sipendekezi kwani najua utaumia sana roho..na sipo muda wa kukumiza..Usijaribu ni blackmail ili nijisikie guilty..mimi huwa sioperate hivyo....kwani hujawahi sikia north America, east Africa etc..australia na oceania..kutaja kanda si shida kwa lolote.
swali funny.....kabla ya kitamba kulikuwa na nyuzi na rangi......Zenj ni km wilaya moja tuu...na Mafia haipo Zenj...sijui umeulizia nini hili swali.
Pendekezo lako liniumize mimi roho? Wewe ni mtabiri?
North America ni kanda inayotokana na vijiji au mikoa?
Umesema CCM wanasema bara na visiwani. Hilo swali linalokufanya ushindwe kushangaa. Mafia ni bara au visiwani?
East Afrika ni kanda inayoundwa na wilaya ya Rwanda, wilaya ya Burundi, Mkoa wa Uganda, Mkoa wa Tanzania na mkoa wa Kenya?
Je kanda ya Tanzania imeundwa na kijiji cha Tanganyika na kijiji cha Zanzibar?
Umewahi kusikia nchi hii Sychelles? Hii itakuwa wilaya au kijiji kimoja tu?
Cape verde?
Kabla ya nyuzi na rangi palikuwa na nini?