nitakusaidia, uislam uondoe kitengo cha propaganda dhidi ya ukristo! Kuna tuvyuo twa kufundisha kutafsiri Biblia tofauti na kuaminisha kuwa Issa ni YESU na eti Biblia Takatifu imechakachuliwa.
USHAURI: Hakuna jina la YESU kwenye Korani hivyo msilitamke. Mumkome YESU wetu
Dah Nyakageni bhana umenena kitu cha maana sana!
Ndio maana hata kwenye biblia tukaacha kutumia neno JESUS, sisi tunaita YESU tu, tumewaacha wazungu na JESUS wao na sisi YESU wetu! Ushauri mwanana huu!