Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Vipendwe vipi na havina sifa wala ubora? kizuri chajiuza tu ila kibaya ndio kinajitembeza. TBS imeundwa kuvipa ubora usio sahihi vitu vya bongo ili vinunuliwe lakini si Zanzibar kwa vile silimbukeni
yeah..mchele wa bara hauna viwango, vitunguu, kuku,nyama hazina viwango ndio maana wapemba wapo kila kona ya nchi wakikusanya hivyo vitu ili wakaviangamize ktk majiko yako na kuvitupia matumboni.