Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Inashangaza mtu aliyemwagiwa tindikali anaangaliwa tu bila watu kuonyesha dalili za kumsaidia bila shaka hao watu wanajiuliza kwa nini ajafa kabisa, laiti asingekuwa mfuasi wa kristo dawa ya majini, mapepo na mashetani, na ushenzi wote angeshabebwa juu ili kuwahishwa kwenye msaada

>Hata mimi niliangalia picha nikashangaa? Angekuwa kavaa kikofia basi angesaidiwa sana.. Ubaguzi kwa hawa watu nijadi yao..
 
Attackers doused a Catholic priest with acid on the Indian Ocean island of Zanzibar on Friday, police said, the latest such assault following an attack on two British women last month.


The elderly priest, Amselmo Mwangamba, was burned by the acid on his face, chest and arms, as he walked on the streets of Stone Town, the historical centre of the capital of the semi-autonomous Tanzanian archipelago.
"He had just left the Internet cafe, but a few minutes later he came back screaming and begging for help," said Rukia Abbasi, who was working at the cafe. "We gave him water and rushed him to hospital."


Doctors said they were treating the shocked cleric for the burns.
"We are waiting to see whether he may need to be transferred for further treatment," said Jamala Adam, a doctor at the island's main hospital.
Police spokesman Mkadam Khamis called the attack "another sad story", and said his forces were investigating.
Last month, two young British women were attacked with acid thrown by men on a motorcycle, prompting Zanzibari officials to offer a $6,000 (4,500 euros) reward for information leading to the arrest of the suspects, describing the attack as "a shame on the people of Zanzibar".
The attackers have yet to be caught.


There have been a series of attacks in the archipelago, including an acid attack on a Muslim cleric in November, and the shooting dead of a Catholic priest in February.
In December another priest was shot and wounded.
Tourism is the main foreign currency earner for Zanzibar, famed for its white-sand beaches and historical buildings in Stone Town, listed as a world heritage site by UNESCO.


Tensions between the majority Muslim population and Christians -- some three percent of the 1.2 million people on the islands -- have been on the increase in recent years, as well as on mainland Tanzania.


Source: Fox News
 
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao

aliokwambia ww unamuabudu mungu nani acha zako ww cku ùtayokufa ndo utajua ulikuwa unamwabudu nan? Ila kama unaitakidi kwamba na ww unàbudu bac utajionea mwenyewe cku yako ya kwanza kaburini
 
Walishaua padri hakuna hatua iliyochukuliwa, wakampiga risasi mwingine hakuna hatua iliyochukuliwa, wakampiga Sista viongozi wakaendelea kutoa matamko........Watafanya mengi tu. Wasiwasi wangu ni kuwa ipo siku uvumilivu kwa hawa wanaonewa utaisha.

Serikali ya matamko na tume za uchunguzi...........
 
Kibaya zaidi kuwa Wazanzibari wanaumia zaidi kwa utalii uliotoweka, nchi nyingi wamezuia wananchi wao kwenda Zanzibar, wawekezaji wengi wameahirisha au kuondoka kabisa.

we ogopa elimu ahera..............yan hiyo ni dalili tu kuwa akili hata ya kufikiri kidogo hamna
 
Samaritan: hujAskia kama kumwagiwa tindikali dar waislamu bt umesikia kuchomwa kwa makanisa nafkiri.so bora aathirike mmoja au kwa wengi?
 
Nyinyi ambao mnasingizia waislamu kwamba wanahusika na tukio hili mnaushaidi gani acheni chokochoko zenu police haijatoa ripoti alafu ww ambaye kwanza haupo znz alafu tayari ushàanza kulalamikia waislamu kwamba ndo wausika subilini polisi watoe ripoti alafu na ww ndo useme kitu
 
aliokwambia ww unamuabudu mungu nani acha zako ww cku ùtayokufa ndo utajua ulikuwa unamwabudu nan? Ila kama unaitakidi kwamba na ww unàbudu bac utajionea mwenyewe cku yako ya kwanza kaburini

Acha kutisha watu wewe... ilunga ndio kakufundisha hivyo
 
nini sababu ya crusade?.

