Wana JF,
Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.
More information to follow.
![]()
Hakuna tofauti kati ya ugaidi na uislam Kwasababu magaidi wanatekeleza matakwa ya quran.
Ungekuwa unaipenda nchi yako ungeshabikia ujinga huu?Mabomu ya nin?napenda uhai wangu na wa familia na nchi yangu Tanganyikav
Nadhani bichwa lako ni gumu kufahamu,utalazimishaje kukumbatia nyuki wakati nyuki hawakumbatiwi?tuachiwe tupumue.
Abdul tumia akili yako vizuri.. Si waislamu wote magaidi... Wako waislamu wema kupita hata baadhi ya wakristo.. waislamu wasio na hila, waungwana na tena wasio na chuki dhidi ya wakristo.. Hoja yako haiwezi kuondoa ukweli kuwa WAISLAMU WAMEMMWAGIA TINDIKALI PADRE full stop!!!.kwa wale wasio fuatilia siasa za zanzibar zanibar walianza na kutia visima mavi kutega mabomu kuchoma transfoma kuja
janjawire kuja ubaya ubaya lakini hakunguchunguzi unao kamilika na tulihoji jeshi la polisi litupe walau ripoti moja
ya pelelezi wazanzibar malengo yao yako wazi hivyo hawata yumbishwa na polisi kutumikia siasa usalama wataifa kuwa
jimbo na tawi la ccm
kwa wale wanaosema na kutuhumu waisilamu hebu muulizeni ni nani walio mpa msaada baada ya tukio kama sio hao waisilamu walio mzunguka na kuwa karibu nae
sasa je waisilamu iwejewamtie tindi kisha wamsaidie na kumfikisha hospila
wana jamii mutajikuta munashabikia udini kwa udhaifu wakikundi thaifu cha ccm
hivo vitu havitenganishiki!
Hivi wewe unaelimu gani? Garang alishakufa miaka mingi huko sudani kusini... Ukristo unatuma wafu? Sisi tunazungumza kwa ushahidi PADRE AMEMWAGIWA TINDIKALI kwa maagizo ya dini.. Fuatilia hotuba ya shehe ILUNGA na usome AL BAQARA nzima kwenye Qur'an... Hata ILUNGA mwenyewe kakiri hakuna mkristo gaidi.uislam unaujua au unalopoka thibitisha kauli yako.mambo anayoyafanya JOHN GARANG kule UGANDA UKRISTO ndio umemtuma?