Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
hujui ulisemalo.Hao wanao fanya hivyo ni Islam mbona hatujawahi kusikia shehe au ostazi kamwagiwa tindikali au wa Kristo wakisema wa Islam wa toke zanziber!. Angalia nyie viburi dawa yakiburi ni jeuri nyie Taifa dogo
Hii hali sasa inatisha usalama wetu umekuwa mdogo sana, serikali fanyeni kazi yenu kuwasaidia raia na haya majanga ya tindikali...pole sana Padre kwa mtihani uliyopata Mungu atakujalia.
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
asilimia 99 ya wazenj ni waislamu,so hata kama kamwagiwa na mtu mwislamu uhalifu huwezi kujudge dini ya mtu,unamjudge mtu .Kwani kamwagiwa na waislamu?
zanzibar si nchi, kikwete ndiye wa kulaumiwa kwa yote haya. Kiwete nchi imemshinda kabisa kwa kuendekeza na kulea udini
Mapadri waruhusiwe kuoa!!
Kanisa katoliki linatia kinyaa!!!
Inasikitisha sana kuona mambo haya yanatendeka ndani ya Nchi yetu, Kikwete na Serikali yake wakiendelea kuwapumbaza watanzania kwa siasa za kishenzi na kipumbavu!!
We are getting tired!
Kikwete bila kusikiliza wazanzibar hautapata ufumbuzi wa hii tabia chafu inayoendelea kwa wananchi wenye mioyo inayoumia kama wewe! Maana isije ikaonekana kuna watu wana kero na dukuduku zao Kikwete umeshindwa kuwasikiliza kama siyo kuwatatulia, sasa wanaiwakilisha kwa hii njia chafu na mbaya waliyoamua!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mimi nimemwelewa sheikh mtani wangu nilipombana kuhusu "Majinn na ufugaji wake unavyohitaji damu " aliniambia dini yake ni uganga.....
Kwa ninaacho amini sasa Zanzibar ndio eneo sahihi la kuutangaza ufalme yesu kristu couz watu wake bado hawajaelewa ujio wake. Pole sana mtumishi wa mungu.
mbona nyie mnaf.....na na kueneza ushoga duniani
Hayo mambo yanafanywa na waislamu,dalili zote ni wao.
Huku bara hatumwagii mapadri tindikali wala shehe.HAO WAISLAMU WANAOFANYA HAYO hawawezi kulazimisha kueneza uislamu kwa njia za kipuuzi kama hizi.