Achana na Mambo ya Crusade wewe,Kama unataka historia yake anzisha Uzi mwingine.Unachotakiwa uelewe ni kwamba Mungu wa Wakristo(YEHOVA)hapiganiwi.Na hili ni Onyo toka Enzi za Mtume Petro alipomkata Sikio mmoja wa watu walioenda kumkamata YESU.Siamini kitendo cha Mohamad kuoa Binti wa Miaka 8 ni mafundisho ya Uislam.Hayo ni Matendo yake binafsi na atahukumiwa kulingana na dhamiri yake.Kama ni Mafundisho ya Uislam,basi nitaamini kwamba Mfumo Kristo upo.
 
kama utafuatilia post za nyuma kidogo utaona hizo nimeainisha kuwa hizo aya zinazo ulinda uislam dhidi out siders. katika biblia yesu anasema wala msizitupe lulu zenu mbele ya nguruwe watazikanyaga na kugeuka na kuwararua. iweje sisi waislam tuwe na urafiki wa kukupeni siri za duwa nyeti. lakini sura nyingine inasema "m/mungu hakukatazeni kuwatendea wema wasiokuwa waislam hali yakuwa hawajakufanyieni uwadui"
jamani tunaomba msome

Mathayo 7: 6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
KIMSINGI NGURUWE ALIYEKUSUDIWA HAPA NI WEWE, NA MBWA PIA ALIYEKUSUDIWA HAPA NI WEWE, UNAYETAFUTA MAANDIKO YASIYOKUUSU KUUSAFISHA UCHAFU WA DINI YAKO, AITAKATI HIYO KWA KUIOKOTEZEA MAANDIKO!.
wanaoambiwa wasiwape mbwa kilicho kitakatifu na wasitupe lulu zao mbele ya nguruwe ni wanafunzi wa YESU, NA SIO wanafunzi wa mtume aliyerogwa. KAOSHE PUA KWANZA UTOE MAJINI YALIYOLALA PUANI MWAKO NAONA YANAKUZINGUA.
Na kama autaki kukubali chunguza tabia zanguruwe na za mbwa uzilinganishe na za kwako utaona zinafanana.
 
Unachotakiwa uelewe ni kwamba Mungu wa Wakristo(YEHOVA)hapiganiwi.Na hili ni Onyo toka Enzi za Mtume Petro alipomkata Sikio mmoja wa watu walioenda kumkamata YESU.Siamini kitendo cha Mohamad kuoa Binti wa Miaka 8 ni mafundisho ya Uislam.Hayo ni Matendo yake binafsi na atahukumiwa kulingana na dhamiri yake.Kama ni Mafundisho ya Uislam,basi nitaamini kwamba Mfumo Kristo upo.[/QUOTE]

Muhamad (peace be upon him) hakuwa anafanya mambo kwa matamanio ya nafsi yake isipokuwa hupata wahy kutoka kwa mola wake
 
Kwa ninaacho amini sasa Zanzibar ndio eneo sahihi la kuutangaza ufalme yesu kristu couz watu wake bado hawajaelewa ujio wake. Pole sana mtumishi wa mungu.

Uko tayari kwenda kuwa PADRI ZANZIBAR kwaajili ya mungu?
 
Acha kutisha watu wewe... ilunga ndio kakufundisha hivyo

Unajua kitu imani wanadamu wengi watakuja kujuta ,kulia kwa kwikwi na kusaga meno mbele ya mola lakini hii aitasaidia kituchochote ninacho amin mm nikwamba uyu kijana nilimwambia hayo ni kwasababu haujui uislam wala hamjui Mungu lakin lau kama àngalijua uislamu czan kama angemtilia shaka Mungu anae abudiwa na waislamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom