maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 141
Muungano uvunjwe, machogo hamtakiwiiiiiiii
Subiri tukomeshe hii falsafa ya kipuuzi eti AKUPIGAYE SHAVU LA KUSHOTO MGEUZIE NA LA MAMAKO,utakuwa si ni machogo au laaa mwehu wewe
Muungano uvunjwe, machogo hamtakiwiiiiiiii
Ponda alishasema "Mtu yoyote asiyekuwa mwislamu ni kafiri, na makafiri lazima wauwawe ili dola ya kiislamu isimame." Naona wanatekeleza maagizo.
Wana JF,
Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.
More information to follow.
Ni mwendawazimu tu ndiye anayeweza kukubali huu utahira
Mkuu umeongea vizuri sana. Hizi ni mbinu za kijinga sana wanazotumia wanaofaidika na muungano ili kuulinda kihila.
WildCard,Sema usalama wao Ritz. Imani yao ya kidini ndio inayowatesa hivi. Utadhani Mungu naye ana DINI!
wafuasi wa ilunga, uamsho na ponda
Sema usalama wao Ritz. Imani yao ya kidini ndio inayowatesa hivi. Utadhani Mungu naye ana DINI!
tena juzijuzi wamemwagua yule mjasiliamari wa home shooping centre,kweli hali ni mbaya sana.Hizi mbinu ni za kinyama kabisa na wala hazistahili kutumika katika siasa za kistaarabu. Yaani baada ya kuona tu kumeanza kuwa na ushrikiano wa vyama vya siasa, ghafla wanamwagia padre asiye na kosa tindikali!!! Na kama umoja wa CHADEMA NA CUF ukionekana kuimarika, tutarajie mauaji yenye mwelekeo au wa kidini au kimaeneo (Zanzibar vs Tanganyika).
mnafiki ataendelea kuwa mnafiki tu.Chadema wanafiki sana nyie! Si mliwachukia Polisi kwa Ishu ya Ponda! Mkawa mnamtetea kuwa kaonewa na polisi leo kamwagiwa padri tindikali mmeibuka upyaa kumlaani Shehe Ponda! Ha!
Sema usalama wao Ritz. Imani yao ya kidini ndio inayowatesa hivi. Utadhani Mungu naye ana DINI!
Ponda alishasema "Mtu yoyote asiyekuwa mwislamu ni kafiri, na makafiri lazima wauwawe ili dola ya kiislamu isimame." Naona wanatekeleza maagizo.
Mungiki walikuwa wengi sana lakini Kibaki alipoanza kuwachapa risasi bila mjadala, haikupita mda wakapoa kama makondoo... Nadhan Shein anawalea UAMSHO...
WildCard,
Hujui kama kuna Sheikh Zanzibar naye alimwagiwa Tindikali takuwekea picha yako umuone uso wake ulivyo inasikitisha sana. Huyu unamuongeleaje kuhusu imani yake?
Said wa HSC naye kamwagiwa Tindikali naye unamuongeleaje?
Unakosea unaposema imani.
Ushenzi wa mtu hauna uhusiano na dini.
Hivi ndivyo mafunzo ya uislamu yalivyotuelekeza mkuu.
Tulia ww.,Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao