Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

Weye unasema bidada ana BF njemba miaka hii zinaambiwa mie nimeolewa bado ZINAZOZA TU! si ndiyo sababu ya kushamiri kwa MICHEPUKO.

 
Teh... unavyonipigia promo sasa.. haya ngoja

Maombi yangu cesy popote tu...hata ukitaka nikupandishe mlimani tutaenda kuomba huko
Anza kuniombea huko niliko mwaya yatanifikua tu
 
kweli kabisa kuna mdada mmoja hivi ni rafiki yangu ni mrembo kweli siku moja tumetoka nae jamaa mmoja akawa anamtongoza hata dakika mbili hazijaisha akamueleza ana mtoto,baba mtoto this blah blah kibao wakati baba mtoto wala hamtaki. mimi nasimama peke yangu tena najitambulisha kama bikra kabisa
[emoji15] [emoji15] bikra???????
 
sema na wanawake tunajua kujirahisi sana .mtu unahamia kabisa kwa mwanaume unapika unapakua na kugeuzwa usiku kucha hujatolewa hata advance ya mahari hata mkopo .me siendi kwa mtu hata siku moja
Msingi wa mahari ni nini hasa, naona kama vile mwanamke anauzwa jamani...
Nafikiri muhimu ni kupendana na kuheshimiana.
 
Utongozaji wao basi.,mimi nakupenda, nataka niwe na wewe tu, nakuhudumia kila kitu, hahaaa
,ukiliangalia lenyewe lina mke na watoto,
Anataka ww uwe mgumba milele
Na bado mnakubali kwa sababu kigezo chenu kikubwa ni fedha, acha mburuzwe hakuna namna maana punda wake mzigo
 
Back
Top Bottom