miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,516
naaamini kila mwenye macho amesoma
ahaaaa mwanaume atambulishwi mi napitaga kimyakimya kama kobe.hata home utaishia mtaa wa tatu huko .Mie hua watu kama hao wananikera sanaa,sometimes unakuta huyo mwanamme wala hata mpango nae hana,lakini kila akiamka asubuhi kaweka picha na msg My one and only, mara He makes me go mmmmmmh,mara i love the way u do me, mara unaona kimnyaaaaaaaaaaaaaaa ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii lol hapo baada ya kumwagwa utasikia am a woman of my own..lol
miss chagga ninavyokutafuta we acha tu.kweli kbaisa kaka Mtambuzi wengine wanaachwa na watoto kabisa sembuse pete...
bora uwe mkali kwa kweli sababu haana jema .. mfano ni mume wa mtu anakubana wewe huku yeye akijua kabisa anandoa yake ile wewe hakupi hata uhuru wa kumua lohKatika mambo ambayo sitafanya makosa. Ni kumtangaza MTU,huku akiwa ni boyfriend tu,
Na huwa sipendi mwanaume ambae hata kwetu hawamfahamu aniite mchumba ntagombana nae.
Jamiiforum ni mtaa miss...kuna vibaka watukutu wezi wastaarabu na waliotulia.ila wengi ni vibaka wa papuchi tu humu
okey namba usha tupa kule wewe kaka wewe ohoooomiss chagga ninavyokutafuta we acha tu.
Tuelekee PM
Yaani unakuta hata kwenu hatambuliki lakini, ni kutwa uko wapi, kila dakika cm, weekend Hamna kutoka,na ukitoka kila dakika cm..wanaume wana wivu hadi na mchepuko anakupotezea muda,hana future na wewe ila atakaba hadi ukienda chooni
nina vigezo vyangu siwezi kusema nikisema watapretendJamiiforum ni mtaa miss...kuna vibaka watukutu wezi wastaarabu na waliotulia.
Weka vigezo visimamie ukiona dalili za vibaka unawacansel mapema.
ni sahihi mkuu...wanasahau kawaida mtu hapati anachokitaka ila anachostahili. Na hili linawaumiza wengi.Heshima yako Mkuu Daby
Ukweli ni kwamba dada zangu wengi wanashindwa kuchungulia fursa na kujiegemeza kwa mnaume ambaye wala hajali hisia zake kisa kuna kitu amempendea AU ANATAKA KULAZIMISHA NDOA.
Kuna jirani namjua jamaa anakuja kwake kumega na kusepa na siku nyingine vipigo lakini kajifungia na ma status ya Engaged wakati kuna kijana namjua anamtaka kwa kila namna na yuko tayari kumuoa lakini yeye wala.
sema na wanawake tunajua kujirahisi sana .mtu unahamia kabisa kwa mwanaume unapika unapakua na kugeuzwa usiku kucha hujatolewa hata advance ya mahari hata mkopo .me siendi kwa mtu hata siku mojaYaani unakuta hata kwenu hatambuliki lakini, ni kutwa uko wapi, kila dakika cm, weekend Hamna kutoka,na ukitoka kila dakika cm..
Kuchoshana tu. Na kuzibiana ridhiki,
Haha keep on.. wishing you all the bestnina vigezo vyangu siwezi kusema nikisema watapretend
Maaama Miaaa.sema na wanawake tunajua kujirahisi sana .mtu unahamia kabisa kwa mwanaume unapika unapakua na kugeuzwa usiku kucha hujatolewa hata advance ya mahari hata mkopo .me siendi kwa mtu hata siku moja
Utongozaji wao basi.,mimi nakupenda, nataka niwe na wewe tu, nakuhudumia kila kitu, hahaaabora uwe mkali kwa kweli sababu haana jema .. mfano ni mume wa mtu anakubana wewe huku yeye akijua kabisa anandoa yake ile wewe hakupi hata uhuru wa kumua loh
Usumbufu wote huo sio kwamba upo kwake hapana.sema na wanawake tunajua kujirahisi sana .mtu unahamia kabisa kwa mwanaume unapika unapakua na kugeuzwa usiku kucha hujatolewa hata advance ya mahari hata mkopo .me siendi kwa mtu hata siku moja
kupata mgegedo wa zamu nayo kipaji mkuuMaaama Miaaa.
Sasa naomba nilete barua tumalizane, maana miye mpagani ndoa ya wanawake wengi inanihusu sana
kukutunza yenyewe chumba kimoja na ndooUtongozaji wao basi.,mimi nakupenda, nataka niwe na wewe tu, nakuhudumia kila kitu, hahaaa
,ukiliangalia lenyewe lina mke na watoto,
Anataka ww uwe mgumba milele
na ujiandae kwa dhambi kuu mbili kuzuia mimba au kutoa mimba na kuleta maugomvi kila leo nyumbani kwake au watoto wake kulala njaa..Utongozaji wao basi.,mimi nakupenda, nataka niwe na wewe tu, nakuhudumia kila kitu, hahaaa
,ukiliangalia lenyewe lina mke na watoto,
Anataka ww uwe mgumba milele
Kwa kweli hii dhambi sitaki kuikaribisha kwangu. Inipitee tu,na ujiandae kwa dhambi kuu mbili kuzuia mimba au kutoa mimba na kuleta maugomvi kila leo nyumbani kwake au watoto wake kulala njaa..