Padri amkimbia muumini

Padri amkimbia muumini

Ha ha ha ha Mea Maxima Clupa ha ha ha
 
hata ingekuwa wewe lzm ungekula kona tuu, dah!
 
Kwa kweli. Nimejifunza, nikiona tuko wawili nakimbia. Tehe, tehe tehe
 
Kuhakikisha usalama, nimeangalia hapa chini naona tuko wengi tunaosoma thread hii!

PHP:
There are currently 8 users browsing this thread. (3 members and 5 guests)
Kakalende, Lady N, KOKUTONA
 
lakini hawa mafaza si wamemshinda shetani wa kuzimu? Sasa amekimbia nini? angekemea tu pepo la mauaji! tehetehe imekaa vizuri!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
agahahahahahahahahahahahah yaani kisa kuwa wawili
 
Ha ha ha haaaa!! Mbavu zinauma aisee!!
Aisee Chalii yangu hata kama mimi ndo Padri lazima nitoke Nduki lazima jamaa amuue!!!
 
Teh teh teh teh ha ha ha ha ha ..................yaaaaaani mbavu zinauma hata comments sina!
 
Hapo ndipo msalaba unakuaga mzito..inabidi uuweke chini na kudo ze nidifuul..hahahahahaha..nimeipenda.
 
Hifi sambi sinasamehewa kirahisi hifyo? hongereni wenye dini senu
 
Taratibu... utakula BAN mapemaaaa kuwa makini lugha kali kali haziruhusiwi humu
 
Back
Top Bottom