Mpiga Miti
Member
- Apr 19, 2017
- 47
- 35
Miss Natafuta una vigezo vyote ninavyotaka!mimi sina mtu mkuu mimi bikra
Miss Natafuta una vigezo vyote ninavyotaka!mimi sina mtu mkuu mimi bikra
Karibu huku...ndiko nakoshinda
Ukiona mwanaume hatumii condom ujue huyo anafuture na wewe hata kama unajijua ni mchepuko basi wewe ni FUTURE MCHEPUKO/ SECOND WIFE.Pia wanaume tunakua na wivu na michepuko ili isituletee magonjwa.
Haha...Ahsante,
Nakucheki kwenye rada yangu mmh!
Haha...
Tuchekiane tu maana sio kawaida wewe kuonekana huku.
Mie hili jukwaa?.. acha tu!,huliogopa,haliendani nami kabisaa!..nisije nikacheka kwa sauti nikaoneka kituko mbele ya kadamnasi.
Wasi, nini?
[emoji16][emoji16][emoji16]Watz mmemsikia Tim huku..Huwa na vituko jukwaa hili,mimi huja mara moja moja tu na kutimua mbio!..watz wanamambo kweli!...😀
we dingi mnoko upo? mbona wengine wanaolewa na kuachwa, acha wajiringishe kama ndicho kinachowapa furahaView attachment 500378
Kuna wakati unaweza kumuomba mwanamke mtoko (dates) kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kubadilishana mawazo au uzoefu halafu anakwambia "sorry I'm in a relationship" lakini hataishia hapo atakwenda kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii (Social Media) na kuweka ujumbe kama ...."in a relationship or Engaged" na mbaya zaidi mapicha picha ya huyo mwanaume ambaye hata hawajafikia hatua ya kupanga mipango ya ndoa yatakuwa yakibadilishwa kila muda kwenye ukurasa wake wa ujumbe.
Wakati mwingine nabaki nikijiuliza hivi hawa dada zangu wamelogwa au wanaumwa ugonjwa gani.
Naomba niwaambie dada zangu mnaosoma hapa amkeni msiwe wajinga kiasi hicho. Ukweli ni kwamba ni Mpaka pale mwanaume utakapofunga naye ndoa ndiyo unaweza kusema ni wa kwako. Mwanaume kabla ya kufunga ndoa hata kama kakuvisha pete ya mamilioni bado hajakuwa wa kwako. Unapojifunganisha naye na kujitangaza kwamba uko na mtu tayari, mwenzako yuko available na bado anadodosa kutafuta mwenye vigezo kukuzidi na huenda Bahati hiyo ikamuangukia mwingine.
Hamjawahi kusikia wanawake wenzenu waliochwa na pete za uchumba na pete za ndoa wakavishwa wengine, achilia mbali wale walioachwa kanisani au majumbani mwao wakisubiri Bwana aje wafunge ndoa na asionekane mazima.
Kama uko na mwanaume uaminifu ni lazima lakini haikunyimi nafasi ya kukutana na wanaume wengine na kuzungumza nao kwani wakati yule anauweka usiku wapo ambao wako serious na wameshakuona una meet vigezo vyao na wanachotaka ni kupata nafasi ya kusikilizwa.
Ushauri wengu kwenu dada zangu ni kuwaomba kupunguza mbwembwe za mitandaoni. Kujifunganisha na mwanaume ambaye hata kwenu hajulikani ni kujitia mikosi, wanaume siyo wa kuaminika kiasi hicho. Kufanya hivyo ni kujizibia nafasi yako ya kuonekana na wanaume wengine walio na nia njema na wewe.
Mwenye masikio na asikie….
Nini wew nanii?
Husninyo upo kweli ww mdada nimekumiss.we dingi mnoko upo? mbona wengine wanaolewa na kuachwa, acha wajiringishe kama ndicho kinachowapa furaha
Halafu akikuta huna je?kweli kabisa kuna mdada mmoja hivi ni rafiki yangu ni mrembo kweli siku moja tumetoka nae jamaa mmoja akawa anamtongoza hata dakika mbili hazijaisha akamueleza ana mtoto,baba mtoto this blah blah kibao wakati baba mtoto wala hamtaki. mimi nasimama peke yangu tena najitambulisha kama bikra kabisa
atafanya nini?Halafu akikuta huna je?
Akikumwaga kwa uwongo utamlaumu?atafanya nini?
madhara ya kunimwaga unayajua? atayaweza?Akikumwaga kwa uwongo utamlaumu?
Ahahahahahahaa una mkwara kama kweli vileee... Utamtangazia kibamia au ana ngwengwe?madhara ya kunimwaga unayajua? atayaweza?
ahahaaa ajaribu aone ohoooAhahahahahahaa una mkwara kama kweli vileee... Utamtangazia kibamia au ana ngwengwe?
Hii kauli imekaa kichochezi kwa Sisi madomozege... Kwahyo Miss Trump ntakuombea ban Labda ufute kauli yakomimi sina mtu mkuu mimi bikra