cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,079
- 10,111
Pakistan= Zanzibar...fools.wakimaliza mapadre wataanza sunni na Shia..I will be watching it from the tv
c wenzetu kabisaPadri wa kanisa
Katoliki Parokia ya Cheju
Zanzibar,Joseph Mwangamba
amemwagiwa tindikali na kujeruhiwa
usoni na kifuani
source..East Africa Radio.
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
Wana JF,
Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.
More information to follow.
![]()
Muungano uvunjwe, machogo hamtakiwiiiiiiii
matukio kama haya hayapaswi kuyatolea matamko makali kama wasemavyo wa kristo subra na iman ndio inatakiwa alafu yakipita tukae chin kutafakari tuliko toka
zanzibar si nchi , kikwete ndiye wa kulaumiwa kwa yote haya. Kiwete nchi imemshinda kabisa kwa kuendekeza na kulea udini
Zanzibar ni nini kama si nchi?
Tanganyika(Tz bara) ni nini kama si nchi?
Muungano wa Tanzania ni muungano baina ya nchi, majimbo,mikoa, wilaya, vijiji au kata?
Nani ameshikwa pabaya katika siasa katika kipindi hiki cha mchakato wa kuandika katiba mpya? Kwa nini matukio haya yametokea, yanatokea katika kipindi hiki?
Nani ananufaika na uhalifu huu unaofanywa?
Aliyebanwa nyeti anatafuta pa kutokea.
I mean Tanzania, cause Zanzibar is part of a big land called Tanzania.
Ni upande mmoja wa nchi, km mguu mmoja wa suruali..kwani unaweza itwa suruali?
uislamu ni dini ya amani mdomoni ila kivitendo NO
-ukismama ktk pint moja utasema upande huu na huu..ndio maana CCM wanasema upande wa viziwani na Bara...Upande maana yake nini?
Mguu wa pili wa suruali ya Tanzania unaitwaje?
upande wa pili wa nchi unaitwaje?
Hivi ndugu Nicholas kabla ya huo muungano hizo pande mbili hazikuwa suruali? Pande hizo zilikuwa nusu mguu?
-ukismama ktk pint moja utasema upande huu na huu..ndio maana CCM wanasema upande wa viziwani na Bara...
-Kwani unadhani walishindwa ita ukanda, jimbo mkoa?
Kabla ya mguu wa suruali..palikuwa na vitambaa.........
-unataka uitwaje mguu wa suruali...?
Umeshawahi kusikia neno "crusade"?
Link 1.crusade - definition of crusade by the Free Online Dictionary, Thesaurus and Encyclopedia.
Link 2.CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Crusades
Link 3.Crusades - Wikipedia, the free encyclopedia
Pakistan= Zanzibar...fools.wakimaliza mapadre wataanza sunni na Shia..I will be watching it from the tv
Nicholas na wewe unawaunga mkono CCM kuziita nchi wanachama wa muungano wa Tanzania, upande(pande)?
Wewe unapendekeza pande hizo ziitwe majimbo ya muungano, mikoa ya muungano au kanda za muungano?
Mafia inaingia katika visiwani au bara?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/334649-tundu-lissu-na-kiinimacho-cha-muungano.html
Na kabla ya vitambaa kulikuwa na nini?