Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

Mie hua watu kama hao wananikera sanaa,sometimes unakuta huyo mwanamme wala hata mpango nae hana,lakini kila akiamka asubuhi kaweka picha na msg My one and only, mara He makes me go mmmmmmh,mara i love the way u do me, mara unaona kimnyaaaaaaaaaaaaaaa ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii lol hapo baada ya kumwagwa utasikia am a woman of my own..lol
mimi ni mtafiti mzuri tu wa haya mambo katika kujifurahisa nikiwa nipo alone nachukua simu naingia whatsapp naangalia contacts zote kila siku huwa nafanya baada ya mwezi huwa naunga dots what is going on ni vichekesho sana kwa hii jinsia ya ke
kuna relation hazidumu hata mwezi ukatimia 'chombeza time'
Na wanawake wengi sio wote hawana akili kabisa mwanaume anayeropoka na kukuchombeza 'sweat lie' hawezi akawa na msingi mzuri wa kuendeleza maisha na ndio ambao wanawake wengi hupaparika na kuwaona wamekamilika
Sasa kama mwanaume upo serious una deal na serious issues kwa mustakabali wako huna maneno mengi ukimpata mwanamke utampata mwenye akili tu siyo vinginevyo hawa wa instagram, snapchat huwezi kuendana nao sababu huna muda na huko na utapinga vikali kupoteza muda kwa mambo yasiyo na tija

Wanaume wenye IQ kubwa nikiwemo mimi wanajishikilia tu kwa mwanamke asiye na akili na kujitambua huku akiendelea kufanya pilot survey na mtaishia kuliwa vitumbua vyenu tu (Temporal oriented)
 
mimi ni mtafiti mzuri tu wa haya mambo katika kujifurahisa nikiwa nipo alone nachukua simu naingia whatsapp naangalia contacts zote kila siku huwa nafanya baada ya mwezi huwa naunga dots what is going on ni vichekesho sana kwa hii jinsia ya ke
kuna relation hazidumu hata mwezi ukatimia 'chombeza time'
Na wanawake wengi sio wote hawana akili kabisa mwanaume anayeropoka na kukuchombeza 'sweat lie' hawezi akawa na msingi mzuri wa kuendeleza maisha na ndio ambao wanawake wengi hupaparika na kuwaona wamekamilika
Sasa kama mwanaume upo serious una deal na serious issues kwa mustakabali wako huna maneno mengi ukimpata mwanamke utampata mwenye akili tu siyo vinginevyo hawa wa instagram, snapchat huwezi kuendana nao sababu huna muda na huko na utapinga vikali kupoteza muda kwa mambo yasiyo na tija

Wanaume wenye IQ kubwa nikiwemo mimi mtaishia kuliwa vitumbua vyenu tu (Temporal oriented)
Mungu awanusuru...
 
Wanafurahishaga sana wadada na vi post vyao mi nawapa miezi 12 tu akiwa ndokapata bwana mbichibichi mahaba yamoto anapost kama ju.ha miezi ile ya bata mara ooh read my location out with bae mara oh feeling blessed with bae ghafla hali ya status hubadilika akipigwa mimba vipost vinaanza kubadilika eeh yesu nisimamie peke yangu siwezi ghafla kapost mara ooh kuna wanaume na viatu utakua wewe ikifika miez tisa kapost kapya asante mungu umenipigania haikua rahisi iyo post inasindikizwa na kapicha ka mtoto kichanga[emoji23][emoji23][emoji23] ur my everything [emoji23][emoji23][emoji23] wadada mungu anawaona[emoji119]
 
Mie hua watu kama hao wananikera sanaa,sometimes unakuta huyo mwanamme wala hata mpango nae hana,lakini kila akiamka asubuhi kaweka picha na msg My one and only, mara He makes me go mmmmmmh,mara i love the way u do me, mara unaona kimnyaaaaaaaaaaaaaaa ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii lol hapo baada ya kumwagwa utasikia am a woman of my own..lol
Hivi mdada anayejielewa anaweza kuandika "I love the way you do me"! Unajua kuna watu hizi social networks zinawazingua, kila tukio lazima liwekwe online. Yaani maisha yenye privacy hakuna tena siku hizi, inafikia hadi mtu yupo chooni anatupia picha..daaah!!!
 
Asante sana kwa maneno yako mubashara yamejaa hekima kabisa.Naahidi nitalizingatia hilo....
 
wanaume wana wivu hadi na mchepuko anakupotezea muda,hana future na wewe ila atakaba hadi ukienda chooni
Ukiona mwanaume hatumii condom ujue huyo anafuture na wewe hata kama unajijua ni mchepuko basi wewe ni FUTURE MCHEPUKO/ SECOND WIFE.Pia wanaume tunakua na wivu na michepuko ili isituletee magonjwa.
 
Back
Top Bottom