibaka watukutu wezi wastaarabu na waliotulia.
Weka vigezo visimamie ukiona dalili za vibaka unawacansel mapema.
Kabisa aiseeh chalii angu.inabidi wakati mwingine tutumie akili ya kufanya maamuzi ni sio kuendeshwa na hisia