Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Unajua kitu imani wanadamu wengi watakuja kujuta ,kulia kwa kwikwi na kusaga meno mbele ya mola lakini hii aitasaidia kituchochote ninacho amin mm nikwamba uyu kijana nilimwambia hayo ni kwasababu haujui uislam wala hamjui Mungu lakin lau kama àngalijua uislamu czan kama angemtilia shaka Mungu anae abudiwa na waislamu
MUngu anayeagiza kuua wengine?
 
Tulipofikia ni pabaya,sipendi iwe inaelekea hata siku zijazo tutaanza kusikia milipuko kisa kushindwa kufanya uchunguzi na kuleta majibu kwa watu,Tanzania iliyokuwa inasifika kwa upelelezi leo imekuwaje inashindwa kuwakamata wahusika,au mpaka inchi ichafuke ndipo ishituke.NAJUTIA KUWA MTANZANIA WA LEO{2010-20.......}
 
haya nimajanga nikitazama tunakoelekea naona kuna giza nene sana Ee Mungu tusaidie yastupate majanga
 
Wameona ni kamchezo kazuri hivyo wanaendelea kukacheza. Mwishowe itakuwa kama somali au syria tu.
 
hawachukuliwi hatua ndio maana vitendo hivi vinaendelea...serikali legelege ni mzigo...
 
Suala hili la watu kumwagiwa Tindikali naona limekuwa kama Janga la Kitaifa. Mungu tuokoe
 
Serious, tunasubiri hotuba ya kulaani vitendo hivi vya kinyama ya mwisho wa mwezi.Sijui kama hatua yoyote itachukuliwa
 
Dini yenye ushirika na watoto wa Ibilisi wafuasi wake ni wajukuu wa Ibilisi wanaweza kufanya chochote suratul al-ahqaf 46;29. Licha ya Ibilisi kuonekana hafai suratul al-kahf 18;50. Tafsiri nyingine nyingi za jini huwafuata Waislam hata kwenye ngono itakuwa wanapozamilia kutenda uovu

sijawahi kusikia msikitini watu wanaanguka kwa sababu ya pepo.
lakini makanisani kutwa kupiga mayowe kupunga mapepo.na wafuasi wa kanisa kupandisha mashetani ndani ya kanisa wala si ajabu.
pili yapo makanisa mengi ambayo yanasali usiku na mambo yanayoendelea mule ni hatari.
tafsiri ya neno kuombea mapepo maana yake ni kwamba kama ulikuwa hauna pepo ndio likupate.au kama pepo linaumwa ndo uliombee lipone n.k. na ndio maana makanisani mapepo hayawezi kuisha.
 
hivi gaidi mkuu shehe ilunga alishakamatwa!!???
Hakamatiki... Mikataba na watawala inamlinda. Angekuwa anakamatika asingeweza kufanya uchochezi agosti 2013 mpaka leo septemba, 2013 hajakamatwa... ni mtu wao.
 
hawachukuliwi hatua ndio maana vitendo hivi vinaendelea...serikali legelege ni mzigo...
. We mchemsho!! kwa nini unatukana Serikali yako. Tunawajibu sisi sote kuwatambua hao wanaofanya matatizo haya. Tukiwatambua Serikali itawashughulikia. Tusiwe watu wa kulaumu tu! sote tuchape kazi.
 
kuna kundi kubwa halina pa kusemea na waliopo madarakani ni wanafiki kwa zanzibar mara ngapi bible inachanwa hadharani tena mashuleni na hakuna kinachofanyika je ingechanwa quruani pangekalika hapo?

vunjeni muungano zanzibar iwe taifa huru lirudi kwa waarabu na itawaliwe kufuata misingi ya sharia
 
Tuwe makini kwa tunayochangia kwani tukio hili kulihusisha na dini ya kiislamu na waislamu pasipo ushahidi ni uonevu kwa waislamu na dini yao. Sijui waliompeleka hospitali baada ya tukio ni wakristo ama wapagani ila picha zinaonyesha ni watu wenye dalili za kuufata uislamu. Akishambuliwa shekh na waislamu watasema hao ni wakristo ingawa yule shekh wa znz waislamu walikaa kimya na kuaminishwa kwamba ni kundi flan miongoni mwa waislam hao hao wamefanya tukio lile. Je ikatokea watu upande wa waislam wakasema wakristo wamelipa kisasi itakuaje.........RELIGIOUS WAR
 
zanzibar si mahala salama tena pa kuishi kwa wasio wazanzibar. ee mungu mponye mtumishi wako

na huyu kapigwa zanzibari piaa auuuuuuuuuuuu????????????????
BONGOOOOOOOOOOOO.jpg
 
Hakamatiki... Mikataba na watawala inamlinda. Angekuwa anakamatika asingeweza kufanya uchochezi agosti 2013 mpaka leo septemba, 2013 hajakamatwa... ni mtu wao.

Kikwete anamuogopea nini!? Na ushahidi upo wazi kuwa ilunga ni gaidi na haya mambo yoote yeye na uamsho ndiio walichagiza
 
Hivi nikweli kwamba selikari ya zanzibar imeshindwa kupata ufumbuzi wa jambo hili? Any way pole sana baba paroko tunakuombea uwezekuoona kwana then ndo tutajuwa tufanyeni .
This is the shem for zanzibar government.
 
Yule padre wa kwanza aliyenusurika kuna watu walidai alikua na mishemishe za mke wa mtu,wa pili je,wale mabinti wazungu,yule sheha?na huyu wa jana naye?

Huu ni ugaidi Maalim Seif akubali ukweli!sasa ni hatua gani zimefikia mpaka sasa?serikali inaficha nini?mpaka wahanga wafike 100?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom