Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

Heshima yako Mkuu Daby
Ukweli ni kwamba dada zangu wengi wanashindwa kuchungulia fursa na kujiegemeza kwa mnaume ambaye wala hajali hisia zake kisa kuna kitu amempendea AU ANATAKA KULAZIMISHA NDOA.
Kuna jirani namjua jamaa anakuja kwake kumega na kusepa na siku nyingine vipigo lakini kajifungia na ma status ya Engaged wakati kuna kijana namjua anamtaka kwa kila namna na yuko tayari kumuoa lakini yeye wala.
Sasa uende kwa usiempenda ili iweje?
 
Hivi mdada anayejielewa anaweza kuandika "I love the way you do me"! Unajua kuna watu hizi social networks zinawazingua, kila tukio lazima liwekwe online. Yaani maisha yenye privacy hakuna tena siku hizi, inafikia hadi mtu yupo chooni anatupia picha..daaah!!!
Mkuu wanaandika kuliko haya labda niseme huenda wakawa hawajui maana yake,na utakapo mwambia kua hapo sio sawa
matusi yake na vijembe utajuta umesemea nini,ilobakia unaangalia tuu,nakuwaonea huruma..
 
Nimekupata vizuri, ila ninyi wanaume ni watu wabay sana Mungu awasamehe tu, kipimo mnachowapimia watoto wa wenzenu kitawatafuna na wenu
Waambie mwenzangu..
Watu wanasahau kua ujana maji ya moto..
Uzeeni wataona mabinti zao wakifanyiwa haya wanayowafanyia mabinti za watu wengine.
 
Nashkuru Mungu tangu nianza kudate sijawahi weka hata kidole cha mtu hata iwe birthday yake!!!!
Maana ningekua kwny majuto ya hali ya juu!.
 
Waambie mwenzangu..
Watu wanasahau kua ujana maji ya moto..
Uzeeni wataona mabinti zao wakifanyiwa haya wanayowafanyia mabinti za watu wengine.
Waache tu, na mwanaume anaejua kupenda ni mwenye kumjua Mungu wengi wanatamani tu. Yesu tutetee jeshi lako
 
Unataka kusema waliopo jf ni tofauti na wale wa fb? Kiongozi, "mazombi" wa mapenzi kama unavyowaita wamejaa tele humu, kama walivyo huko fb.
Aaaah kule wamezidi alafu wakiachana wanakuja na maneno ya moyo sukuma damu
 
Back
Top Bottom