Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
haha....kuna wezi waliuan awakigombania power, na mgao ktk gheto....(hii ni kawaiada sana ktk mafia)...polisi na raia watasemaje au watastahili semaje?kwanza wenyewe tuu hawataki hata issue ifike ktk sheria za wazi......pili raia wema watafurahi km wanapunguzana, na polisi nao watafurahi ....

Wamwaga Acid km ano wanaona mwingine atawasaliti au hakustahili kuwepo ktk kundi naye akapenda lilia kundi then sheria za gheto zitadili naye.Mwingine akiingia naweza kosa evidence....unadhani Jambazi atajipeleka mahakamani kushtaki ktk kesi waliyokuwa wkaigombea mgawo wa uhalifu waliofanya ambao upo ktk upelelezi..?

By the way :HIYO INAITWA FRIENDLY FIRE....NA QURANA INASEMA MUISLAM AKIMUUA MWENZIO KTK VITA NI KM HAJAMUUA KWA FAIDA YA DINI .HANA DHAMBI NA LAIYEUWAWA ATAPEWA THAWABU....yaani ni km unataka US wakahoji mchapano wa terrorists
Kama ni mafia au gang elimination,ina maana wanaomwagiwa tindikali ni gang members wanaovunja sheria za gangs? Sidhani friendly fire rule inaweza kutumika katika swala la kumwagia tindikali yule sheikh!!!
 
we mwehu sana..nitaje misikiti yenye speaker nje?Ni km unaniambia nikutajie binadamu mwenye pua....wewe si unapiga swala 5,na misikiti siku hizi si mingi kuliko waumini wahitajivyo..tazama yote unayoiona njiani, km huoni sikiliza.
Kamanda umeanza kurusha matusi kama kawaida yako.
 
Wewe mama d una uhakika kuwa ni waislamu ndo walofanya ,tumia akili ww arusha lilipigwa bomu kanisani mkaanza hv hv ooooh waislamu haoo mwishowe report imekuja kuwa aliofanya hayo ni mkiristo

Haha umemuuliza Kova ni kwanini hawakuwataja wengine?Hujajiuliza kwanini iwe coincidence ktk ya balozi wa papa na "mfumo kristu", hujawahi jiuliza kwanini Pengo na Vatican imekuwa ikizunguka sana ktk mazungumzo ya Waislam...Umewahi jiuliza influence ya uislam ktk CCM ya leo na Police wetu..?
 
Kama ni mafia au gang elimination,ina maana wanaomwagiwa tindikali ni gang members wanaovunja sheria za gangs? Sidhani friendly fire rule inaweza kutumika katika swala la kumwagia tindikali yule sheikh!!!

Israeli waliwahi bomb mara kibao ndege za US ktk mission, US waka bomb za UK...na kuua askari na kuharibu silaha..ikaishia km friendly fire.....sasa wewe kwanini udhani kuwa acid inaweza tumika ktk frindly fire...dhna hapa ni group member kushambuliwa na co. Wote wapo ktk mission ya kusafisha zenj na kusilimisha Tanzania..Kwa kutoelewana km kawaida yao...wakamwashia mwingine.Yaani km umesoma hiyo mistari hapo juu.anayekuwa rafiki na wakristu au wayahudi anakuw ammojawapo na hivyo anastahili patiwa wanachostahili wakristu.
 
Haha umemuuliza Kova ni kwanini hawakuwataja wengine?Hujajiuliza kwanini iwe coincidence ktk ya balozi wa papa na "mfumo kristu", hujawahi jiuliza kwanini Pengo na Vatican imekuwa ikizunguka sana ktk mazungumzo ya Waislam...Umewahi jiuliza influence ya uislam ktk CCM ya leo na Police wetu..?
Unajua wewe ni mjinga mno halafu una tatizo kubwa la ufahamu wewe ni kiongozi wa chama cha Ignorant Anonymous.
 
