Kulikuwa na binti mmoja, maisha yalikuwa yamembana sana
bad situation.
Alikuwa amechoka kupita kiasi kimwili, kiakili na hata moyoni
Siku moja jioni, baada ya mawazo kumzidi, akajisemea
Ngoja nitoke kidogo, nipate fresh air, maybe nitatulia
Akatembea polepole bila mwelekeo maalum, akijaribu kupunguza mzigo wa mawazo
Ghafla, macho yake yakatua kwenye chupa ya ajabu iliyokuwa imekaa peke yake kama inamsubiri
Alipoisogelea mambo yakabadilika
Ile chupa ikaanza kumsemesha
Ndiyo, ikaanza kumsemesha kwa sauti laini, yenye utulivu, yenye maneno matamu ya kuvutia maneno yaliyomfanya ahisi kueleweka kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu
Ilikuwa ajabu sana lakini ilikuwa halisi 🫰 not movie
Binti alisimama kimya, akisikiliza
Ghafla, ile chupa ikafunguka taratibu kisha ikasema kwa upole😊
Kunywa kilichopo ndani yangu
Binti, akiwa amechoka na maisha, bila kusita akainyanyua na kunywa
Lahaula…!
Ndani ya sekunde chache, kila kitu kikabadilika
Akahisi kama mzigo wote aliokuwa amebeba umetoweka
Moyo ukatulia
Mawazo yakapoa
Ni kama amezaliwa upya ajabu ya kweli 🙌
Baada ya kuridhika na ile hali ya utulivu na furaha, ile chupa ikajifunga yenyewe tena, kimya kimya😢
kama haijawahi kufanya chochote🙌
Binti alitabasamu kidogo, akaiangalia ile chupa kwa mshangao na shukrani
Na hapo ndipo alipoamua kuipa jina
CHUPA YA MAAJABU
This is my magic bottle✨
kuna kipindi ilikua avatar now ipo kabatini
Achana nao 👍Diary yako sio muda watu wataifanyia diarrhea.
Kila la kheri mkuu mimi naisubiri page ya mwisho.
okay 🐒Kwani utalala hapo?
Huo ushauri niliokupa utaufanyia kazi ukirudi ndani
Nimekujibu nipo dar 😒
asubuhi njoo katikati ya jiji tuonane gentleman, nina mzigo wako plz 🐒samahani mkuu, umefata buku sabasaba zako huko daslamu?
Sure kabisa, it's a bad idea... Kuna ma drop box huko, Kuna social networks(unaweka privacy kuona peke yako) Kuna notion, Evernote and so on... Hii ifanye joking area tu ShesRise_1Diary yako sio muda watu wataifanyia diarrhea.
Kila la kheri mkuu mimi naisubiri page ya mwisho.
Bad idea kwa kwanini niko timamu aiseeSure kabisa, it's a bad idea...
Joking area YesKuna ma drop box huko, Kuna social networks(unaweka privacy kuona peke yako) Kuna notion, Evernote and so on... Hii ifanye joking area tu ShesRise_1
I knew it before hand my g.. I was joking too 🤪Bad idea kwa kwanini niko timamu aisee
usinichukulie poa😊
You'd never do that clever girlJoking area Yes
Ulidhani nitaweka vitu sensitive 😅
My g 😅😅I knew it before hand my g.. I was joking too 🤪
Oh, so you do know 😏 shenziiYou'd never do that clever girl
Upo serious?Vipi tena
Kuhusu nini sasaUpo serious?
So you like that ahaa? My GMy g 😅😅
Am telepathic for you my gOh, so you do know 😏 shenzii
Vitu ambavyo nivyasiri kuviweka humuKuhusu nini sasa
😅So you like that ahaa? My G
Am telepathic for you my g
Nina kichaa au😅Vitu ambavyo nivyasiri kuviweka humu
MaajabuNina kichaa au😅
Hii itakua channel yangu ya tuvitu vitu vistori vya mchongo vya hapa na pale😅Maajabu
OMG mda mchache😅
Ulikutana nayo ambushing sehemu gani hiiKulikuwa na binti mmoja, maisha yalikuwa yamembana sana