Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 448
- 765
Tumsifu Yesu Kristo!
Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo.
Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950.
Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha birthday yake ya 105. Kwa sasa Padre
Shayo yupo katika kituo cha mapumziko cha Longuo, Jimbo Katoliki Moshi.