Ndiouko pekeyako?
ChanteDah!pole sana
Anaandika andika tu vya kuokoteza hapa na pale na masimulizi ya vijiwe vya kahawa... Asikutishe wala nini!Wee Jamaa inaonekana Una mambo Mengi Uyajuayo Ila Huwa Unatoa Kiduchu Kiduchu Afu Ufafanuz Mdogo
Ebu Mwaga Iyo Elim Uliyo Nayo Nasi Tuelewa Kinachoendelea Katika Ulinwengu Huu
Uje asubuhi tuhata kukufariji? I mean kukutoa upweke?
Yni ww mwanamke usiku upo unasoma thread za mshana!?Chanteila usinijie tu sahz mana ndo mida yenu ya kazi
Sasa hapo unaniangusha ina mana humwamini Yesu wako?Yni ww mwanamke usiku upo unasoma thread za mshana!?
Wakati mm hata mchana sizisomagi
Sitaki kuzoea. Kwa sababu nawapa shida sana wachawi kwa upako nilio nao.Sasa hapo unaniangusha ina mana humwamini Yesu wako?
Izo Guts Nazipataje....??View attachment 519410unaweza kufanya hivi? Inahitaji guts za ajabu
Ngumu kumeza mkuu