Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,029
- 59,684
Unapenda ufanywejeee?atafanya nini?
Unapenda ufanywejeee?atafanya nini?
Nipo mpenzi. Mambo?Husninyo upo kweli ww mdada nimekumiss.
Koh koh!!Kwakweli am always single!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Poa mtu wanguuNipo mpenzi. Mambo?
Tumia coflinKoh koh!!
Mji niliofika leo kuna baridi Kali..koh koh..coflin hazipatikaniTumia coflin
Basi kikohozi chema. Jifunike.Mji niliofika leo kuna baridi Kali..koh koh..coflin hazipatikani
Ufanyie kazi... kishaleta mrejesho tuutie baraka....mimi niachie kazi ya kukuombeaNimeona ndani yake kuna uhamasishaji humo
Hapana naugopa tatizo shetani akawii kukupitia mkaongozana dhambiniUfanyie kazi... kishaleta mrejesho tuutie baraka....mimi niachie kazi ya kukuombea
kiukweli kuna wadada wana mashauzi mengi hadi wanakera. vichwa vyao vinawatosha wenyewe.View attachment 500378
Kuna wakati unaweza kumuomba mwanamke mtoko (dates) kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kubadilishana mawazo au uzoefu halafu anakwambia "sorry I'm in a relationship" lakini hataishia hapo atakwenda kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii (Social Media) na kuweka ujumbe kama ...."in a relationship or Engaged" na mbaya zaidi mapicha picha ya huyo mwanaume ambaye hata hawajafikia hatua ya kupanga mipango ya ndoa yatakuwa yakibadilishwa kila muda kwenye ukurasa wake wa ujumbe.
Wakati mwingine nabaki nikijiuliza hivi hawa dada zangu wamelogwa au wanaumwa ugonjwa gani.
Naomba niwaambie dada zangu mnaosoma hapa amkeni msiwe wajinga kiasi hicho. Ukweli ni kwamba ni Mpaka pale mwanaume utakapofunga naye ndoa ndiyo unaweza kusema ni wa kwako. Mwanaume kabla ya kufunga ndoa hata kama kakuvisha pete ya mamilioni bado hajakuwa wa kwako. Unapojifunganisha naye na kujitangaza kwamba uko na mtu tayari, mwenzako yuko available na bado anadodosa kutafuta mwenye vigezo kukuzidi na huenda Bahati hiyo ikamuangukia mwingine.
Hamjawahi kusikia wanawake wenzenu waliochwa na pete za uchumba na pete za ndoa wakavishwa wengine, achilia mbali wale walioachwa kanisani au majumbani mwao wakisubiri Bwana aje wafunge ndoa na asionekane mazima.
Kama uko na mwanaume uaminifu ni lazima lakini haikunyimi nafasi ya kukutana na wanaume wengine na kuzungumza nao kwani wakati yule anauweka usiku wapo ambao wako serious na wameshakuona una meet vigezo vyao na wanachotaka ni kupata nafasi ya kusikilizwa.
Ushauri wengu kwenu dada zangu ni kuwaomba kupunguza mbwembwe za mitandaoni. Kujifunganisha na mwanaume ambaye hata kwenu hajulikani ni kujitia mikosi, wanaume siyo wa kuaminika kiasi hicho. Kufanya hivyo ni kujizibia nafasi yako ya kuonekana na wanaume wengine walio na nia njema na wewe.
Mwenye masikio na asikie….
Ahlan wasahlan...hali yangu dhoofu ghaflaBasi kikohozi chema. Jifunike.
Nina cv nzuri saana katika maombi.Hapana naugopa tatizo shetani akawii kukupitia mkaongozana dhambini
Hahaaaa...... Daby huyu huyu ninayekutanaga naye viti virefu au mwingine? Bila shaka huyo shetani unayemkemea atakuwa ashazeeka hivyo kageuka malaika!Nina cv nzuri saana katika maombi.
Shetani hajawahi nipitia zaidi ya kupungiana naye kwa mbali. Nanena kwa lugha..nakemea hadi visivyo kemewa. Sitakuangusha
Thad puuuliziii.. na ushindwe kwa jina laaaHahaaaa...... Daby huyu huyu ninayekutanaga naye viti virefu au mwingine? Bila shaka huyo shetani unayemkemea atakuwa ashazeeka hivyo kageuka malaika!
Hahaaaaa utakuwa umetumwa na shetani nwNina cv nzuri saana katika maombi.
Shetani hajawahi nipitia zaidi ya kupungiana naye kwa mbali. Nanena kwa lugha..nakemea hadi visivyo kemewa. Sitakuangusha
Kwa hii kauli lazima pepo mchafu atakuwa ameshakuingia... toa mawasiliano haraka nije nikuombeeHahaaaaa utakuwa umetumwa na shetani nw