Zanzibar hata vitu Made in Tanzania havipendwi na huvioni, afadhali Made in Kenya au nchi nyingine yoyote
 
sijawahi kusikia msikitini watu wanaanguka kwa sababu ya pepo.
lakini makanisani kutwa kupiga mayowe kupunga mapepo.na wafuasi wa kanisa kupandisha mashetani ndani ya kanisa wala si ajabu.
pili yapo makanisa mengi ambayo yanasali usiku na mambo yanayoendelea mule ni hatari.
tafsiri ya neno kuombea mapepo maana yake ni kwamba kama ulikuwa hauna pepo ndio likupate.au kama pepo linaumwa ndo uliombee lipone n.k. na ndio maana makanisani mapepo hayawezi kuisha.

wataangukaje
wakati mmeyapa nafasi kubwa kiasi cha kucheza na ------ yenu.
Katika kitabu
kiitwacho Mkweli
Mwaminifu cha
Sheikh Said Moosa
Mohamed Al- Kindy
wa Muscut Oman,
juzuu 1-2 Uk 42
Hadithi Na. 74.
“ Anamwijia mmoja
wenu shetani (Jini)
katika sala basi
anapuliza
(anampuliza) katika
------ yake, basi
(yule mtu) inamuijia
fikra ya kuwa
umemtoka upepo
(kafusa) naye
haukumtoka, basi
akiona namna hiyo
asiondoke (kwenye
sala}) mpaka asikie
sauti ( ya kutoka
upepo) au anuse
harufu ( ya huo
upepo uliyomtoka,
ndio aondoke).
Huyo shetani, au
jinni anayekuwa
karibu sana na huyu
mwamini wa
kiislamu hamchezei
tu mwislamu katika
------ yake kama
tulivyosoma hapo
juu bali pia
anapofanya tendo la
ndoa .
 
Zenji si salama kwa wakristo.

Uchochezi huo, na Alipotiwa tindi kali Sheikh Soraga, Katibu wa Mufti, Zenji ilikuwa si salama kwa waislamu? usipalilie uhasama wa kidini. Tukae pamoja kusaidia tuwapate wahalifu
 
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao

Una uhakika gani kuwa waliofanya uhalifu huo ni waislamu? Yule alierembea bomu kanisani na kuua kule Arusha alikuwa muislamu ? Chuki za dini ni hatari jiepushe
 
Narudia tena leta Qur'an usiniletee maandishi ya kiswahili na Kiingereza.

Nilete vipi sasa..nibebe kitabu niipost hapa JF?Naleta aya wewe km unazijua zifuate useme km hazipo..NInayo copy mkononi hapa....bado umetoka kapa..unataka ya Kiarabu?Ili upate pa kuwema wengine hawajui?Wametafsiri wataalamu wa lugha waliofanya tafiri za kutosha na kupitishwa na maimum wa Saudi Arabia.Baada ya hapo king Abdulah akafadili kopi nyingi zigawanywe duniani..Sasa wewe mwenye akili tuzijuazo unapata wapi mamlaka ya kupoteza muda kam kudai usichokijua kiletwe hapa?
 
Kamanda umeanza kurusha matusi kama kawaida yako.

yote umeskip unajiegemza hapa kuwa umetukanwa......sasa ni kuite nani km unauliza swalivery obvious km nikutajie misikiti ynye speake nje?Au nikutajie mtu mwenye pua....by the way mbona hutaki oja unachagua cha kuokoa roho yako.
 
Hayo mambo yanafanywa na waislamu,dalili zote ni wao.
Huku bara hatumwagii mapadri tindikali wala shehe.HAO WAISLAMU WANAOFANYA HAYO hawawezi kulazimisha kueneza uislamu kwa njia za kipuuzi kama hizi.

