Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

kweli kabisa kuna mdada mmoja hivi ni rafiki yangu ni mrembo kweli siku moja tumetoka nae jamaa mmoja akawa anamtongoza hata dakika mbili hazijaisha akamueleza ana mtoto,baba mtoto this blah blah kibao wakati baba mtoto wala hamtaki. mimi nasimama peke yangu tena najitambulisha kama bikra kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] khaaah
ila kweli biashara matangazo
 
kweli kabisa kuna mdada mmoja hivi ni rafiki yangu ni mrembo kweli siku moja tumetoka nae jamaa mmoja akawa anamtongoza hata dakika mbili hazijaisha akamueleza ana mtoto,baba mtoto this blah blah kibao wakati baba mtoto wala hamtaki. mimi nasimama peke yangu tena najitambulisha kama bikra kabisa
Nyie wanawake wakati mwingine mna roho ngumu sana, kuna mama namjua alikana kuolewa wala kuzaa, wakati alikuwa na ana mume na watoto 3.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
I think wanawake wanalitambua hilo.Keeping in mind wanaume walivyo wachache, Ko dates na mwanaume interesting kitu cha Ku consider..ukiona unapewa excuses jua hauko kwenye interest za huyo mdada Ko atakuambia hata Ana mtoto ili uondoke.Yani kwa ufupi hakutaki,labda Ww ndo unajiona Una potential kwake ila yy ndo ivyo ameshakublock kiaina.
 
Heshima yako Mkuu Daby
Ukweli ni kwamba dada zangu wengi wanashindwa kuchungulia fursa na kujiegemeza kwa mnaume ambaye wala hajali hisia zake kisa kuna kitu amempendea AU ANATAKA KULAZIMISHA NDOA.
Kuna jirani namjua jamaa anakuja kwake kumega na kusepa na siku nyingine vipigo lakini kajifungia na ma status ya Engaged wakati kuna kijana namjua anamtaka kwa kila namna na yuko tayari kumuoa lakini yeye wala.
Love is blind, they say.
 
Yaani unakuta hata kwenu hatambuliki lakini, ni kutwa uko wapi, kila dakika cm, weekend Hamna kutoka,na ukitoka kila dakika cm..
Kuchoshana tu. Na kuzibiana ridhiki,
Miye wa hivyo wala simpi fursa ya kuniganda ajiondokee tu, akafie mbele
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kweli kabisa kuna mdada mmoja hivi ni rafiki yangu ni mrembo kweli siku moja tumetoka nae jamaa mmoja akawa anamtongoza hata dakika mbili hazijaisha akamueleza ana mtoto,baba mtoto this blah blah kibao wakati baba mtoto wala hamtaki. mimi nasimama peke yangu tena najitambulisha kama bikra kabisa
mmmmmh acha uongo wako,,,,,, wewe mwenyewe michezo ya SALOME...
 
Usumbufu wote huo sio kwamba upo kwake hapana.
Wewe unaishi kinyako nae kinyake lakini, unachungwa Kama dhahabu,
Hata marafiki usikutane nae mbadilishane Mawazo,
Akija kwako akikukuta haupo. Utoe Maelezo yalonyooka.
Khaaaaaa...aunt yashakukuta nin.?
 
wanawake wanatupenda watu ambao tunawanawake wengi sijui kwanini. unaacha watu wenye future unakuja kwangu wala ata sina mpango wa kukuoa.

WANAWAKE PUNGUZENI KUTUPENDA MAPLAYER HATUNA FUTURE MNAPOTEZA MUDA WENU.
 
Back
Top Bottom