Mambo ya kishirikina ni ngumu kufanya jambo kama hilo kwenye compound kubwa kama ile yenye watu wa kila ainaMimi ningetamani kujua dawa ya kuwa Zuia wasikanyage tena pale kama sio paka au ya kuwageuza wawe watu kama kweli sio paka
Kwa iyo paka feki ukimuonyesha au ukimtupia kuna reaction anakuonyesha au.Ndimu haipatani kabisa na wachawi
Umenitenga kweli mtani wangu.Mithing u mtani wangu
DuuuhView attachment 519410unaweza kufanya hivi? Inahitaji guts za ajabu
Kwani paka naye kaharamishiwa baadhi ya vyakula?Paka halisi ile kitu kwake haramu
Huyu nilikutana naye maeneo ya wodi ya Mwaisela. Hiyo siku ndo nilijua nina kipaji cha riadha...Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
Mbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!
Umemfananisha... wa kwako ni huyuhapana huyu wangu labda awe anatoroka usiku