Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Unauhakika gani juu ya tuhuma hizo. Ivi hilo tukio ni la kwanza kutokea? Mbona yaliyokwisha tokea uchunguzi haujaonesha ni waislam? Mbona tukio la Arusha hamlizungumzii nawakati watu walikufa? Ivi kiukweli bomu na tindikali wapi pabaya zaidi?

Halafu ninyi jamaa mlivyo hivyo kabisa likijaga suala la dini mnakosa focus, busara na hekima......usikute wewe umri wako ni mtu mzima kabisa na elimu yako hovyoooooo......hebu niatjie nchi gani ya kiislamu ilyotulia sasa inabidi tuanze kujadili udini maana kujifanya hakuna udini bado hatuisadii nchi maana ni unafiki
 
Eeh mungu baba wa mbinguni,muumba mbingu ma nchi, mkono wa uponyaji umponye padri mwang'ambwa,uiponye zanzibar kwa jina la yesu kristo amen.
 
Ila sisi ni wengi,intelligent and civilized.with time watarealize kuwa they r stupid
 
Waislamu ni mburulaz full stop....wanawaza visasi tu
 
Asilimia Mia ya Wazanzibari ni Waislam wanao fuata Allah na Muhammad. Hivi kuna jema Kwenye hi dini? Please muhammadans help me here. I need one good thing done by either Allah or Muhammad or muhammadans.

Hivi hula mnalalaje nyie watu Mnao fanya haya madhambi kwa jina
la Muhammad na Allah?
 
Kama kweli hawa wanaofanya huu upumbavu wanafanya kutetea maslahi ya dini fulani, basi hiyo dini ni ya mashetani,na wote wanaoifuata wajiandae kuogelea kwenye ziwa la moto milele
 
Nina uhakika iko siku Zanzibar tutakuwa tunaiangalia kwenye TV kama syria tu, LIVE WAR wenyewe kwa wenyewe

Hawa hawapendi amani hata kidogo
 
Huko bara munangowana meno kucha bila ganzi munatoana macho tindi kali munakogeshana silaha zote munazitumia unga munauza na kubwia wapi kwenye usalama
 
Asilimia Mia ya Wazanzibari ni Waislam wanao fuata Allah na Muhammad. Hivi kuna jema Kwenye hi dini? Please muhammadans help me here. I need one good thing done by either Allah or Muhammad or muhammadans.

Hivi hula mnalalaje nyie watu Mnao fanya haya madhambi kwa jina
la Muhammad na Allah?
na ndo alowafundisha ndoa za jinsia moja
 
Kama kuna kitu hatutamsamehe mwalimu nyerere ni kuttunganisha sisi na wazanzibari hao watu wakatili sana
 
km unategemea asem aliwahi sikia, then atakumaliza kwa claim yako kuwa meda zote zinapendelea upande mmoja wa imani...Hata na hata asipokujibu..una kazi kutuambia kuwa hata al--nuur na nyingine nazo zinapendelea iman nyingine?Nae pia kakosea kusema kuwa masheikh hawajamwagiwa...

Shida hapa ni waislam wenyewe...mamabo yao huwa wanapenda dii nayo kivyaoo....pi ujue kuwa hata majambazi ktk vita nao wakigombana sialaha zilezile hutumia kupeana adabu......hat amedia za kiisalam nazo hazikuandika kwa vile wana support wamwagaji wa tindikali..kwa vile wanaamini waliomwagia si waislam kamili au ni mamluki..
jifunze kuandika ndo urudi tena kunijibu maana unaandika utazani unawahi kufunga ndoa ya jinsia moja
 
Wana JF,

Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.

More info to follow.

--------------------------------------
attachment.php

1236877_576695175709486_940245755_n.jpg


6126722_orig.jpg


Sept 14, 2013:

Kwa Ufadhiri Mkuu Toka Kwa Mama Karume kupitia Karume,,,
 
Fanya tafiti kwa hapa Tanzania utabaini kuwa vitendo vya ushoga na kuingiliana kinyume na maumbile vimeshamiri sana mwambao mwa bahari ya hindi na Zanzibar ndio mahala pake.Kule mwanamke kutoa nanihii kulinda usichana wake ni jadi.
Na historia inajieleza kuwa maeneo ambayo dini hiyo ilifikia kwa mara ya kwanza toka ARABUNI ni katika ukanda wa pwani.
Pili huwezi uelezea ushoga kwa aya mbili hizi.Obama si mwislamu mbona nae alisaini.Dini inasemaje hebu tueleze.
but ukirudi kwenye dini inakataza? ila wakristo wa leo wanajdili either waruhusu ama wasiruhusu, uislam maisha unapinga ndoa hizo, uwezi kuta arabuni watu wa aina hiyo wakidai haki zao ila nchi za kikafiri hilo ni kawaida watu wanaoingiliana kinyume na maumbile wakidai haki zao, hujaskia hadi maaskofu mashoga? mapadri ujerumani wanalawiti watoto? mkitoka hapo mnasema dini yenu inahimiza upendo? upendo kunajisi watoto?
 
kwahiyo nayule Shekh aliymwagiwa tindikali akiwa mazoezini alimwagiwa na mkristu.
Hakuna mkristu gaidi wewe!... Muulize gaidi ILUNGA ujifunze jambo hili. Nenda youtube utaelewa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom