Pages From My JF Diary πŸ“

ila hapa kwasa,
ila mbona mbu wa huku wakali hivi?
Pole sana
nimeingia muda si mrefu jijini, nipo hapa Kingaz Resort, yaani mbu wana ng'ata hadi kwenye upara,

itakuaje raia wema wa kawaida sasa?πŸ’
Puliza dawa ndani wakati umefunga vioo vya madirisha na milango

Kaa njee kwa mda mpa harufu ipungue au iishe wakati upo njee vaa nguo inayofunika seheme za mikono na miguu

Baadae rudi ndani pumzika
 
Pole sana

Puliza dawa ndani wakati umefunga vioo vya madirisha na milango

Kaa njee kwa mda mpa harufu ipungue au iishe wakati upo njee vaa nguo inayofunika seheme za mikono na miguu

Baadae rudi ndani pumzika
no,
niko nje,
hapa ni resort na pub,
panapendeza, ni pazuri na kuna hali ya hewa mujarabu sana kwa walio toka safari ndefu, ila changamoto ni hao mmbu sasa,

wamechoma sijui nini huko but nao changamoto iko pale pale, si nitandoka na malaria ya dar sasa ndugu mdau?

kwa uko wap now, kwa mfano?🀣
 
Kulikuwa na binti mmoja, maisha yalikuwa yamembana sana
bad situation.

Alikuwa amechoka kupita kiasi kimwili, kiakili na hata moyoni

Siku moja jioni, baada ya mawazo kumzidi, akajisemea

Ngoja nitoke kidogo, nipate fresh air, maybe nitatulia

Akatembea polepole bila mwelekeo maalum, akijaribu kupunguza mzigo wa mawazo

Ghafla, macho yake yakatua kwenye chupa ya ajabu iliyokuwa imekaa peke yake kama inamsubiri

Alipoisogelea mambo yakabadilika
Ile chupa ikaanza kumsemesha

Ndiyo, ikaanza kumsemesha kwa sauti laini, yenye utulivu, yenye maneno matamu ya kuvutia maneno yaliyomfanya ahisi kueleweka kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu

Ilikuwa ajabu sana lakini ilikuwa halisi 🫰 not movie

Binti alisimama kimya, akisikiliza

Ghafla, ile chupa ikafunguka taratibu kisha ikasema kwa upole😊

Kunywa kilichopo ndani yangu
Binti, akiwa amechoka na maisha, bila kusita akainyanyua na kunywa

Lahaula…!

Ndani ya sekunde chache, kila kitu kikabadilika

Akahisi kama mzigo wote aliokuwa amebeba umetoweka
Moyo ukatulia

Mawazo yakapoa
Ni kama amezaliwa upya ajabu ya kweli πŸ™Œ

Baada ya kuridhika na ile hali ya utulivu na furaha, ile chupa ikajifunga yenyewe tena, kimya kimya😒

kama haijawahi kufanya chochoteπŸ™Œ

Binti alitabasamu kidogo, akaiangalia ile chupa kwa mshangao na shukrani

Na hapo ndipo alipoamua kuipa jina
CHUPA YA MAAJABU

This is my magic bottle✨
kuna kipindi ilikua avatar now ipo kabatini
 

Attachments

  • IMG_20260412_130327.jpg
    530.5 KB · Views: 14
samahani mkuu, umefata buku sabasaba zako huko daslamu?
 
Kwani utalala hapo?

Huo ushauri niliokupa utaufanyia kazi ukirudi ndani

Nimekujibu nipo dar πŸ˜’
 
πŸ₯΅πŸ˜­πŸ₯±πŸ˜­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…