ZAnzibar hakuhitaji kuenezwa dini ya kiislamu. Dini ya Kiislamu inajitangaza wenyewe hapa visiwani na ndio maana dini zote nyengine zimeshindwa kushamiri Zanzibar tokea karne na karne. \sawa na Waislamu wakisema kuwa aliomwagia tindi kali sheikh Soraga alikuwa Mkristo itakuwa sahihi ? kama vile alierembea bomu kanisani na kuua kule Arusha alikuwa Mkiristo pia? si vyema dhana ukaipa kipa umbele. tutafakari kwanza namna ya kuwapata wahalifu
 
Uchochezi huo, na Alipotiwa tindi kali Sheikh Soraga, Katibu wa Mufti, Zenji ilikuwa si salama kwa waislamu? usipalilie uhasama wa kidini. Tukae pamoja kusaidia tuwapate wahalifu

Kwani nani amekuambia gheto ya majambazi ni salama kwa wakazi wake(majambazi wenyewe)?Sasa imagine asiye mkazi wake akijkuta huko?
 
Axis of evils......wanaokumbuka hii kauli ya the former U.S president watamalizia...
 
Zanzibar hata vitu Made in Tanzania havipendwi na huvioni, afadhali Made in Kenya au nchi nyingine yoyote

Vipendwe vipi na havina sifa wala ubora? kizuri chajiuza tu ila kibaya ndio kinajitembeza. TBS imeundwa kuvipa ubora usio sahihi vitu vya bongo ili vinunuliwe lakini si Zanzibar kwa vile silimbukeni
 
Tupo pamoja kaka,kiongozi wa dini wa mwisho kumwagiwa Tindikali ni IMAMU wa msikiti ARUMERU ARUSHA,mkoa huo 90% ni WAKRISTO,lkn haina maana kusema imani ya walio wengi inahusika.sisi sote ni ndugu na tunashirikiana vizur mtaani.
Huyo Sheikh alikiri mwenyewe kwamba kuna mtu alikuwa akimfatilia kutoka msikitini kwa sababu walikuwa na ugomvi wa uongozi. Yeye mwenyewe alisema anahofia watuhumiwa ni wale alokuwa anagombana nao kwenye uongozi.
By the way, Zitto Kabwe yuko wapi na unafiki. Alipopigwa risasi Ponda na uchochezi wake, Zitto alikuwa wa kwanza kulaani kwenye facebook. Mbona hapa hatujamuona? Zitto, Lipumba, Jk, Mwema, Kova, machafuko ni ndoto zenu. Ndo maana watu kama Ponda mnawabembeleza. Watu kama Igunga, hawachukuliwi hatua zozote. Kibaya zaidi, hawa watu ni viongozi wenu wa kiroho. Sasa kwa nini tusiwe na wasiwasi kuhusu roho zenu.
Ni vigumu kuwalaumu nyie bila kuwalaumu watanzania walowafikisha hapo mlipo. Watanzania, mkifanya mistake tena 2015, gharama zake hamtaweza kuzilipa. Hawa watu na vyama vyao waondoeni kabisa na amani irudi nchini kwetu. JK mpaka leo, hajawahi kuongelea swala la kuchinja..sana sana anasema tuendelee na utaratibu wetu. Hawa watu ni hasara tupu...
 
Wewe mama d una uhakika kuwa ni waislamu ndo walofanya ,tumia akili ww arusha lilipigwa bomu kanisani mkaanza hv hv ooooh waislamu haoo mwishowe report imekuja kuwa aliofanya hayo ni mkiristo
Ni mkiristo yupi na alihukumiwa wapi? Ulikuwa tu ni mchezo wa serikali dhaifu kutuliza shari kwa kumtaja mkristo au hukugundua kuwa wakati suspects wanatajwa bungeni, majina ya wahusika wenyewe hayakutajwa. Yaani walisema kuna watuhumiwa 6 ila yakasomwa majina ya wakristo wawili, wengine wakalindwa na serikali yenu dhaifu. Baadae wakasema hakuna mwenye hatia. Waishajua watanzaniabunawachezea kama watoto wadogo, then unawaachia. Hili jambo lingetokea nchi za America au Ulaya, viongozi wote wangeondolewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom